Majibizano ya MANGE KIMAMBI na LULU ni mazito, kisa kupima VVU live hali yafikia hapa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 178

  • @felixmwayeya6716
    @felixmwayeya6716 ปีที่แล้ว +18

    Mange kuna mda namwonaga mshamba analetaga udaku wakijinga sana sasa ndio udaku gani huu? zaidi ya kuwa ujinga mtupu kuna mda unakuwa hujielewi kabisa we mdada🤮

  • @winnieexavery3304
    @winnieexavery3304 ปีที่แล้ว +18

    Eventually mange , lulu ndo kiboko yake!!😂 safiii sanaa umemnyoosha huyu 1GB

  • @didahmohsin3536
    @didahmohsin3536 ปีที่แล้ว +9

    Hyuu mange hana akili..kabisaa sasa kama ana kinachomuuma kitu gani...tumemwambia atutangazie afanye kazi ashakua mtu mzima..aache kutoa aibu za watu..amuache lulu aache wivu mange

  • @ummykitira5371
    @ummykitira5371 ปีที่แล้ว +18

    Njoo Tanzania tukuchome moto mpare mjinga wewe

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      utampata wapi wewe kuku maji

    • @ibrahimucharles3254
      @ibrahimucharles3254 ปีที่แล้ว

      mpare tena 🤯🤯🤯

    • @rehemaomary3493
      @rehemaomary3493 ปีที่แล้ว

      ​@@ibrahimucharles3254 ndio ni mpare unafikiri kabila Gani huyo mange

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza ปีที่แล้ว

      @@rehemaomary3493 atakua mchaga sio mpare

    • @rehemaomary3493
      @rehemaomary3493 ปีที่แล้ว

      @@MrNdanguza mange kimambi ni mpare cyo mchaga ila Lulu ndo mchaga

  • @ghanimaseif1633
    @ghanimaseif1633 ปีที่แล้ว

    Yaani huyu mange jamani ni mtumzima ovyoooo

  • @annamadavid4152
    @annamadavid4152 ปีที่แล้ว +1

    Lulu hebu kaa kimya achana nalo

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 ปีที่แล้ว +5

    Kwa mtizamo Mange kaathirika😅😅😅😅😅

    • @Welcomehere
      @Welcomehere ปีที่แล้ว

      😂😂 Umetisha

    • @paulshibhiti9584
      @paulshibhiti9584 ปีที่แล้ว

      Eee bwana shavu la mange kimambi linaonesha ukimwiiii kabisa

    • @Welcomehere
      @Welcomehere ปีที่แล้ว

      @@paulshibhiti9584 duh 😂😂😂😂😭 kwan ukimwi ndo ugonjwa gan? Na inatokan na Nin adi upatikane?

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 ปีที่แล้ว +6

    Mange kila kitu kina malipo yake sasa hivi unaona Raha kupata bukubuku za wajinga lakini mwisho wako utafika

  • @Hahaha-yf4ug
    @Hahaha-yf4ug ปีที่แล้ว +3

    Hivi wewe Mange na Lulu musimame sehemu moja harafu watu waone Nani mugonjwa Kati ya Mange na Lulu ni Mange ndoo anafana ukimwi

  • @davidkamando9630
    @davidkamando9630 ปีที่แล้ว

    Ni ujiingaa!! ( KWa sauti mrisho mpoto)

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +1

    Lulu ni mbishi kumbe😂😂😂 nime mkubali

  • @nightwishisthegreatestband6355
    @nightwishisthegreatestband6355 ปีที่แล้ว

    Alipokuwa anamsimanga JPM na zari mlikuwa mnafurahi. Leo kawageukia wote mnataka kulia. She's your problem now.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊

  • @solangekubota9487
    @solangekubota9487 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂watamuona kwa macho

  • @dorikapaulo-qv6fo
    @dorikapaulo-qv6fo ปีที่แล้ว

    Kawezwa balozi wa njaa🤣🤣🤣🤣kaomba po

  • @abdullahalkindi9673
    @abdullahalkindi9673 ปีที่แล้ว

    Lulu weka muhami huko huko America wamtie adabu Mangi

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 ปีที่แล้ว

    Mange utakufa mdomo wazi ww dada kila kukicha kuongea tasokuhusu,kama ww mkamilifu

