They are speaking the actual Swahili.The one we read in books!!Im Kenyan.Siezi kumbuka last time kuongea swa sanifu ivo walai.Congrats
These guys are speaking fluent Swahili than most of Kenyans
Im impressed with the Japanese. I lived in Japan for 3 years and have never met 1 speaking swahili.
This is so wonderful . Inapendeza sana .god will help you .
Lugha yangu adhimu ya kiswahili nakupenda xanaaa.
Sijambo. Haujambo? Hongera kwa kujifunza lugha ya Kiswahili. Ninamuomba mtu yeyote anayependa kuiendeleza lugha ya Kiswahili tushirikiane mimi na yeye katika kuanzisha karakana yetu ya kutunga na kuandika vitabu vya Kiswahili, nyimbo, michezo ya video pia kutengeneza vitu mbalimbali vitakavyo saidia kuwafunza watu lugha hii ya Kiswahili duniani. Mimi ninaishi nchini Tanzania.
Karibuni Afrika mashariki
Kiswahili to the world
Am ryan from kenya and thats, Thats nice, na kiswahili ni lugha mzuri ambapo wajifunza ngeri na maneno mingi
Nimewakubali waongeaji awa wa Kiswahili kutoka nchi mbalimbali duniani kwa kuongea lugha hii kwa umahiri mkubwa.Mimi kama Mtanzania nimefurahi kuona lugha ya Kiswahili inazidi kujitanua...(Kiswahili Mimi nasema ni lugha ya Afrika japo imezaliwa Tanzania-Unguja na pia Kenya Mombasa.
From Tanzania/Zanzibar hakuna matata you are very welcome all of you.......... Learn Swahili is not compact if you want to learn......I hope you can
All I heard was hakuna maatta at the middle
Waoooooh 👍❤️ karibu sana
Saf sana lugha inakua kwa kasi ya ajabu
thanks god for that its hapenning , our people finally gonna be free
Asante, hi ni vizuri sana.
Karibuni mjifunze kiswahili na mie!
Pamoja sana
😍😍😍
Wako vzur
Nice
Kiswahili kitaam bwana
Safi
Karibuni tujifunze zaidi welcome to speak swahili😂😂
Nice
These guys have learnt more kiswahili in a few months than I have in my entire life 😂😂