BALAA LA MISSO MISONDO NA ZUCHU, WAZEE WA MAKOTI WAKICHEZA HONEY YA ZUCHU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 66

  • @MulababazOG
    @MulababazOG ปีที่แล้ว +31

    Makoti vibez
    Hao wazee ni fire 🔥 moto kama unawakubali gonga like zao hapa

  • @OtmaryKiowi
    @OtmaryKiowi ปีที่แล้ว +12

    Ndugu zangu mkazane muda huu, wabongo hatukawii kukinai. Upepo ukipita muwe tayari mshatengeneza maisha❤❤❤❤❤❤. Tushawasahau akina Pierce Liquid, Mandonga Mtu Kazi mm.
    Pigeni kazi wanangu

  • @neeskpop
    @neeskpop 11 หลายเดือนก่อน +4

    Miso Misondo, shauli langu, usikubali wale watu, wakutetemesha makaliyo kwenye mziki wako. Watavunja heshma ya muziki. ❤❤

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 10 หลายเดือนก่อน

      Niko upande wako kabisa asisubutu

    • @neeskpop
      @neeskpop 10 หลายเดือนก่อน

      @@JeannetteManirambona-o6m Asante sana ndugu yangu kwa kuikubali mawazo yangu.

  • @ZuberiJafari
    @ZuberiJafari 10 หลายเดือนก่อน +1

    Aise maisha ni safal ndef mungu akiamua kukupa anakupa2

  • @OtmaryKiowi
    @OtmaryKiowi ปีที่แล้ว +11

    Maisha haya, yaani wazee wa makoti kama masikhara vile ndiyo haooooo washatoboa🎉🎉🎉🎉🎉

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 ปีที่แล้ว

      Kabisa yaani, msemo wa waswahili unasema, "Bahati ya mwenzio usiilalie mlanho wazi"

    • @frankjohn4303
      @frankjohn4303 ปีที่แล้ว

      Malio

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 11 หลายเดือนก่อน

      Wakati wa mungu ni wakati sahihi hutakiwi kukata tamaa daima tuamini na kujinenea mafanikio

  • @jemshidkhamis6158
    @jemshidkhamis6158 29 วันที่ผ่านมา

    maisha sio magumu yanataka ubunifu tu
    kama unawakubali miso Gonga like

  • @AshaMwalimu-qm7gj
    @AshaMwalimu-qm7gj 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenzio akipiga atua ya kihalali dunuani ukumu muachie mungu

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 ปีที่แล้ว +6

    Wakati wa mungu ni wakat sahii🎉

  • @hakizimanaemmanuel6520
    @hakizimanaemmanuel6520 6 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu nabapenda sanaaaaaaaaa, Mimi na yii Rwandan

  • @cobratzmdudu
    @cobratzmdudu ปีที่แล้ว +3

    Nipeni like zangu mir❤❤❤❤

  • @josephntungiye6232
    @josephntungiye6232 10 หลายเดือนก่อน

    Maoni yangu wazee wamakoti wangetengeneza style moja wangependeza sana, tatizo wanapishana sana wanakua kamahawajui wanacho kifanya

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 ปีที่แล้ว +1

    Haya makoti wanayafua au wanayo mengi😂😂😂

  • @kiatu
    @kiatu ปีที่แล้ว +2

    Ni bora wanavyo cheza wale wengine ni matusi tele mbele ya watoto, BASATA wanakuwa wapi kazi kuwatafuta waliotoka😢

  • @JaklineMtaya
    @JaklineMtaya ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwalinda nakuwatiaw nguvu msonge mbele zaidi❤❤❤❤🎉🎉
    🎉🎉

  • @mlishowashengah578
    @mlishowashengah578 ปีที่แล้ว +2

    Ama kwa kweli hakuna anaejua siri ya mahali hela inatoka ukijikaza na kutia Nia kwa lolote ufanyayo mbona hela inatoka ilipojificha😂😂😂

  • @AshaMwalimu-qm7gj
    @AshaMwalimu-qm7gj 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mladi hawamkabi mtu hahahahaha ❤

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hadi raha

  • @OtmaryKiowi
    @OtmaryKiowi ปีที่แล้ว +1

    Yaani hapo limekosekana vumbi tu😅😅😅

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 ปีที่แล้ว

    Miso safi sana,ila mimi nina maoni kidogo wachezaji hawana mpangilio wakati wa kucheza kila mtu anacheza kivyake.