  • @jeyshillyjack4470
    @jeyshillyjack4470 ปีที่แล้ว

    Aky mange Acha hizi jamani sio poa jamani mbona unakumbusha mtu mambo iliopita

  • @shukurulazaro8688
    @shukurulazaro8688 ปีที่แล้ว

    Mange ni mjinga tu uyo

  • @estershekika8865
    @estershekika8865 ปีที่แล้ว +1

    Lulu mbona umepenic sana leo

    • @leahzuu6468
      @leahzuu6468 ปีที่แล้ว +2

      Wewe ungefanyaje?

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 ปีที่แล้ว +2

      Acha upumbafu kapanc wap

    • @nicolenabintu2509
      @nicolenabintu2509 ปีที่แล้ว +2

      Aka panic dear , lulu Akili kubwa na hapendi upuuzi, ame explained kikubwa 🤸🏼‍♀️

    • @Welcomehere
      @Welcomehere ปีที่แล้ว

      @@nicolenabintu2509 Umeonae

  • @paulshibhiti9584
    @paulshibhiti9584 ปีที่แล้ว

    Mbna mange kama anashavu la ukimwi

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +3

    Hata kama viral load unidetected ukipima HIV inaonekana

    • @mukrimkhamis678
      @mukrimkhamis678 ปีที่แล้ว +1

      Yupo sahihi ukitumia Elisa test huwa undetecteble if ukitumia dose vzur na ikiwa CD4 cells zipo High

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 ปีที่แล้ว

      @@mukrimkhamis678 ciku hizi hatupimi na ELISA 10 YRS AGO ni SD BILINE NA DBS hata kama ikiwa unditected ukipima na SD BIOLINE ITASOMA POSTIVE kama hujaelewa uliza tusaidiane labda ungeniambia UNDETECTED hawezi kumwambukiza mwingine HIV

    • @neemadaniel6233
      @neemadaniel6233 ปีที่แล้ว

      Kwel kabisa

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 ปีที่แล้ว

      No haionyeshi

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 ปีที่แล้ว

      @@rose_Winchester86 usidanganye watu HIV inaonekana

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @mwanajumamwinyi2665
    @mwanajumamwinyi2665 ปีที่แล้ว +19

    Hasira zote kwa vile hakuwahi kupata sura ya mtoto wa lulu😂😂😂😂😂😂😂ukimwi sio kitu cha kushutua

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว +2

      hutumiii app wewe mtoto wa lulu alipostiwa na ndio huyo huyo aliopostiwa na majizo msio na app mtulie mange hanaga matango poli na ikowa ni matango poli huwa anasema

    • @Welcomehere
      @Welcomehere ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman Ebuh Nionyeshe Vyoote Nione

    • @breymbasa3451
      @breymbasa3451 ปีที่แล้ว

      Munaofuatilia app ya mange wote mawaki

    • @Welcomehere
      @Welcomehere ปีที่แล้ว

      @@breymbasa3451 maan yake Nin ya mawaki?

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

      Mtoto alimpata hasaaa

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว +1

    ila mange huwa anawashwa na hawezi kukaa bila kutafutana na watu.

  • @ayshaally8804
    @ayshaally8804 ปีที่แล้ว +14

    Huyu mange anajikuta sana 😢😢😢hovyoo kubeba mambo yawenzakee

  • @modrinmaufi9142
    @modrinmaufi9142 ปีที่แล้ว +4

    Jamani fanyeni uchambuzi wa wimbo wa Roma 😂nipe maua yangu Tz tumechoka kufatilia maisha ya watu ,Mbona nyimbo za kina Mond mizifanyia uchambuzi

