MWISHO: KIBUBU CHA WEMA - 11/11 SIMULIZI ZA MAPENZI ZA EDGAR MBOGO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 68

  • @wemamtundu7906
    @wemamtundu7906 2 ปีที่แล้ว +7

    Hii story ina asilimia 99% kama maisha yangu, hili liwe fundisho kwa ndugu mtu akikusaidia saidikeni sio kupaka ubaya cus kamwe milango ya mafanikio haitafunguka. Thanx simulizi mix, imenikumbusha mbali sana🇩🇪🇹🇿

  • @lightnessmsangi3148
    @lightnessmsangi3148 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeee Mwenyezi Mungu naomba nifunndishe kutenda mema bila kuchoka,
    Hata katika maumivu niliyo nayo, naomba unipe ujasiri, nakuomba saaana, bila wewe siweziiiiiii🙏🏻

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah 🥰🥰 Elisha popote ulipo Mungu akuzidishie🤲
    Ahsante sana brother 🙏

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah kwa kaka moyo msafi wacha abarikiwe na baraka za wazazi pia kapataa Alhamdulillah kuwa na moyo safi ufanikiwe

  • @mezeaali4559
    @mezeaali4559 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Kwa simulizi nzuri na yenye mafuzo, m barikiwe sana

  • @milhamariam7105
    @milhamariam7105 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Felix Mwenda na Edigr Mbogo tumeburudika tumejifunza mambo mengi kama ubaya wa Eriya mana ubaya hawuna kwawo ninamararamiko Felix
    Bikira ya bibi harusi3 tunauriza hamutujibu tupe burdani na MR HANDSOME tujibu dusubiri awo njobas tudashukr ukitujari wadau

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi huyu Eliya Leo ndio anajua kwamba yy pamoja na Elisha ni watumbo moja,,,alijali pesa ila hakujali utu au undugu jmn haya ni mafunzo bora ktk familia nyingi maana wkt huu familia nyingi zimekuwa hazidhaminiani bali zina angalia maslahi tu..... shukran ndugu Felix bila kumsahau mtunzi wetu Edgar mbogo mbarikiwe sana pia niwatakie Christmas njema na mwaka mpya wenye mafanikio tunapo subiri burudani nyingine

  • @hawaabbas8224
    @hawaabbas8224 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana felix mwenda kwa simulizi nzur simulizi hii inatufundisha undugu ni kufaana siyo kufanana hongela elisha kwa kupambana mambo moto 🔥🔥🔥🔥

  • @jacklinequeen3214
    @jacklinequeen3214 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimejifunza mengi kwa kweli adui anakua rafiki tuwaombee madui zetu

  • @ainsesseverest1136
    @ainsesseverest1136 2 ปีที่แล้ว +2

    Leo ndiyo nimeelewa maana ya kibubu cha Wema shukran sana Felix Mwenda pamoja na Edgar mbogo

  • @jenniffermumo6327
    @jenniffermumo6327 ปีที่แล้ว

    Felix mwenda kutoka njombe huku I like the way you narrate (voice) na kicheko. Natamani kufika huko njombe kwa sifa hixi xooote kutoka kwako

  • @AnnaMundia-d3o
    @AnnaMundia-d3o 8 หลายเดือนก่อน

    Felix mwambie Edgar he is unique ..Guys keep up your good works..thank u

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante sanaa kaka Felix mwanda kwa simulizi hii nzuri kweli kweli ciao ciao 🥰🥰

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 ปีที่แล้ว

    Natowa salamu kwa waliousika kujiandaa simulizi hii na kwa mtunzi mwenye kuitunga kwakweli raa sana Yani kuanzia nateteta na mkewangu hadi mkewangu alipo isikiza alitulia kwakuisikiliza na pia mungu amjaalie msimulizi wetu Mr Felix mwenda pongezi sana maana imekua kwangu niulevi wakivyake nisipo pata simulizi mpya uwa mgonjwa sana kwaio natowa shukran sana .

  • @khadegaseed1413
    @khadegaseed1413 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukran kaka felex but naomba muwendelezo wa KITANDA CHAAGANO plz by dida from oman 🇴🇲

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 ปีที่แล้ว +1

    Nimeimaliza yote kwa siku moja🥰🥰🥰🥰🥰

  • @josephmbunda1181
    @josephmbunda1181 ปีที่แล้ว

    Dogo Upo vizuri kiutunzi mimi ni shabiki yako mkubwa kabisa hongera

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa simulizi nzuri sana hii

  • @saragh1243
    @saragh1243 2 ปีที่แล้ว

    Sante sana felix pamoja na simulizi mix bila kumsahau bwana Edgra

  • @halimamazrui8138
    @halimamazrui8138 2 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni sana Edgar na Felix kwa simulizi tam na ya kusisimua

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 2 ปีที่แล้ว +3

    Kibubu cha wema. Ndio maana unaambiwa wema hauozi

  • @swifatsukimtuliaswifatsuki3730
    @swifatsukimtuliaswifatsuki3730 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mr mbogo na ferix😍😍😍🔥🔥

  • @mamtuhhassan809
    @mamtuhhassan809 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana 🥰🥰😌😌♥️♥️♥️

