LINI ?- Magomeni SDA Choir (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2018
- "LINI?" (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
CASTS:MAGOMENI SDA CHOIR
FILM BY:CINEMATIX MEDIA GROUP(0767189494 // 0715350436)
*********************************************************
©2018 CINEMATIX MEDIA PRODUCTION ™
ALL RIGHTS RESERVED. UNAUTHORIZED DUPLICATION IS A
VIOLATION OF APPLICABLE LAWS.
MADE IN TANZANIA. - เพลง
Mwaalimu nakukubali sana jamani Mungu akutunze na huduma nzuri. Sifa kwa Mungu
Amen🙏🏾
Amen
Wimbo huu huleta faraja tunapopitia magumu .
Barikiwa sana
Magomeni ya Malekana na Tumaini ilikuwa ya Mungu.
Hata sasa ni ya Mungu
Hizi ndo nyimbo za viwango! Magomeni SDA choir mbarikiwe sana nimewaona wapendwa wa enzi. Chirugusyo, Pamela, Rachel Grabaya, Rachel Kweba na kaka yake Mgini, Anna Kagwa, Joyce Mwinji, Martha, Helena, Ayugi, Mama Benesta, Pili Msiba. na wengine wageni
Magomeni, nawaelewaga sana mnapokuwa kazini. Since kitambo kazi zenu zumebaki kuwa unique...
When gentlemen and sisters get serious for the Lord, the answer is always AMEN
Sawa rugina
Wewe pia ktk kazi hizi ni Konki Konki Konki Master... Productions unazosimamia zinakonga myoyo ya wengi! Keep it up! Nitakutafuta pia
@@farajamaduhu1981 nazidi mshukuru Mungu kwa mbaraka huu alonijalia MUngu anisaidie nisaidie wengine ,karibu sana brother
Brilliant song! May the Lord blessed you all...
Kazi nzuri..sana bro Rugina
Huu ndiyo uimbaji bora wa Mungu, Magomeni nawakubali sana,na uzuri wenu ni ushirikishaji wa vipawa na karama za watu.Thanks for this...0782764109
l just like how young man solos,with good voice
Aise huu wimbo ni mtamu balaa nashangaa sikuwa nimeusikia nakoment this time tar 29/09/2022..Mbarikiwe
Mungu atukuzwe kwa uimbaji mzuri na ujumbe makini
Amina watumishi wa Bwana. Slava Bogu
Hallelujah... BWANA atukuzwe..
nikanoli bakiweni sana tim magomeni kanisa langu
Lini
Good magomamenii choirs
Ameni niko msm naipataje
Amen!
Amiina sana
Amen, barikiweni
i go to this church i hope more join
Huu ndio muziki wa Mungu.
BARIKIWA kaka
Mungu awabariki
Nabarikiwa
AMINA.
Amina kwa uimbaji mzur
Amina
Safi sana hii
Jaman hii album ntaipataje
Ok
Hii album naihitaji sana namba zangu ni 0766441920 naomba kujua naipataje
Amen
Amen
Amen