  • @NifashaSamiraSSS-yv5et
    @NifashaSamiraSSS-yv5et ปีที่แล้ว

    Kana Kaka sura kama kizazi cha mbwaa sura Hana koma tena mtoto wawatu yuko sawa

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +7

    Mange awache kubull watu kupitia magonjwa. Shame on you

  • @happinesskamera-4197
    @happinesskamera-4197 ปีที่แล้ว +2

    Sasa kama ana H.I V? Inamuhusu nini? Mwehu huyu mange? Hana Mungu....akipata yeye Kansa je atajitangaza? Tumche Mungu maradhi yote yanauwa

  • @paulineonkoba5792
    @paulineonkoba5792 ปีที่แล้ว +9

    Mange is in America and what she’s doing is against the law . I wish she finds a good lawyer in US and sue her

  • @sanchostylist...9719
    @sanchostylist...9719 ปีที่แล้ว +4

    Simpendi Uyu Mange Komwe Na Vitako Vyake Kama Ndimu...🚮💔😂

  • @culatebellejeremy262
    @culatebellejeremy262 ปีที่แล้ว +1

    Hata kama ni kwel Yuko positive, so what????. Wivuuuu Tu😏😏😏

  • @jescakahangwa5224
    @jescakahangwa5224 ปีที่แล้ว +1

    Mange umevuka mipaka huwezi kumsingizia mtu wewe Je mbona utoi taarifa za kwako acha unoko. Maisha ya Lulu yanakuhusu nini?

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +2

    Ila Mange mkorofi, ila napenda lulu anavyojibu, kama mimi vile nikimjibu mtu 😅😂😂😂

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 ปีที่แล้ว +1

    Yaniii huyu ujiti 🙌🙌🙌 sijui yupoje wallah Kila mtu anamvaaa sijui anajikuta Nan huyu mifupa

  • @munisomiraji9879
    @munisomiraji9879 ปีที่แล้ว +12

    Dah this is beyond human abuse Mange Ajitathmin

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      wewe ndio ujitathimini

    • @sanchostylist...9719
      @sanchostylist...9719 ปีที่แล้ว +1

      Mange Hajielewi Na Vitako Vyake Kama Ndimu...😂😂

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 ปีที่แล้ว +3

    Mange punguza wivu.kwa vile hamisa hakuolewa utakoma.lulu usihangaike na tahira

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      we nae nyumbu kweli kweli sasa hamisa anaingiaje hapo

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman we kama hujui kaa na utahira wako😏

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 ปีที่แล้ว +13

    Lulu 4 mange 0😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      4 za ukimwi 😃😃😃😃😃mange kamstai tu na usikute anabomu lake lingine hivo alikua anamchokonoa tu ili aliboost hilo alilonalo😃

    • @Welcomehere
      @Welcomehere ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman inaonekana Una kubali mange 🤣 maaan Una mtetea mnoooo

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      @@Welcomehere 😂😂😂😂hua namkubali sana sema ananiboa tu kuunga mkono ushoga

    • @n7428
      @n7428 ปีที่แล้ว

      Sasa Lulu ana weza kumzidi Mange kwa points kweli mimi sio shabiki wao ila Lulu hawezi😂😂😂

    • @zawadilutufyo8771
      @zawadilutufyo8771 ปีที่แล้ว

      Awee lulu anajibu kisomi na hapanic , hatukani wala hategemei kumdhalilisha mtu Kucatch attension!!! 😂 lulu hatumii nguvu ati!! Wala hana shida ya tbt za mtu kushinda vita! So mange akacheze anakochega

  • @ghanimaseif1633
    @ghanimaseif1633 ปีที่แล้ว

    Anakosa hata kazi ya kufanya

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 ปีที่แล้ว

    Mange usiwe unakurupuka kuvamia watu. Fanya utafiti kabla ya kuharisha. Umeshajitapakaza uharo, sasa unakuja kujisafisha eti ohh, "nilikuwa sijaelewa, ilikuwa ni wrong information"! Yaani unatuletea uongo, halafu ndo unafanya utafiti! Wewe ni wa kufunguliwa mashtaka kwa kuchafua watu. Kubwa zima jinga, baya. Sura yako ilivyo mbaya na roho yako ni mbaya hivyo hivyo.

