For this case, the Government should cancel the license of that promoter to not involve any more in any boxing which will happen here in Tanzania, such kind of people abuse our Country name.
Hili suala la boxing hapa Tanzania ni azam ndio alieliibua kiasi kila mtu amependa linavokwenda,kwa hiyo naomba Azam uyo huyo ndio awe mdhamini na muandaaji wa mapambano ya ngumi ikiwa linahusisha watanzani kwa watanzania na wageni na watanzania, haya mambo ya aibu kama hizi niko na imani hayatatokea kwa sababu Azam ni kampuni kubwa na inajielewa haitokubali kuharibiwa jina lake
Ifikie hatua kama viongozi wa tanzania kama hamna msaada kwenye michezo watuwasije kutoka nnje. Hebu tazama watu wanatoka huko harafu hamuwalipiy ivi mnafikiri watu wa nnje wanaichikuliaje tz. Serikari liangalieni hili ubabaishaji umezidi na hawa wanao fanya ujinga huu nikwa sasababu wanajifanya wanawaweza. Hapa hatuna budi kumkumbuka mwana kwenda inauma sana hii
Hiyo ndi tanzania yetu bwana mtu ukitaka haki yako ni shida watu walishazoea vyaekunyonga vyakuchinja..... kwani kiongozi kiongozi mwenye dhamana halioni hili la udhalilishaji wa nchi pyuuuuuu
Chama cha Nguvu Tanzania iangalie Upumbavu huu. Ni Aibu kwa Tanzania. Hutua KALI lazima zichukuliwe kwa kila anayehusika. Huu ni upumbavu ambao utaua Mchezo wa Ngumi Tanzania ambao umekwisha teka mashabiki wengi.
Kuanzio leo nimejitoa mdau wa ngumi hazina maana zimejaa unafiki ,kama mambo ya ulimwenguni kati ya ncho za mgharibi na rest of afrika,ukiwa upande sio wa west or uerope utajuta mfumo ule ule wa dunua ni dhulma tu
sikia ndugu yangu mwakinyo watu wanazidi kukualibia sasa ushaur wabule watakupoteza ebu ama apa tanzania nenda kaanze mahisha inchi nyingine na hamini inchi yoyote ukienda wanakukubali acha tanzania,watakupoteza
Mwakinyo ana dharau sana alishatukana watu sana ikafikia hatua akahitaji waamuzi wa nje sasa anao waamin ndio wabovu kuliko asie waamin acha wamnyooshe na akitaka yanyooke arudi kuomba radhi kwa alio wakosea
Why are you ashaming Tanzania especially on the side of boxing this issues are repeating when you reminiscing to a same man mwakinyo there is a fighter from Angola you did the same and for me am just asking my self who is the ministry of sports in Tanzania he/she have to bend over backwards to assure that things are going perfectly and accurate.
Uyo kindau ni mbabaishaji toka kitambo sio promoter sijajua kwanini mwakinyo aliamua kumchagua hana ela nadhani mwakinyo angeangalia promoter wa maana kwa mapambano yake kama Semunyu uyu ni mbabaishaji!
Pia alisema huyo promota wake asingeqe weza kufanya haya akiwa Ghana kwa sababu wanajua Sheria na pia anasema hajala toka asubuhi yaani amekula mmoja tu
Mwakinyo sasa mnamlaumu kwa lipi? Au hamuelewi kinachosemwa na mpinzani wake? Hao mapromota ndio chanzo cha tatizo na wanaliaibisha Taifa letu kwa janja janja nyingi.
