NIMEKUWA NKIMALIZIA KUUA MAITI AMBAO HAWAJAKUFA VIZURI MORTUARY - OSUFUCHE REVEALS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • Watch, like, Share. For mentions and content collaborations, text us at +254733290656
    Part 2 : • TULIKUWA TUKIZIKUA MAK...
    Subscribe to Osufuche channel ‪@magwanjaosufuche‬
    _____________________________________________________________
    ►Support our shows on PayPal: bit.ly/ZadkDonate
    ►Subscribe NOW if you are new: bit.ly/3nKxDpK
    ►Follow Zack on Instagram: zad_ke

ความคิดเห็น • 271

  • @Bonfacemogoa
    @Bonfacemogoa 5 หลายเดือนก่อน +18

    Plz plz plz plz watu wa mortuary nawaomba tu Kwa Imani kuu ya Mungu mtu yeyote masikini au tajili akiletwa kwenu kama ajakufa plz mrudishe hos atipiwe apone aone njamii yake wezake wafurahie Wacha tamaa ya Dunia akuna mahali itawapeleka mtakufa tu na hiyo uaji yenu

    • @VeraAkinyi-l7g
      @VeraAkinyi-l7g 5 หลายเดือนก่อน

      Unapewa story unakasirika we tembea Kila mortuary Fanya education kwa hao watu

    • @lucymutua9525
      @lucymutua9525 5 หลายเดือนก่อน

      You are rude​@@VeraAkinyi-l7g

    • @RuthMuli-wh1vc
      @RuthMuli-wh1vc 4 หลายเดือนก่อน +1

      kindly don't kill

    • @Fayolafaya254
      @Fayolafaya254 3 หลายเดือนก่อน +2

      My brother hakuwa amekufa na wakamumalizia his story is true .

    • @reginahkalundewambua6268
      @reginahkalundewambua6268 28 วันที่ผ่านมา

      😢hawawezi wanasemanga customer achiliangwi😢kama umekufa umekufa💔

  • @HappyBigWaterfall-nj6ef
    @HappyBigWaterfall-nj6ef 5 หลายเดือนก่อน +11

    this is a criminal activity DCI should investigate

    • @Mina.15
      @Mina.15 4 หลายเดือนก่อน

      They’re lying about views

    • @Maris-l1n
      @Maris-l1n 4 หลายเดือนก่อน

      @@Mina.15 GThey shoujld be put in they confessed

  • @ArianaChris-u9j
    @ArianaChris-u9j ปีที่แล้ว +22

    Jesus is coming soon many people are now confessing their sins

    • @MukonyiDan17
      @MukonyiDan17 ปีที่แล้ว +2

      Does your statement apply with this

    • @TheVadFamily
      @TheVadFamily 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@MukonyiDan17huyu wachana na yeye😂😂

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +3

    Subuhanallah sijuikwa minguwatu watasema nini hizo hazabu watapata watajuta kuuwa wenzao Duniani

  • @harrietajiambo229
    @harrietajiambo229 ปีที่แล้ว +5

    Hii ni story real cuzo wangu wawili huwa wanafanya job mochari but kitu huyu jamaa anasema wao pia husema na imagine mmoja yuko Busia na mmoja yuko Kisumu .

    • @Josephine-s2h
      @Josephine-s2h ปีที่แล้ว

      😢😢😢😢😢😢waaaaa

  • @Myright888
    @Myright888 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mortuary job inatakiwa sasa wote wakaguliwe Vifaa wanavyoingia navyo ndani maana hii si sawa, haikubaliki.

  • @lillianmasinza1787
    @lillianmasinza1787 ปีที่แล้ว +12

    Does this Man know that he is talking about lives of People .
    People loose their loved ones not knowing that they are killed physically in the Morgue .
    It's so sad .

