Yan kw kwl me. Sija muon munsheed anae mfika salim ally yan me naon sijui nikwmby dunia mzm hakun kam yy man me sija muon na wal sija skia kwnz mungu amempa kipaji anaeza kukutungia nashed hapo hapo Masha Allah❤❤ mungu akubarik na kaz zako na istoxhe salim usije ikosa nashed ya mrembo sauda ukija pemba plz
Masha Allah kazi nzur sana salim na usije tuangusha man tunakutegemea sana na tutakuja kukumbuuk san Allah akupe nguvu akupe uwezo uzid kutupa vitu kam ivo amiiin 🙏🙏
Aaaamin ya Rabbi asante kwa dua. Sitowaangusha inshallah wapendwa na nitajitahidi kufanya kazi nzuri zaidi inshallah na Allah ndio ninaemtegemea kwenye hili.
Kama kuna Munsheed anamshinda Salim Ally kwa nasheed nzuri naomba niandikieni hapa nimjue. Huyu mwanamme sijui mahadhi anayatolea wapi kila siku mapya na hayaishi hamu
Alhamdulillah. Tunatrend wapendwa wangu, Endelea kucomment.
Mashallah ❤kwli motto umewaka mrembo sauda atisha sifa km zte BIGUP SALIM ALLIY❤
Mashallah kz nzr sn salim
maa shaa Allah 🎉🎉🎉🎉 salim aliy upewe mauwa yako 🎉 Allah akuepushe na kila shar na akuwekee kila la kheir aamin ❤❤❤
Aamiin aamiin
Aamiin aamiin
Aaaaamin aaaamin asante shukran sana kwa sote inshallah
Sauti yake..mashairi yake..huzidi kuwavutia shabaki zake🔥... Masha Allah salim Allah awe nawe kaka yangu❤
Aaaamin ya Rabbi asante kwa sote inshallah
Kuna watu wanapew sifa tu lakini kuna watu wanaimba hasa.Salim Aly sio msanii anaepewa sfa za uongo lakini ni msanii wa muda wote. ❤❤❤
Kunywa juisi popote ulipo nakuja kulipa🥰
@7Ammy69huku uliko unajichanganya kama hutaki acha kufatilia mbona unasoma hadi Comment anazoekewa 🤔🤔🤔🤔🤔ww usiskilize wala usifatilie kama kweli usitukoroge saaiz
Yan kw kwl me. Sija muon munsheed anae mfika salim ally yan me naon sijui nikwmby dunia mzm hakun kam yy man me sija muon na wal sija skia kwnz mungu amempa kipaji anaeza kukutungia nashed hapo hapo Masha Allah❤❤ mungu akubarik na kaz zako na istoxhe salim usije ikosa nashed ya mrembo sauda ukija pemba plz
@7Ammy69 nitaftie kam umemuon
Ndugu watu na mapenzi yaoo km unaona hafai kampe izo sifa unaemtaka ila wenzio tushakubali ivo na ndo tushasema😊
Kwa kipi? Au kupenda KUimba WANAWAKE?
@@adamududu1260 icho icho ambacho kinakushughulish ww hadi sasa uko kwenye page yake na unacomment hadi sasa
@@adamududu1260 naww hii channel inaziona za wanawake tu ee au ndo zinazokuumiza roho ndo zipo basi na zitaendelea kutoka
Maaashallah Salim Ally unafanya kazi kubwa narejea tena wew ndio namba moja Africa Mashariki❤❤
Naomba ipigwe pin hii Comment 😊
💯💯❤ exactly
Jamani asanteni shukran sana
Mashaallah nakupenda wallah kwa ajili ya Allah.
Asante nakupenda pia
Mashaallh tabarak allh mungu akuzidishie kipaji chako Salim ally hongera sana allh akusimamie
🤲🤲🤲
Maaasha Allah like Elena Like Sauda. Lakini Salim Ally una sauti nzuri natamani ningekuwa na wew❤❤❤❤❤❤
Mhhh sijui vipi
Masha Allah kazi nzur sana salim na usije tuangusha man tunakutegemea sana na tutakuja kukumbuuk san Allah akupe nguvu akupe uwezo uzid kutupa vitu kam ivo amiiin 🙏🙏
Maaashallah Allah ampe umri mrefu na afya njema
Aaamiin aamiin na amlinde na kila baya
Aaaamin ya Rabbi asante kwa dua. Sitowaangusha inshallah wapendwa na nitajitahidi kufanya kazi nzuri zaidi inshallah na Allah ndio ninaemtegemea kwenye hili.
Mashaallah akhuy allah akubarik kwenye kaz zako🤲🤲🎉🎉🎉❤
Kama kuna Munsheed anamshinda Salim Ally kwa nasheed nzuri naomba niandikieni hapa nimjue. Huyu mwanamme sijui mahadhi anayatolea wapi kila siku mapya na hayaishi hamu
Mamzain🙈
Wooow wonderful ❤🎉Mashallah ❤💯💖🥰💕
Many many thanks
😮😮 daah maaaaaaaaaaaaaaaaaaaashalaaah!! Amazing congratulations 🎉 may Allah bless you 😊 💖 and protect every day WELL DONE 👏
Miongoni mwa Bidaaaa,Allah atutoe kutokama na hizi nyimbo ambazo si katika uslaam🤲🤲
Hii sio uislam hatujawahi kusema huu ni uislamu. Lakini wew sjui unafanya nini hapa si uondoke akhi naona bado unaangalia
Kama si uislaam ni ukafiri au ?
Mashaallah kaz nzr❤
Maşallah sauda wa salim Ally ❤
Mashallah kazi nzuri
Mashallah mashallah kazi njema sana
Mashaallah fantastic nasheed❤
Maa Shaa Allah 🎉🎉
Salim❤❤❤❤❤❤ hongr Sana kaka
Best of besters
🔥🔥🔥🔥
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah 👍👍
Masha Allah 💥💥💥
Me jamani nauliza kati ya adam na hawa na hii sauda ipi imemshinda mwenziwe kwani 🤔🤔🤔mbona namm naona nimotooo tu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Adamu na Hawa ipo juu Zaid mam zen
Adam hawa❤namba moja😉
Hatary watu wangu wa adam na hawa💖🥰💖❤️💖🥰❤️💖🥰❤️
Zote nzr sana
Mashallah ❤
Mashallah
❤❤❤❤❤❤❤
Salim Aly swahib Ajmy aiona namba yako
Sijafahamu namba gani sheikh
Mashallah ❤
Mashallah