Yani move nzima Kwanza napenda kuku pongeza we kipala kuto kumuoga clam ume uwa 🔥🔥🔥ume ongea kama ww mwenyew alafu kingine uyo mpare jamn 🔥🔥 🙌 ana ni fur Ahishaa😂😂😂😂
Nawapongeza sana kwa kuifanyia kazi changamoto ya sauti maana sasa hivi imetulia na mkuu wa wachawi anaeleweka vizuri Big up kipara brand keep it up ❤❤❤
Mungu awabariki wote mnafatilia movie ya ndg yetu kipara Wana man ...Na Kila anae amini mwaka huu anafanikiwa asipite bila ku like ....ila 112 😅
Nawey pia ubalikiw san naweny munafanyanaw kaz
😂😂😂😂 kavurugwa😂😂😂
Amiin inshallah
Namba 112😂😂km Dori wa kipesile😂😂😂
Nampenda uyo mkuu wa wachawi anajiamini na anajua kucheza kwenye nafasi yake na kipala chake feki😅😅😂😂
Kipara brand unschelewa sana kazi zako kutoa jitaidii unajua sana brother
Yani move nzima Kwanza napenda kuku pongeza we kipala kuto kumuoga clam ume uwa 🔥🔥🔥ume ongea kama ww mwenyew alafu kingine uyo mpare jamn 🔥🔥 🙌 ana ni fur
Ahishaa😂😂😂😂
Mung akibariki kipara brand maana unatufunza meng kwenye hii moove yako god bless you may brother
Kipara wana man unaweza ukatusaidia huu wimbo tukaupata maaana mzuri sanà na una make attraction🎉🎉🎉🎉🎉
Kipara wana man unakuja kwanguvu mpya kbs mwaka huu huwaachi salama kbs❤❤❤❤❤❤❤❤❤
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team kipara one man ❤
Baba kipara mulishelewa kutuashiya movie zuri Sana
Huyu mzee anaweza sana ❤❤
kazi nzuri kutoka kwa kijana wetu kipara hakika tanzania filims tumeendelea sana tumshukuru mungu kwa hili
❤❤❤❤to you Kipara na team Yako hii ni bonge la movie kweli,,,,,,nami Leo naomba like hata kumi jamani
Asante sana kipara kazi nzur kijana wangu mwenyezi mungu akuzidishie kipaji chako kizidi kuu ngaa 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥
Kipara jaiva hii noma sana kk🎉🎉
Yaani umetuliya vizuri sana❤❤
Kipara hii season yako Kali🔥🔥Ila mnachelewesha Sana ... big ups bro from 🇰🇪🇰🇪
Professar❤❤
Tunakukubali mno......kipara🎉🎉
Jaman nipeni like zangu nimekuwa wa kwanza leo
For sure kipara anatoa kazi nzuri ila hiii ni KIBOKO YAO.💪💪
Tulio msamee kipara bland na wafuasi wake tujuane❤❤❤
Professor Akaona utokee Darajaniii Jmn I like it
mwnye rangi ya mtume anataka elf 2000 kapewa 10000 kakimbia 😂😂😂❤❤tunawapenda
Kipira kweli unajuwa kwanini ss unagawiya kutosha❤❤❤❤❤ nimehikubali hiyi muvie ya kipara nikali kweli ila kuna watu sijawaona dani ya muvie.
Nmewai though nmechelewa kidogo..makopa❤ za kipara zimwagike huku
Good nice one story brother professor eke eyi kipara wanamani🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
KIPARA na SANDRA mpaka sasa washauteka moyo wangu swz ku kaa bila kuona movie zao❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Unizidi Mimi bhana 🤪🤪
Nampenda huyu kipara aisee anajuwa mpaka anabowa
Mpeni🎉🎉❤
Weueh❤❤❤❤❤❤my professor .......kiparaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kipala Kazi nzul sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉
Kazi nzuri kipara jah bless u and ur team😍😍😍
Fanya utukiletea mapema kipenzi ♥️❤
kipara jaivah aweeh umetisha
MUARABUU ASL ALYK GOD BLESS YOU 😅😅 NA HUYU MKUU SAUTI YAKE KAMA YA MZEE MAGARI 😅😅 GOOD JOB
Kazi nzuri xana MUNGU Awabarikii lakini ungetuongezea dakika coz umechelewaa et......
wow mm wa Kwanza kutoka Kenya naomba likes zenu tunaopenda professor 🎉🎉🎉
BIG UP KWAKO MA-BROTHER KIPARA JAIVAH 🎉🎉🎉 PROFFER ✅
Kazizuri sana naipenda❤❤❤
Kazi nźuri sana wana Sandra wote. Mkenya n̈ko nanyi pamojʻa.🎉🎉🎉🎉🎉
Kama unaamin mungu ni bora kuliko hii movie like hapa❤
Unatutega au
Kwanz huyo mungu uliyemuandika ni mungu wako lakn ss tunamjua Mungu huyu lazim herufi ya kwanza au zote ziandikwe kwa herufi kubwa Mungu.😅😅
@SalumKissuu-il1hv saw pastor salum
Professor upo vizuri majani kua pesa so mchezo hongera muishi miaka mingi team nzima🎉🎉🎉🎉🎉
Wa pili leo from DRC 🇨🇩 congo tunawa kubali sana 😊😊
Kutoka South Africa 🇿🇦 naomba like 🎉🎉❤❤
❤❤❤
Upo vizuri kipara ukikaza kidogo clam VEVO utampiga chini, sema vizur sana kipara ngoto Songa ugali tule.