    • @ongachiclare
      @ongachiclare ปีที่แล้ว +1

      Acha tu ,my mum alipewa Dawa imeandikwa dangerous to rats and Mause 😭😭😭 ,nilishindwa Na huyo daktari Wa Mbale hospital,my mum aliuliwa Na simu hosi,Kwa hivo ukiwa namgonjwa wako hosi chunguza Dawa anapewa,mungu atusaidie😭😭

    • @jaredjohn3061
      @jaredjohn3061 9 หลายเดือนก่อน +1

      He's not ready to change, just by listening to his story

  • @everlinemuhadia2754
    @everlinemuhadia2754 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hey guys! Pride of Africa. Kitambo vile hatukukuwa na mortuary. Watu walikuwa hawakufi OVYO! BT mortuary vile nilifunguliwa. IKEA ni job. Sio poa lsay.# business #

  • @everlineakinyiogolla5599
    @everlineakinyiogolla5599 ปีที่แล้ว +7

    Baba ya wanjiku the brand ,ndio maana alikuwa na mapesa

    • @ombegomourine1715
      @ombegomourine1715 11 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅 kumbe ni pesa ya haramu

    • @martinakemunto7785
      @martinakemunto7785 4 หลายเดือนก่อน

      He was also very insensitive he is used to atrocities

  • @NaomiMuthoni-sv6bs
    @NaomiMuthoni-sv6bs 4 หลายเดือนก่อน +5

    Pls this are creative story,aache uongo.nafanya kazi kwa morgue na hakuna mtu acha fufuka akikufa.respect your work you don't deserve this work.working in morgue is a passion not finding contrnt my friend

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 ปีที่แล้ว +5

    Hospitali Zina Siri kubwa jamani.

  • @bantkmaca5756
    @bantkmaca5756 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hii story c jaba ni kweli😮😮😮🙄🙄😳😳😳😥😥na ujue damu itakuandama kwenye maisha yako ,, enda utubu dhambi wewe , ila kizazi chako kiko kwa hatari😢

    • @everlinemuhadia2754
      @everlinemuhadia2754 5 หลายเดือนก่อน

      True kitambo watu walikuwa wanafufuka bt now?? Weeee watubu

    • @johnkimani7944
      @johnkimani7944 5 หลายเดือนก่อน

      Help us by going to "report" and report this fake story at least ten times to have this fake channel with very lowly dangerous ⚡ misinformation shut immediately 😮😮😮

    • @Mina.15
      @Mina.15 4 หลายเดือนก่อน

      Comment yako ni ya jaba pia

    • @bantkmaca5756
      @bantkmaca5756 4 หลายเดือนก่อน

      @@Mina.15 Yako ni ya njugu au pk

    • @bantkmaca5756
      @bantkmaca5756 4 หลายเดือนก่อน

      @@Mina.15 yako ni ya njugu au pk

  • @jacklinelihabi5535
    @jacklinelihabi5535 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akusamehe kuua watu

    • @marthalyimo634
      @marthalyimo634 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa nini asamehewe na anafanya kusudi

  • @MargaretOmondi-pf3uz
    @MargaretOmondi-pf3uz 3 หลายเดือนก่อน

    Wah😢 osufuche looks tough.
    Even your wife can fear you if she hears how you are KAMALIZA

  • @makimudoubledouble5605
    @makimudoubledouble5605 3 หลายเดือนก่อน +1

    this man kwa Obinna Show ako sykeless

  • @AshbabeMuigai-wv2vo
    @AshbabeMuigai-wv2vo 5 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂bibi ya huyu wanalala kwa bed moja

  • @annemaina7328
    @annemaina7328 4 หลายเดือนก่อน +1

    Could it be true. I doubt very many questions??????

    • @Fayolafaya254
      @Fayolafaya254 3 หลายเดือนก่อน

      True my sister I can tell you they finished my brother.

  • @robertwaliaula8880
    @robertwaliaula8880 ปีที่แล้ว +3

    Huyu brother anaongea uwongo sana.
    Kama si mlevi wa pombe ni mvutaji wa bangi ama mkuka.
    Haiwesekani kuuwa mtu ambaye hajafa kwa kutumia shoka .
    DCI fuateni huyu jamaa aongee vizuri, Luna uzekano alikuwa akifanya kazi ya kikosi cha wahalifu wa kuuza viungo vya binadamu.
    Mortuary attendants ni professional ambao wanafanya kazi yao kwa ustadi mkubwa
    Kujieni Hutu jamaa aeleze vizuri kisha ashitakiwe kwa mauwaji

    • @julieluziga4773
      @julieluziga4773 ปีที่แล้ว

      Ameconfess ili awe huru. Mungu amrehemu

    • @janewanjira-ki6ib
      @janewanjira-ki6ib ปีที่แล้ว

      He is speaking the the world we live in wicked only God can save us:::this is a confession God is forgiving

    • @MaryMbugua-wd3ev
      @MaryMbugua-wd3ev 4 หลายเดือนก่อน

      Mambo na shika ata Mimi nilianza kuskiza kitambo Sana, mbona ukane?