Kosa ni la promota wa mghana na si mwakinyo wala mpinzani wake amesema kwwnye interview ya kwanza na hata hapa analalamika kutolipwa milioni kumi na nne dollar za kimarekani na kutopewa chakula vizuri na pia hajalipa sanction fee kwa ajili ya mkanda
Swali la msingi promoter wa hili pambano ni nan??kwann mwakinyo kama mwenyeji asihakiki malipo ya jamaa kabla ya kupima uzito?? Ifike mahali watu wasiilaumu tasnia lakin mwakinyo inabid kuwajibishwa kwasabab anaitia tz aibu kwann yeye kila siku hili ni pambano la pili drama nyingi lqzima tutumie akili kabla ya kulaumu tasnia
KAMA KWELI KUNA MAMLAKA ZA USIMAMIZI AFU WANATOA KESENI KWA MATAOELI HUYU WAZIRI AJIZULU MWENYEWE NCHI INAHARIBIWA JINA AFU MAMLAKA MPAKA MUDA HUU HAZIJATOA TAMKO BASI WEWE WAZURIHUSIKA HUTUFAI
Wakija kutoa tamko bas kama wanaongea na watoto wachekechea za vijijini wasiojuwa hata kijiko kwa mimombo hili linchi ningekuwa mwakinyo ningeomba vikao nao nikifika uko ni vitasa tuu mpka walazwe wakitokauko hawataki tena kujiweka karbu na ngum 😕😕
Siku zote ukijifanya mjanja kupita kiasi huwezi kusonga Kila siku mapambano yako ni utata mtupu uongo uongo mwingi mmeisha chukua viingilio vya watu sasa mnaleta maneno matapeli tuu
Eti mwakinyo Boxing Tanzania kama mmeshindwa kupigana mnawatowa mabondia kwao alafu kisingizio promotor . Brother achana na Box , jichanganye hata ufanye biashara ya DAGAA
This Rabish,in this Country,, Wizara yote ifutwe tuanze upya, na hao viongozi wa Boxing, wafutwe Wote, na Hata chama cha Ngumi Duniani kiifutie Tanzania Kibali chake,, ni maujinga na maaibu tu kila kukicha
For this case, the Government should cancel the license of that promoter to not involve any more in any boxing which will happen here in Tanzania, such kind of people abuse our Country name.
Hili suala la boxing hapa Tanzania ni azam ndio alieliibua kiasi kila mtu amependa linavokwenda,kwa hiyo naomba Azam uyo huyo ndio awe mdhamini na muandaaji wa mapambano ya ngumi ikiwa linahusisha watanzani kwa watanzania na wageni na watanzania, haya mambo ya aibu kama hizi niko na imani hayatatokea kwa sababu Azam ni kampuni kubwa na inajielewa haitokubali kuharibiwa jina lake
As a Tanzania I agree with the Ghanaian boxer Tanzania promoters are so greed
Ifikie hatua kama viongozi wa tanzania kama hamna msaada kwenye michezo watuwasije kutoka nnje. Hebu tazama watu wanatoka huko harafu hamuwalipiy ivi mnafikiri watu wa nnje wanaichikuliaje tz. Serikari liangalieni hili ubabaishaji umezidi na hawa wanao fanya ujinga huu nikwa sasababu wanajifanya wanawaweza. Hapa hatuna budi kumkumbuka mwana kwenda inauma sana hii
Hiyo ndi tanzania yetu bwana mtu ukitaka haki yako ni shida watu walishazoea vyaekunyonga vyakuchinja..... kwani kiongozi kiongozi mwenye dhamana halioni hili la udhalilishaji wa nchi pyuuuuuu
Ela za wananchi mzilipe kwani hawajaona pambano
Champez is champez
Kwan wizara ya michezo yenyewe inasemaje kuhusu mapromoter kuto timiza kwa pambano kuwepo?
kwanza kabisa ange kamatwa ndani kila mtu ajue ndio maisha yake maana kaidanganya dunia
mateso ya mwenye haki ni mengi mungu akupambanie
Chama cha Nguvu Tanzania iangalie Upumbavu huu. Ni Aibu kwa Tanzania. Hutua KALI lazima zichukuliwe kwa kila anayehusika. Huu ni upumbavu ambao utaua Mchezo wa Ngumi Tanzania ambao umekwisha teka mashabiki wengi.
kazi ya wizara ya michezo ni kusimamia mambo kama hayo ila sijaona tamko lolote
Kuanzio leo nimejitoa mdau wa ngumi hazina maana zimejaa unafiki ,kama mambo ya ulimwenguni kati ya ncho za mgharibi na rest of afrika,ukiwa upande sio wa west or uerope utajuta mfumo ule ule wa dunua ni dhulma tu
sikia ndugu yangu mwakinyo watu wanazidi kukualibia sasa ushaur wabule watakupoteza ebu ama apa tanzania nenda kaanze mahisha inchi nyingine na hamini inchi yoyote ukienda wanakukubali acha tanzania,watakupoteza
Ukweli mtupu ndg
Waziri wa michezo simamia tasnia ya boxing kuna tatizo gani huko?