  • @aysherkitoi5507
    @aysherkitoi5507 ปีที่แล้ว +1

    Hata kama ni kweli inamuhusu nini mange bado yupo nyuma sana kwani ukimwi ni ajabu au yaani huyu dawa yake ni sindano ya sumu tuu na asilogwe akaja Tanzania ndio mwisho wa uhai wake ni kosa la jinai kumwambia mwenzio anaumwa wakati hujampima yupo marekani lkn kama yupo manzese Uzuri huwa simwamini huyu dada

  • @Jamalsaid255
    @Jamalsaid255 ปีที่แล้ว +2

    Mtazamo wangu nikuwa kuna mtu ypo mbl nashida zakimaisha ila kwavile alizaliwa kwenye maisha yashida anajikuta anashindwa kuishi bila shida

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 ปีที่แล้ว +2

    Mange yamemkuta anajitetea mpka yasyokuhusu 😂😂😂😂

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 ปีที่แล้ว

    Huyu mange kiboko yake ni serekali ya Awamu ya tano😁😁😁😁😁 asubutu tena kisemea mambo ya.siasa anamaliza jazba yake kwa wasanii pumbafu yake kbs

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy ปีที่แล้ว +1

    hata kama anao ye anaumia na nini wakati huo ugonjwa sasa hv km malaria tu hana jipya huyu nyanga'au mkosa nyama

  • @elizabethmafuru5338
    @elizabethmafuru5338 ปีที่แล้ว

    Kwani Lulu akikaa kimya utapungukiwa nini Ni mangapi umepitia na ukavuka Kama uliweza kuvuka mlima ule mrefu hili utashindwaje mtegemee Mungu pekee huyo ndo kila kitu

  • @NifashaSamiraSSS-yv5et
    @NifashaSamiraSSS-yv5et ปีที่แล้ว

    Kaze kazima hovio wewe mange unaweza mzaa lulu kweli koma mtoto wawatu weye mchawi mweusi

  • @valeriaally6584
    @valeriaally6584 ปีที่แล้ว +2

    Mwisho wa huyu dada (Mange)hautakaa uwe mzur maana anaumiza watu wengi sana,namuhurumia

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 ปีที่แล้ว

    Kuna watu ukijibizana nao unapoteza muda wako bure hawaishiwi la kuongea. Ukimwa nao ni jibu .ila pia jambo likiwa ni kweli au uongo majibu sahihi anayo muhusika wa jambo

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews ปีที่แล้ว +5

    Mange hana kazinae

  • @marrypius576
    @marrypius576 ปีที่แล้ว

    Mbona ww ulikuwa unaenda dubai kujiuza kwa warabu na hatuongei ww lukamba ndo anakuweza na hay makarios yako kam ndimu

  • @n7428
    @n7428 ปีที่แล้ว

    Kupima VVU kupima live home virus havionekani kabisa msidanganyike

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 ปีที่แล้ว +7

    Lulu namkubaligi sana kwa majibu hahahahahahaaa

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      anamajibu gani sasa mbona naonaga ni kama mtu aliochanganyikiwa majibu yake ya kawaida sana wala hayashitui

    • @Welcomehere
      @Welcomehere ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman 😂😂 duh wew kiboko yake kwanin humpendi Lulu

    • @faridalihondo3322
      @faridalihondo3322 ปีที่แล้ว +1

      Anamajibu konki mzee

  • @Twalibumshalaba-ud9id
    @Twalibumshalaba-ud9id ปีที่แล้ว

    Dada mange mbona Waz ata msipopima ww unaona kabisa tiyar upo mwisho acha ushamba

  • @breymbasa3451
    @breymbasa3451 ปีที่แล้ว

    Munaofuatilia app ya mange wote mawaki akiri timamu hazipendelei umbea

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 ปีที่แล้ว +5

    kwa umalaya alioupiga Lulu inawezekana ni kweli ana HIV. maana alikuwa analala na wanaume wengi. Alafu mbona kawaida. mimi rafiki yangu anao na amezaa watoto 2 na sasa hivi ana mimba. anatumia dawa. siku hizi cancer ndio mbaya

    • @fatumajumanne5961
      @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว +4

      Rafiki yako au ww achen kucngzia wa2 wakat ya kwenu mnafunka.