  • @daddyvmusic
    @daddyvmusic ปีที่แล้ว +5

    Don’t post part one if you don’t have 2 🤷🏾‍♂️ U think we gonna look for part 2 a week from now 😤 ?

  • @Fayolafaya254
    @Fayolafaya254 3 หลายเดือนก่อน

    This true story coz my brother was not dead fully walimumalizia huko...wacha nisionge but naeza sema mtu asipelekwe mortuary haraka after kukufa they need to wait kidogo for 72 hours

    • @Xxxxxkenyao
      @Xxxxxkenyao 3 หลายเดือนก่อน

      It's true they are in business the mortuary itself

  • @andyken8404
    @andyken8404 ปีที่แล้ว +4

    Meaning hata hosy hua hawaconfirm vizuri mtu kama amekufa!!!!! Waaaah

    • @harrietajiambo229
      @harrietajiambo229 ปีที่แล้ว +2

      Daktari pia hupanga na watu wa mochari

    • @faithrehema4767
      @faithrehema4767 ปีที่แล้ว

      Eeeh imgn Io si poa aki

    • @ongachiclare
      @ongachiclare ปีที่แล้ว

      Hosi wakiona mgonjwa anasumbua anapewa sumu

  • @CallenMaxwell
    @CallenMaxwell 6 หลายเดือนก่อน

    Aki mungu muurumie huyu jamaa hii story imenitola machozi but mungu akuurumie aki 😭😭🙏🙌🙌🙌

  • @ShiruRuth-t8h
    @ShiruRuth-t8h 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wengine wao wanakuaga wamefaint

  • @rehemamoseti995
    @rehemamoseti995 5 หลายเดือนก่อน

    Waaah God intervine 😢😢😢muimbee si kupenda kwake

  • @TheVadFamily
    @TheVadFamily 11 หลายเดือนก่อน +2

    At some point inakaa jaba ju how do you reveal their secrets confidently,,what if wakutafute?

    • @njerichristine9491
      @njerichristine9491 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ee hii ni story za jaba why expose the institution you worked for.or alifutwa akaamua kuexpose

  • @naomishivere7838
    @naomishivere7838 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wanjiku the brand.. Tell yur father to repent😭😭

  • @anastasiamumbi739
    @anastasiamumbi739 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wangu kumbe watu wanafanya kazi baya hivi jameni yaani badala urudishe mtu kwa hospital ww unamalizia ngoja hukumu uliua ww

    • @lizykwekwe3144
      @lizykwekwe3144 ปีที่แล้ว +1

      Mungu n mwingi wa rehema akitubu atasamehewa

    • @christineakiru7002
      @christineakiru7002 ปีที่แล้ว

      True coz yy hakujua ni kazi ngani atubu atasamehewa

  • @periasakimba7892
    @periasakimba7892 5 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa shoosho kukuongelesha ati ulimuua kabla hajakufa sielewi, alikuwa spirit ama juu anakuambia ulimua kabla hajafa

    • @Mina.15
      @Mina.15 4 หลายเดือนก่อน

      You’re asking a stupid and lying person a question. Don’t believe this is NONESENCE

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 4 หลายเดือนก่อน

    Pole kijana. Kazi ni ngumu iyo umefanya.

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa jina Tu linashinda KAZI anafanya,😂😂bt story zingine Mimi uwa Tomaso

  • @judithambuli2675
    @judithambuli2675 2 หลายเดือนก่อน

    What a testimony

  • @Victor-f6p8d
    @Victor-f6p8d 4 หลายเดือนก่อน

    Every single day. A lot happens in this world. Both extremes

  • @mwalimubenardotieno5703
    @mwalimubenardotieno5703 5 หลายเดือนก่อน +1

    This is what is called cultism 😢😢 Believe in Jesus Christ and He will set you free. Ecclesiastes 9:5

  • @TheMainakin
    @TheMainakin 2 หลายเดือนก่อน

    Working tools????..