Nipo na wewe kamanda wangu💪💪💪💪💪💪
Kipara wee kiboko wee nice job my brother 👌👌
KAZI nzuri Sana kipara 🎉❤ila umechelewa sana
😂😂😂kiparaaa nmecheka saana kka hongeraaa mungu ukujarie kwenye kazi zaki huyo rangi nyeupe umemuweza saana😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Professa halali njaa duh majani tu anageuza peaa
Uyu mzee wa kipare ananifuraisha sana aisee😂😂
Team from 254 Kipara salut
Professor kipara kaupiga mwingi hiyi nibonge lamovie hongera sana team kipara
Hahahaha 😂😂😂😂 mwarabu una vituko
kazi nzuli sana mr kipara wana man 🎉🎉🎉
Kipara Sandra sizo Hao nawapenda sana. Nimekaa zangu huku Burundi.
Jamani tuna waomba musiwe na kawisha filamu, ku toka. Na ishi DRCongo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 na penda sana iyi filamu.
Dah mwenzetu una tisha balaa na kiswahili,mm pia mkongomani ila ww noma, kiswahili kibaya kama nn
Kipara nimekunyooshea mikono we ni kiboko Allah azidi kukupa Afya njema.
Mhhh mwarabu jau kweli😂😂😂😂
I'm from Kenya kipara Wana man endelea kutupa vitu vikali kaka we support you
Big up sana kazi safi sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Ni zuri tatizo unachelewesha sana nakwakua umechelewesha watu wengi awatakufatilia zaidi
Huyo mwarabu sijui muhindi dah tatizo kamdomo ananiacha hoi😂😂😂🤭🙌
😂😂😂😂
Kazi hizi ni ngumu kikubwa tuombeane tuu🎉🎉🎉
Huyo mwarabu nishampend jmn💕💕
Wapenda pilau tujuane hapa 😂😅❤
Nawapongeza sana kwa kuifanyia kazi changamoto ya sauti maana sasa hivi imetulia na mkuu wa wachawi anaeleweka vizuri Big up kipara brand keep it up ❤❤❤
PROFESSOR Ndio Habari ya mjini🎉🎉🎉🎉
ILa umepita kuchelewesha kipara ebu wanze kuwahi tafadhali from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hongera Sanaaaaaaaa professor Kazi nzuri Sana
Duh Hii Movie Mzur Respect Sana Kipara Brand
Wabongo Mimi naomba mnipe Sandra tuwe mashemeji😊
Hongera sana tuko pamoja na wewe, ila kama ulivosema jitahidini sana maana mnatoa utamu wa movie mkuchukua siku nyingi
Hii ni kazi kubwa sn ya kipara hongera sn unaonesha umekuwa mkubwa sasa. Kaza Kaka
Poleni kwa changamoto. Tunawapenda zaidi. Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daah sijawahi kukesha kuangalia movie ila hili goma limenifanya nikeshe🙌🙌🙌
Jamani siwezi kuishi bila ya mzungu mimi😂😂😂😂mwambieni sijiwezi
Brother kipara katika series kali uliyo towa hii ni machine nakubaliii sana mkuu umetisha ❤❤
Professor from Malawi wow nice one Kali sana brother Mr kipala
Kumbe ukiacha umbea unapendeza Ivo 😂😂😂kazi nzuri
Hongera kipara kwa kazi nzuri
Hii movie ni Kali Sana kipara jaiva tunakuomba angalau vipande viwe dakika 40 hivi utàkua umetisha
Tatzo unachelewesha sana kipara jeiva hebu tuwahishie vitu asee Yan Iko vizuri sana
Oya kidato kipala unachelewa sana kutoa mwendelezo ndugu
Wewe kipara ni noma umekuwa the second artist in our country.
Bigap sana.
Professor 😂😂😂 nakupeda bure bro from Kenya
Kazi nzuri ila tatizo ni kuchelewa ❤❤❤❤
Kizuri chochote huwa kinahitaji muda mkuu
Movie yangu pendwa Mungu akipenda tutakua pamoja mwanzo mwisho
aweeee nxt usikue unachelewesha saana but videos zako ziko safi sana twakupenda saana🎉🎉🎉❤
🎉❤❤❤Kazi nzuri kipara wanaman
Hii ni Kali Sana much love from Kenya
Hongera sana team kupara ila kwa huyu mpare mi nainjoy Zaid 😂😂
Kipara, abi, sandra na suzy mnanikosha sana
Wakwanza kutoka Mozambique 🇲🇿 naomba like ata 10 tu 🎉
Haswaaa kipara mm nitakua mwenyeji wako❤
Aise kipra unatisha kazi nzuri sana❤❤
This is first love from Mozambique ❤🇲🇿✊🏿
Hongera sana kakangu kipara ❤❤❤❤😂😂😂
Sandra sas s kama mmeo alikufa njoo Kwa MANYANYA MSÅLÏTĪ Kenya ule vzur👁️👁️👁️
Mnachelewesha kaz mwishoe tunogewe na nyingine changamka kak kaz ni nzur
Umepigwa kimbola from dsm to zanzibar 😅😅😅
OK SAWA NIME ELEWA APO PROFESSOR
Weee kipala hii Atari Yani upo siriasi thanks you my friend kipara wanamani😅
Nani kafurahi kumuona mirambo,karibu tena...alafu pastor anaishi na mchawi jaman😊,hii ndio dunia 🙌