    • @naomimagawa9849
      @naomimagawa9849 ปีที่แล้ว +1

      @@fatumajumanne5961 😂😂😂 kwakweli ametumia nafsi ya tatu kujielezea

    • @rayanndizeyes3161
      @rayanndizeyes3161 ปีที่แล้ว

      wewe ulilala na wanaume wagapitangu uliaza kutombona kwa lulu ulimuesabiliya wagapi

    • @preciousjohn9405
      @preciousjohn9405 ปีที่แล้ว +1

      Halafu Ni Kama mimba siyo lazima uwe na wanaume wengi ndo upata hapa unaweza ukawa bikira na siku ya kubikiliwa ukapata so issue mwanaume unae fanya nae Ni salama

    • @fatumajumanne5961
      @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว

      @@naomimagawa9849 Haswaaaa Maana anataka ku2toa kwenye reli🙄

  • @selmesaid7405
    @selmesaid7405 ปีที่แล้ว

    MZIMU WA KANUMBA UNAMUANDAMA LULU ILA UWE UNAMUOMBEA MAREHEMU DUWA UMTOLEE NA SADAKA UKATEMBEE ATA KANURI LAKE POLE LULU ILA UMEKUWA SASA

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 ปีที่แล้ว

      sio lulu huyo... hapa ni LULU DIVA na MANGE.
      Sio LULU ELIZABETH

  • @saudamusa4277
    @saudamusa4277 ปีที่แล้ว

    Achana naehuyo mange kimambi utawezaje kumuongea mtu ambaye ujampima?

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 ปีที่แล้ว

    Lulu kakukomesha mtu mzima hovyo unayezeeka vibaya wivu unakusumbua.

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 ปีที่แล้ว

    Kisheria mage anakesi hairuhusiwi kabisa hata km unamjua mtu anaukimwi kumtangaza

  • @mwanahussein5935
    @mwanahussein5935 ปีที่แล้ว +1

    😂😂 Ila mange jmn

  • @alvinbuchumi8689
    @alvinbuchumi8689 ปีที่แล้ว +2

    Huyu.dada nayeye.yakwake.yanakuja unapomsema mtu,jihesabie mkopo kwako hapo badae,ukimya ni dawa jamani na hekima kubwa,Usiogope maneno.ya mwanadamu ambaye akilala kwajeneza hawez amka Tena,Muogope Mungu tu na hukumu zake utakapoondoka duniani,nyie watu mnafeli wapi? Kitu sio kweli unawasiwasi gani? siukae kimya,utakuwa umeshinda

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 ปีที่แล้ว

    Hivi huyu dada hajui hii ni kesi huyu dada Ana nini jamani...

  • @rehemarwanda6039
    @rehemarwanda6039 ปีที่แล้ว

    Nataman Lulu asimjibu huyu Mange jmn......aachanane nae tuuui..
    .!

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว

    Kwan Mange kinamuuma nn hata km Lulu anwo ila Lulu anajuw kumnyoosh

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 ปีที่แล้ว +2

    Mangi mind your business, leave lulu alone

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 ปีที่แล้ว

    Huyo mange mseng.... tuuuu ndomana miguuu kma mirija

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +2

    Wivu unaua lulu songa mbele

  • @alitunu3086
    @alitunu3086 ปีที่แล้ว

    Watu km mangi hawachelewi kufa mdomo wazi

  • @Hahaha-yf4ug
    @Hahaha-yf4ug ปีที่แล้ว +1

    Kwani kamupima huyo mumbwa Mange

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona anaeonekana ana shida ni mange?

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv ปีที่แล้ว +1

    Leo sauti ya mtangazaji imetulia

  • @stevensteven7764
    @stevensteven7764 ปีที่แล้ว +1

    Ila mange

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 ปีที่แล้ว +1

    Mange ni mu cawi bona anawivu kweli Sida ya kwake

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 ปีที่แล้ว

      Anawaonea wivu akina lulu na zari. Miaka yote kukaa marekani hana hata kibanda au choo chenye jina lake. Huku wenzake wako Africa wanaishi maisha mazuri. Wao wameolewa wakati yeye kutwa kutembea na mababu huku hakuna mmoja aliyemmiliki. Lazima apate maumivu.