  • @DANIELMUSYAOFFICIAL
    @DANIELMUSYAOFFICIAL 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu mtu anogea ukweli,i went to see my mum then nikama amevura kwa shingo i think walimnyoga zaidi,,,kama nilibaki yatima kwa dunia pekee af ni hiki kilitokea nooo,72hrs for more check up in hospital

  • @naomi7552
    @naomi7552 ปีที่แล้ว +1

    God of Heaven prevent my children from this evils

  • @MourineOori
    @MourineOori 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yesoooo😭

  • @Bonfacemogoa
    @Bonfacemogoa 5 หลายเดือนก่อน

    Aki Dunia Mungu anaona maajabu mnafanya Hadi ndio maana amekasilika kurud mara ya pili njameni

  • @tiffanyakello8127
    @tiffanyakello8127 หลายเดือนก่อน

    Huyu Jamaa apana nafanya kazi kwa morgue na akuna stri ati mtu amefufuka before mwili iletwe Kwa MORTUARY they fully confirm that mtu amekufa ndo analetwa
    This guy is only after likes and views Kwa TH-cam channel yake

  • @TheVadFamily
    @TheVadFamily 11 หลายเดือนก่อน +2

    NEXT PART MKUU

  • @christinekelly8756
    @christinekelly8756 4 หลายเดือนก่อน

    This is a sad story😢kumalizia watu hawajakufa

  • @HawaSwaleheh
    @HawaSwaleheh ปีที่แล้ว +5

    Ey kazi yako ni finishing 😂😂😂

    • @salimsaleh6587
      @salimsaleh6587 4 หลายเดือนก่อน

      Very sad 😢 very funny at the same time😂😂😂

  • @mollyvanessa6554
    @mollyvanessa6554 ปีที่แล้ว +5

    This is Kinuthia Baba wanjiku who neglected the wife in the hospital and started dating Brenda who happens to be hus daughters best friend🥲

    • @sheilaayoti2157
      @sheilaayoti2157 ปีที่แล้ว

      Aki ni yeye😢

    • @janemathenge9111
      @janemathenge9111 ปีที่แล้ว

      Haki ni yeye nilikuwa najiuliza hii mtu nilimuona wapi

    • @vugutsacynthia7026
      @vugutsacynthia7026 ปีที่แล้ว

      Hiyo yao ilikuwa acting..hiii story sasa ni ya jaba

    • @sallyasoro3713
      @sallyasoro3713 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂yule jamaa amemarry friend ya daughter wake

  • @Godneverfailed
    @Godneverfailed 2 หลายเดือนก่อน

    Reason ya kuwamalizia

  • @najmahnajmah2165
    @najmahnajmah2165 ปีที่แล้ว +8

    Mimi ziezi olewa na mtu anafanya kazi mortuary 😢😢😢😢 may God forgive you 😢😢

    • @Josephine-s2h
      @Josephine-s2h ปีที่แล้ว

      I support you

    • @HadijaZabroni-pu1lt
      @HadijaZabroni-pu1lt ปีที่แล้ว

      Kabisa yaani mtihani sana 😢😢😢😢😢

    • @Emnaibei-bp6fk
      @Emnaibei-bp6fk ปีที่แล้ว

      Wanjiku the brand your dad speaking

    • @kimogutu-t5b
      @kimogutu-t5b 5 หลายเดือนก่อน

      Na butcherman

    • @MariamNakoa
      @MariamNakoa 29 วันที่ผ่านมา

      Huyu ndio mungu atakupea

  • @Huncho_taitan_breezy
    @Huncho_taitan_breezy ปีที่แล้ว +3

    Story ya uongo hata haimake Sense,,, Bodies brought to mortuary when doctor's confirm they are dead how come msee anapelekwa mortuary hajakufa.