  • @AlisoniGhambi
    @AlisoniGhambi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wakiwa na mipangilio hakita noga hivohivo tu mpaka kieleweke

  • @francismomo7067
    @francismomo7067 ปีที่แล้ว

    Wamezaliwa wengine akina dj mipoda,dj charlz one

  • @ZiadaMnandile
    @ZiadaMnandile 4 หลายเดือนก่อน

    Iko bam to bam❤

  • @AshaAmiri-l2g
    @AshaAmiri-l2g ปีที่แล้ว +2

    Simba nguvu moja

  • @MagrethJoseph-jc4qp
    @MagrethJoseph-jc4qp ปีที่แล้ว +1

    Jamaaa hawachoki kuluka Luka Yani duuuh

  • @HamisDavid-rl4gk
    @HamisDavid-rl4gk 9 หลายเดือนก่อน

    We miso misondo we atari

  • @yustersimon5104
    @yustersimon5104 11 หลายเดือนก่อน

    Ili ufanikiwe lazima m'bebane kwenye maisha miso bila makoti hatoboi

  • @SmilingAntenna-vk4wc
    @SmilingAntenna-vk4wc 9 หลายเดือนก่อน

    Jaman nataman na mim

  • @jumamatsudzo9042
    @jumamatsudzo9042 ปีที่แล้ว

    Hahaha 😂hawa wako operation kweli

  • @JumanneShabani-ic7cr
    @JumanneShabani-ic7cr ปีที่แล้ว

    Wak vizur🎉

  • @MrishoShabani-ey4cj
    @MrishoShabani-ey4cj ปีที่แล้ว

    Nihatali nimewakubali hawa😂😂👍

  • @HellenaAndrew-wf2hq
    @HellenaAndrew-wf2hq ปีที่แล้ว

    Kazi kazi

  • @SmilingAntenna-vk4wc
    @SmilingAntenna-vk4wc 9 หลายเดือนก่อน

    Wako vizur hatar

  • @AyyubMboga-jg8fy
    @AyyubMboga-jg8fy 9 หลายเดือนก่อน

    Uko kupishana ndo style yao tayar

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 ปีที่แล้ว +5

    Bila kuchoka wanangu

  • @avelindaniel2692
    @avelindaniel2692 ปีที่แล้ว

    Jamani nimemuona baba angu hapo mkumbusheni ada January hii😢😢

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 10 หลายเดือนก่อน

    Oya uku Nampula kuna joto itabidi muje ila mvae vitopu makoti mtachubuka

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 ปีที่แล้ว +2

    😅😅😅🤝🔥💯🔥🔥🔥

  • @LUKIMatheo899
    @LUKIMatheo899 ปีที่แล้ว +1

    Kwer bwana haooooo😂😂😂😂

  • @HamisDavid-rl4gk
    @HamisDavid-rl4gk 9 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs ปีที่แล้ว

    Nataman mkulule nao unjejulikan .

  • @MohamedallyHakika
    @MohamedallyHakika ปีที่แล้ว

    Hapo saf t zam yenu hii

  • @saadatiyahyashabani-yg2xy
    @saadatiyahyashabani-yg2xy ปีที่แล้ว +1

    Zuchu yukowapi mbn unaandika uwongo

    • @williamkeita1519
      @williamkeita1519 ปีที่แล้ว

      Ungecomment vipi sasa ama ku view 😂😂😂

  • @HamisiKimbau
    @HamisiKimbau ปีที่แล้ว +1

    Wangefungua jogging tu

  • @marysaimon2213
    @marysaimon2213 ปีที่แล้ว

    Hamjanishawishi bado, wenzenu wanasajili wachezaji nyie mnacheza missondo, mtakufa vibaya nyie

  • @AVANYTZ
    @AVANYTZ 11 หลายเดือนก่อน

    Ujinga

  • @SmilingAntenna-vk4wc
    @SmilingAntenna-vk4wc 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @HamisDavid-rl4gk
    @HamisDavid-rl4gk 9 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @HamisDavid-rl4gk
    @HamisDavid-rl4gk 9 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅😅