#live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1

  • @Bobbrownjumbo
    @Bobbrownjumbo 8 วันที่ผ่านมา

    Haya mambo ya kupigana pigana faini kwa mambo ya kijinga yanawakata moto sana wasemaji na yanaondoa sana burudani katika mpira. Sijaona kosa katika mazungumzo ya alikamamwe maana kwa kiasi kikubwa yalikuwa na utani ndani yake. Kwa Ahmed sijafanikiwa kutazama na kuisikiliza ingawa kwa juu juu naona kama ahmed ni mtu wa kuropoka na kuchangamsha genge ambapo kuna wakati huwa anaongea pumba. Kwahiyo ni wa kumdharau tu. Haya yote yalipaswa yapuuzwe tu