    • @machakuroger7068
      @machakuroger7068 11 หลายเดือนก่อน

      I support you, the story is non c sense, he said it is a true story- he is a big lier

    • @idleProm
      @idleProm 11 หลายเดือนก่อน +1

      Some people were brought directly from scene

    • @LydiaKananu-j7i
      @LydiaKananu-j7i 8 หลายเดือนก่อน

      Ni ukweli anaongea samani watu walikuwa wanafufuka siku hizi watu awafufukangi kwa nini

    • @jennifergeorge8917
      @jennifergeorge8917 5 หลายเดือนก่อน

      My dear s8z ni ukweli mtu ufufuka my grammar alikufa we confirmed she's no more since morning till 8pm usiku tukapeleka mochari mazishi ikapangwa tunaendea mwili let me tell maina aliamka but hakuwa in her senses huyu mtu alikuwa on duty was a nice person aliitisha nguo akapitishwq mlango ya nyuma ..ni God si wote huuwa but alikuuja akaaga 2022 I wish I had time ningekupeq stori vile alifika heaven chenye aliambiwa time yake bado kufika ni binadamu anataka kukatiza huai wake

  • @rhthrhrh6896
    @rhthrhrh6896 11 หลายเดือนก่อน +1

    ATI mwili aikufa vizuri wee

  • @mohamednagib2594
    @mohamednagib2594 2 หลายเดือนก่อน

    In Kenya , that can happen and even media will be so obsessed with him. The killer will even get likes. Police will even watch this video and clap for him.....A failed state is a failed state jamani.

  • @BendettaKatheu
    @BendettaKatheu 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akusamee

  • @felitussitoki6918
    @felitussitoki6918 5 หลายเดือนก่อน +1

    Story za jaba 🥺

  • @miriamchebet6118
    @miriamchebet6118 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ua tunafaa kufufuka nyinyi ndiyo mnatumalizanga,bt hii story ni uongo akuna mwili upelekwa mortuary inapelekwea mwili usiku,ata hosi watu wanakufa usiku uchukuliwa asubuhi

    • @tereciahm8741
      @tereciahm8741 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa kwani hamumujui? These guys wanatubeba ufala imagin Wana script mavitu tu watuharibie buddles,, naona nkiachana na utube soon

    • @harrietajiambo229
      @harrietajiambo229 ปีที่แล้ว +2

      Hii story my dear ni real mortuary watu huwawa amini leo hashwa sana sana huwa wanatumia nyundo

    • @princesspreciousmugo5390
      @princesspreciousmugo5390 ปีที่แล้ว +1

      So you kill people

    • @miriamchebet6118
      @miriamchebet6118 ปีที่แล้ว

      @@tereciahm8741 mimi sikuizi ata TH-cam si rahisi unatuwestia mbs tu

    • @miriamchebet6118
      @miriamchebet6118 ปีที่แล้ว

      @harrietajiambo229 true Kuna jirani yetu aliponea,aliwapimia alitoka mbio hadi police station uchi wa mnyama

  • @shyeepaul4859
    @shyeepaul4859 2 หลายเดือนก่อน

    Script..respect kazi za morgue and stop discrimination hkn mtu huenda kwa morgue kama hajakufa and anatomy law prohibits kudamage mwili

  • @veronicamutheu5253
    @veronicamutheu5253 ปีที่แล้ว +1

    Is this Baba Breda Wanjiku of loyalty test???, ama mimi ndio naona zangu😮

  • @irinemudasia8387
    @irinemudasia8387 หลายเดือนก่อน

    Oooh God

  • @demungate
    @demungate 4 หลายเดือนก่อน

    I think DCI should get this character for these atrocities.

  • @ericonyango9595
    @ericonyango9595 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hizi ni jaba

  • @AngoSheriff-be5mq
    @AngoSheriff-be5mq 11 หลายเดือนก่อน +1

    Niko na my story kali

  • @LydiaKananu-j7i
    @LydiaKananu-j7i 8 หลายเดือนก่อน

    That why nowadays people don't raise from dead samani watu walikuwa wanafufuka God have mercy on us. Hii ni Morgue gani?

