🚨Uchambuzi EFM,Mapya Simba kuwavaa Singida bs,Kocha Fadlu na Ahmedally wafunguka,Singida wajibu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    chemalone asipangwe maana pale Kuna elvis

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba chezeni Mpira wenu acheni upuuzi

  • @CHRISTOPHERWAILESAN
    @CHRISTOPHERWAILESAN 17 นาทีที่ผ่านมา

    Singida bs watapigwaaaaa tyuuuuu

  • @MusaEmmanuel-u1l
    @MusaEmmanuel-u1l 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ahmed ni mwoga sana wa mechi na kocha wake fadlu wafundishe mpira ili waache kuogopa mechi

  • @GeophreyShipela
    @GeophreyShipela 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakupongeza semaji umezungumza uhalisia na sio ushabiki. Singida sio timu ndogo hata kidogo.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SIMBA HAWAKUOGOPA HY MECHI. WALIJUA KUNA MCHEZO WA MUHIMU SANA MBELE YAO MECHI ZA KIMATAIFA. MLITAKA WACHEZE ILI WAWAUMIZE WAKATI MKIJUA SINGIDA HUWA WANACHEZA RAFU SANA WACHEZAJI ACHENI KUCHEZA RAFU

  • @MusaEmmanuel-u1l
    @MusaEmmanuel-u1l 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa nini useme ky vyombo vya habari ? Manara aliwafuata wachezaji na kuwambia waache kuogopa mechi wapigane kufa nakupona ndiyo msemaji bora

  • @MusaEmmanuel-u1l
    @MusaEmmanuel-u1l 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ahmed ally unawatisha wachezaji ni maneno ya hovyo mgumu mgumu ni ujinga unawahofisha wachezaji huyu ahmed ally wakati mwingine hafai kuisemea timu anawafanya wasijiamini uwanjani MASANZA anajua

    • @octavianlameck3872
      @octavianlameck3872 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni kweli huyu jamaa muda mwngne huwa anafanya wachezaji wapanic kwa kauli zake zakuhofia mechi, mara nyingi huwa anawasifia timu pinzani kuwafanya wakubwa utasikia mechi itakuw ngumu kitendo wachezaji wanacheza huku kichwani wakiwa na hofu na kuamini mechi itakuw ngumu, utasikia kila mechi utasikia itakuw ngumu, badala ya kusema kuw Simba inabidi wachezaji wacheze kwa juhudi kubwa kwa ajili ya kuleta alama tatu,lkn yeye utasikia kila mara mechi itakuwa ngumu na kweli mara nyingi akisema hivo mechi inakuwa ngumu hajui kuw anawapa wapinzani kuw na confidence kuw kumbe tunaweza kucheza na Simba.

    • @bbclondonulimwenguwasoka6126
      @bbclondonulimwenguwasoka6126 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni ukweli Simba hatuchezi vzr

  • @JumamusaOmar
    @JumamusaOmar 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yeye aogopi anachoongea nisaihi apó wachezaji wetu wajue kua mechi yetu inachezwa na yanga pia, wachezaji wajue ni fainari