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 ปีที่แล้ว

    Pongezi kwa Edgar mbogo kwa cmulizi ya kuccmua na yenye mafunzo. Bila kumsahau mtangazaji wetu mahiri bro felex

  • @chaqueamane7644
    @chaqueamane7644 ปีที่แล้ว

    Heshima kwa mbogo Edgar saluti kwa Felix mwenda

  • @bintdoman7752
    @bintdoman7752 2 ปีที่แล้ว

    Iko poa sana hongera mtunzi hongera Felix safari hiii tuletee ya chalomo chapombee nimemmic🤪

  • @chaqueamane7644
    @chaqueamane7644 ปีที่แล้ว

    Hi simulizi ina asilimia 100% na maisha yangu ya lionitokea kipindi lipo aza Vita malishababe msumbiji

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sanaa

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 ปีที่แล้ว

    Baraka za wazazi Elisha amekua Tajiri mtoto

  • @umisidi1816
    @umisidi1816 2 ปีที่แล้ว +3

    Vitako kama vibati 🤣🤣🤣felix ukimaliza hii simuliz katubu yani

  • @mwanahawayunus3653
    @mwanahawayunus3653 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani felex vimepondeka vitako

  • @milhamariam7105
    @milhamariam7105 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwahamu ninayo ntavumiria iyo harusi ýa Elish na uzuni wa Eliya

  • @aishatanzania597
    @aishatanzania597 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamn mbn haifunguki uko vzr sana eti

    • @asiaoman2979
      @asiaoman2979 2 ปีที่แล้ว

      Inafunza jaman tuwajari wazazi na ndugu zetu hujui la kesho

    • @asiaoman2979
      @asiaoman2979 2 ปีที่แล้ว

      Watu kama eliya wako wengi

  • @aishajuma7391
    @aishajuma7391 2 ปีที่แล้ว +2

    Ckua natamani ifike tamati,kama ni mchuzi basi viungo vilikolea kabsaaa

  • @ukhtymamy5423
    @ukhtymamy5423 2 ปีที่แล้ว +4

    Mi hakuna kitu kinacho nifurahisha kama kumsikia felix mwenda akicheka huwa inanoga sana

  • @kezia5777
    @kezia5777 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh 🥰🥰🥰🥰😘

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 2 ปีที่แล้ว

    Thanks kaka Felix

  • @matesomoci6376
    @matesomoci6376 2 ปีที่แล้ว

    Nice🙏🙏🙏

  • @yusravyizigiro1247
    @yusravyizigiro1247 2 ปีที่แล้ว +2

    😘😘😍🤗

  • @emmanuelmwatujobe8450
    @emmanuelmwatujobe8450 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekaa 👉 nasubili ifunguke

  • @muzdalefaali4975
    @muzdalefaali4975 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @yusravyizigiro1247
    @yusravyizigiro1247 2 ปีที่แล้ว +2

    🤗🤗😍

  • @aminamhina9129
    @aminamhina9129 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @reginachangala9907
    @reginachangala9907 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @AishaAisha-yz3ns
    @AishaAisha-yz3ns 2 ปีที่แล้ว +2

    Egiga. Hajawhi kufeli

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 2 ปีที่แล้ว +1

    dakika ya nne ila watu kama wote🤣🤣🤣🥰

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 2 ปีที่แล้ว

    hadi raha, pale msimuliaji anapofurahia usimuliaji wake + sauti yake tamu, yaani ni burudani kwa sisi wasikiliaji

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad1282 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani Felix hua una niumiza mbavu ukianza hicho kigugumizi yana hana maneno ya kuongea nkama kasakamwa na kiazi cha moto

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad1282 2 ปีที่แล้ว

    Ndo kuingia

  • @rayaburhan1849
    @rayaburhan1849 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatimae imekubal 5 00 ndii nipo

  • @sarahsamson9362
    @sarahsamson9362 2 ปีที่แล้ว +1

    🤸🤸🤸🤸🤣🤣🤣

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥👌

  • @fatematrtr4995
    @fatematrtr4995 2 ปีที่แล้ว

    👌👌👌👌💕

  • @sharonnyabeta5134
    @sharonnyabeta5134 2 ปีที่แล้ว +3

    Nikadhania nasubiri pekeyangu kumbe dha...🤣

    • @salmasulleykrl71
      @salmasulleykrl71 2 ปีที่แล้ว +1

      Wee tupo wengi achaa tumalize love you simulizi mix ❤️🔥💕😘💓💖💖 💖💖💖💖💖

  • @mezeaali4559
    @mezeaali4559 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunaisubili

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 2 ปีที่แล้ว

    Like

  • @جيهانسالم-ج3خ
    @جيهانسالم-ج3خ 2 ปีที่แล้ว +1

    jamani nimewayi leo wa 16

  • @جيهانسالم-ج3خ
    @جيهانسالم-ج3خ 2 ปีที่แล้ว +1

    ila pako wenye hawalali

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @mismamina3787
    @mismamina3787 11 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉❤

  • @abdulpires9091
    @abdulpires9091 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🙌

  • @fatmahraseid7019
    @fatmahraseid7019 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️❤️