  • @BendettaKatheu
    @BendettaKatheu 11 หลายเดือนก่อน

    Wee mtoto wangu nimrefi kabisa nisaidie

  • @WorldLesson
    @WorldLesson 5 หลายเดือนก่อน

    Interesting espesially sufuche

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 ปีที่แล้ว +3

    Innalilah wa ina elehi rajioon 😮

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +3

    KilMfanyakazi wa. Muchwali uwa anasemaga hivyo wanauwa sana watu na nyundo au sindano uakuchomwa kwa shingo

  • @queenyakinangop4096
    @queenyakinangop4096 3 หลายเดือนก่อน

    Waa Kenya Kenya

  • @ymefay
    @ymefay ปีที่แล้ว +1

    Wow 😳

    • @ckudy
      @ckudy 11 หลายเดือนก่อน

      Huyu yko jabaa 😂

  • @moreenrugendo4954
    @moreenrugendo4954 ปีที่แล้ว +2

    Huyu sino baba wanjiru

  • @cicinho6157
    @cicinho6157 9 หลายเดือนก่อน

    This true,bt now its your time

  • @ezramwakio8322
    @ezramwakio8322 5 หลายเดือนก่อน

    Why do you like? Because the postmortem will State otherwise your axe blow

  • @nancynyaboke2719
    @nancynyaboke2719 4 หลายเดือนก่อน

    Woooii is this not baba wanjiku the brand???

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 ปีที่แล้ว

    Huyo jamaa anatembea !!!!!!!maiti inatembea!!!!!!!!😮😮😮😮

  • @jeffkaranjafilms6441
    @jeffkaranjafilms6441 ปีที่แล้ว +1

    Wooh

  • @fotycows3830
    @fotycows3830 5 หลายเดือนก่อน

    How can you kill a dead person I don't gerrit

  • @rosejambi2713
    @rosejambi2713 ปีที่แล้ว +1

    Wewe nimuongo kabisa nauodoke kwenye mitadao yetu kwanini Kuna mutuanaberekagwo mok akiwa hai nakama nikweri sema niwAbi,

    • @Imana.ninziza
      @Imana.ninziza ปีที่แล้ว

      Nikweri sio muongo kuna watu wanaberekwa mok wakiwa hai ,kuna MTU tanzania arikua anafanya kazi kama hii mok ya kumarizia ,,sasa yeye warimpa sindano zakuadunga iri wafe,dunia ina mambo😢😢

    • @sophiamakani6133
      @sophiamakani6133 ปีที่แล้ว

      ​@@Imana.ninzizabut huyu ni acting mkubwa 😂😂tushamujua

  • @RachelKimaro
    @RachelKimaro 2 หลายเดือนก่อน

    Ndomna waislam hawapereki mochwari mwaelewa sas

  • @TeresiaWangui-sy1oh
    @TeresiaWangui-sy1oh 5 หลายเดือนก่อน

    Ana ona NI sifa but ni upuzi wako wata malizwa hivyo tu

  • @jaredjohn3061
    @jaredjohn3061 9 หลายเดือนก่อน

    He doesn't want to say the name ot that morgue

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 ปีที่แล้ว +2

    Kwa nini wapeleke watu bado hawajakufa??

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 11 หลายเดือนก่อน

      Africa pasua kichwa

  • @flezzyroshan9380
    @flezzyroshan9380 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ya mortuary n laana tupu Hadi Kuna wale hulala na maiti

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢 tubu zambi za kuua

  • @dennismusila87
    @dennismusila87 5 หลายเดือนก่อน +1

    This is Nonsense this things Don’t happen this are paid actors kupeana story a mortician is usually trained sio kutolewa kwa streets to job

  • @Shakido17
    @Shakido17 5 หลายเดือนก่อน

    Why unatisha

  • @harunkioko
    @harunkioko ปีที่แล้ว

    Hio yoote ni ka uongo. Unaweza kaa 2 years bila kuenda country bus na watu huko wakujue???

    • @Morningglory88817
      @Morningglory88817 ปีที่แล้ว

      Na after 2 yrs still no cash ya kwenda kwao home

  • @flovianodongo5877
    @flovianodongo5877 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂osufuche anauza sufuria

    • @nyakwarshotT
      @nyakwarshotT 4 หลายเดือนก่อน

      Haha😂😂😂

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 11 หลายเดือนก่อน

    Tubi dhambi zako hizo. Kwani mtu akipelekwa bahati akawa mzima si unamrudisha tu kwa ndugu zake? Jamani!