  • @jacquelinelukumay9535
    @jacquelinelukumay9535 ปีที่แล้ว +1

    Kweli huyu kichaa

  • @zakiahbeib7825
    @zakiahbeib7825 ปีที่แล้ว

    wapime live tena sheria ichukue mkondo wake

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว

    Haya mambo ndy wabongo wanapenda sikiliza

  • @hassanguzo8026
    @hassanguzo8026 ปีที่แล้ว +1

    Mange kasha jibu huko kampiga k.o lulu kuusu mumewe wafanyakazi wa mumewe wame mkimbia unaambiwa mpaka bronze karudi clouds fm uko vita bado nikubwa kati ya mange na lulu na muda huu mange kampiga ya jicho kaenda kumchokonoa mumewe wa lulu majizo

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 ปีที่แล้ว

    Bongo watu wengi wana ngoma sioni cha ajabu hapo ni nini

  • @mamajaphety1624
    @mamajaphety1624 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 ปีที่แล้ว

    Uyu Mange kimavi taahila

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 ปีที่แล้ว

    Lulu nakupenda SANA unajua kujibu

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim ปีที่แล้ว

    Mange vp mzee wako walimfanya nn

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 ปีที่แล้ว

    Hii yte juu ya pic za mtoto hyu mama yko na kazi 😂😂😂😂😂

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      mtoto yupi wakati mtoto ndio huyo huyo aliopostiwa na majizo na ndio huyo huyo aliopostiwa na mange

  • @maryaika9645
    @maryaika9645 ปีที่แล้ว +1

    Lulu mwache mwanamke mjinga

    • @n7428
      @n7428 ปีที่แล้ว

      Hmm Mange na Lulu nani mjinga Mange ame soma Mange ana mzidi Lulu kila kitu Lol 😆 😂

    • @maryaika9645
      @maryaika9645 ปีที่แล้ว

      @@n7428
      Ohh ujuwi
      Mange hana kazi ila kutafutana
      Na watu ili anunuwe designer bag
      Sasa mtoto wa Mungu upenda
      Amani
      Je kama una ndoa uharibu za watu
      Kwanza anatakiwa awe kwenye suna.
      Kama anaipenda Tz kwanini anakaa nje
      Na kutafuta mlo kupitia your views

    • @n7428
      @n7428 ปีที่แล้ว

      @@maryaika9645 una jua maana ya neno star

  • @neemah6517
    @neemah6517 ปีที่แล้ว

    Acha ujinga ww inakuma nn

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    😂🤣

  • @solangekubota9487
    @solangekubota9487 ปีที่แล้ว

    Daktari wa mchongo uongooo

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 ปีที่แล้ว +3

    Lulu mbona kama kapaniki😂

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 ปีที่แล้ว

    Mmmm

  • @mussarashid2216
    @mussarashid2216 ปีที่แล้ว

    Lulu wewe 5G

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 ปีที่แล้ว +3

    Ila mange 😂na akapime na yeye maana kazidi kukonda

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      humjui mange wewe

    • @ZephaPro-ve7rk
      @ZephaPro-ve7rk ปีที่แล้ว

      We mange humjui
      Kwanza umr wake ni mkubwa sana

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 ปีที่แล้ว

    Mange jamani

  • @sadalenald2438
    @sadalenald2438 ปีที่แล้ว

    Uyu mage uwa nimsenge Sana

  • @sarasarax9664
    @sarasarax9664 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว

    Leo ndio nimeamini Mange ni mpumbavu ivi mtu anaweza kunywa dawa huku aumwi ?? anafahamu madhara yanayoweza mpata mtu kunywa dawa bila ugonjwa pumbavu zake lulu kamkomesha

  • @sadruhsnow5637
    @sadruhsnow5637 ปีที่แล้ว

    Kaz wanayo

  • @solangekubota9487
    @solangekubota9487 ปีที่แล้ว

    Uongooooo

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    😂😅