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 ปีที่แล้ว +1

    Wa Kenya wabaya kwa nini uuwe

  • @benjaminbatano698
    @benjaminbatano698 ปีที่แล้ว

    Utamaliziaje kuua maiti? Maiti tayari amekufa! Kiswahili gani hiki?

  • @pamj9v
    @pamj9v ปีที่แล้ว +2

    Part2 pls

    • @tereciahm8741
      @tereciahm8741 ปีที่แล้ว

      Ni mauongo yote hii I know this guy

  • @PerizKorir-st1nc
    @PerizKorir-st1nc ปีที่แล้ว +1

    C huyu n baba wanjiko mwenye alikuwa ameoa brendah

  • @timothyotienoobiero1080
    @timothyotienoobiero1080 4 หลายเดือนก่อน

    huyo msee ana create story hiyo story ni uongo buda wacha chocha tafadhali .sisi si watoto buda jipe shguli hakuna kitukama hiyo ufanyika mortuary wacha uongo buda ,,,,ongeya ukweli buda . aiiiiiiih apana uongo tupu

  • @TeresiaWangui-sy1oh
    @TeresiaWangui-sy1oh 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmm wapi na hicho nicha kimigori halloooooooo

  • @carowambua4832
    @carowambua4832 ปีที่แล้ว +1

    Baba wajiku

  • @carolineotenyo5888
    @carolineotenyo5888 ปีที่แล้ว

    Huyu si yule acting baba Wanjiku the Brand? Kumbe hizi huwa tu story za Jaba? 🙄🙄🙄😂😂😂

  • @maureenwanjiku7669
    @maureenwanjiku7669 4 หลายเดือนก่อน

    How he even got the job position is questionable... Out here so many trained morticians are busy tarmacing kutafuta kazi... Huyu ni story za jaba ako nazo kutuharibia jiná us trained morticians...

  • @scholakilonzo2906
    @scholakilonzo2906 ปีที่แล้ว +1

    My God what this ??

  • @MaryWangu-m4p
    @MaryWangu-m4p ปีที่แล้ว +1

    Hii ni morgue gani aki watu wanaenda mbiguni bila fare 😅😅😅

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini mwaua insted of kuwasaidia

  • @kenyatop-notchnewstv.
    @kenyatop-notchnewstv. 4 หลายเดือนก่อน +2

    I doubt if this story is true .I suspect is a manufactured story for views .

    • @kadzo6614
      @kadzo6614 4 หลายเดือนก่อน

      Yes..he appears in alot of channels with different stories including loyalty tests. It's total trash 🗑️

  • @kiri5807
    @kiri5807 ปีที่แล้ว

    Maiti ambao hawajakufa vizuri ? Kwani kiswahili kikojee ? Km mtu hajafa ataitwajee maiti ?

  • @sharonmukami8984
    @sharonmukami8984 4 หลายเดือนก่อน

    This man is criminal,

  • @degrahomambia1599
    @degrahomambia1599 ปีที่แล้ว

    Ghai ooh my God 😢haki surely no wonder siku hizi watu wakienda hos wanakufa tu kumbe wanamaaliziwa yaani mortuary imekuwa business

    • @uytfjhii2138
      @uytfjhii2138 11 หลายเดือนก่อน

      Wanataka pesa mob

  • @faithkoome3806
    @faithkoome3806 ปีที่แล้ว +3

    Ghai huyu si ni baba wanjiku?

    • @innocentatieno8406
      @innocentatieno8406 ปีที่แล้ว

      Eeeh wanjiku the brand

    • @PerizKorir-st1nc
      @PerizKorir-st1nc ปีที่แล้ว

      Mmh n dad wake yule mwenyw alikuwa ameoa brendah

    • @maggieenock4762
      @maggieenock4762 ปีที่แล้ว

      😂😂😂victor Kinuthia

    • @faithkoome3806
      @faithkoome3806 ปีที่แล้ว

      @@maggieenock4762 arudishe guitar ya pastor ng'ang'a