Angalia mwakinyo roho mbaya za viogozi juu yako
WBO fighting for 500 dollars that's a joke 🤣🤣🤣🤣
Wababaishaji tu ila mwakinyo Yuko sawa unaposimamia haki madui ni weng
dah Niaibu mno unawezaje kumuita bondia harafu msilipe kama mkataba unasema
sema tanzania promoter ni PEAKTIME pekee ake toka aanze kupromote sjawai kuona mtu akilalamka
Mwakinyo ana dharau sana alishatukana watu sana ikafikia hatua akahitaji waamuzi wa nje sasa anao waamin ndio wabovu kuliko asie waamin acha wamnyooshe na akitaka yanyooke arudi kuomba radhi kwa alio wakosea
Mi naona wizara ya sanaa iwajibishwe mana hii aibu inayojirudia na watu wanafahamika ningekuwa raisi nafukuza wizara yote ya michezo
Sasa mmehona mwakinyo hanasemaga kweri wamezoea mabondia wosio jierewa
Ubabaishaji >huleta uzuni na aibu africa whywhy?????
Mwakinyo my brother unapotez iman za watanzani juu yako kikubw jitambue ukisahau ulipotok utapotea unapo kwend
Weweumeona tatizo ka jwakinyo minini jamaunajua vizuri mchezo wa ngumi
Sisi wabongo tupo na akili za kushikiwa hivi huoni hiyo ni ayibu kwetu
Kwann mwakinyo usihamie nchi nyengine za jirani ukapigane uko tz hawana uadilifu.na hatutaendelea mpaka kufa kwa ujinga huo.ni aibu kubwa.
Kudadeki kwakweli mnatia aibu watu wamejipanga mpka siku ya mwisho afu mnaingia mitini yote ni kumkomoa champezi
Aibu kwa taifa
Kwahichi kilichotokea wahusika mnatakiwa mjitafakari .
Mwakinyo ni kama samia tuu kusifiwa kwingii hamna chochote
Mwakinyo aingiliana WP hapa kuma ww
Ngja 2 nifunge domo lang maana hsra nilizonazo hpaa ...
Shame nchi kwani kaa marekan kwa mda gani mmesahau alivyokuwa akiwazarau watanzania waliomtoa
Why are you ashaming Tanzania especially on the side of boxing this issues are repeating when you reminiscing to a same man mwakinyo there is a fighter from Angola you did the same and for me am just asking my self who is the ministry of sports in Tanzania he/she have to bend over backwards to assure that things are going perfectly and accurate.
Champez akiongea watu ohoo bongo ujanja ujanja mwingi tasnia ya michez inaelekea wp dahaa 🧐🧐
Uyo kindau ni mbabaishaji toka kitambo sio promoter sijajua kwanini mwakinyo aliamua kumchagua hana ela nadhani mwakinyo angeangalia promoter wa maana kwa mapambano yake kama Semunyu uyu ni mbabaishaji!
Pia alisema huyo promota wake asingeqe weza kufanya haya akiwa Ghana kwa sababu wanajua Sheria na pia anasema hajala toka asubuhi yaani amekula mmoja tu
Toka lini Tanzania tukamnyima mtu hata chakula,, Hii boxing wanao ongoza nchini Vichwa ni Suzuki Ubongo Isuzu,, Stupid kabisa
Huyu kimbau AKAMATWE
Sijajua hichi chama cha ngumi kinaendeshwa vp yaani ni utumbo utumbo kabisa
Tz hakuna mapromoter
Mwakinyo sasa mnamlaumu kwa lipi? Au hamuelewi kinachosemwa na mpinzani wake?
Hao mapromota ndio chanzo cha tatizo na wanaliaibisha Taifa letu kwa janja janja nyingi.
Tatizo kizungu mwana wabongo kutokusoma ndio kwawarudisha nyuma
Kosa ni la promota wa mghana na si mwakinyo wala mpinzani wake amesema kwwnye interview ya kwanza na hata hapa analalamika kutolipwa milioni kumi na nne dollar za kimarekani na kutopewa chakula vizuri na pia hajalipa sanction fee kwa ajili ya mkanda
Swali la msingi promoter wa hili pambano ni nan??kwann mwakinyo kama mwenyeji asihakiki malipo ya jamaa kabla ya kupima uzito?? Ifike mahali watu wasiilaumu tasnia lakin mwakinyo inabid kuwajibishwa kwasabab anaitia tz aibu kwann yeye kila siku hili ni pambano la pili drama nyingi lqzima tutumie akili kabla ya kulaumu tasnia
Sasa tatizo ni mwakinyo au promoter??? Usongee kisa unachukii na champez ongeaa kwa fact kaka.
KAMA KWELI KUNA MAMLAKA ZA USIMAMIZI AFU WANATOA KESENI KWA MATAOELI
HUYU WAZIRI AJIZULU MWENYEWE
NCHI INAHARIBIWA JINA
AFU
MAMLAKA MPAKA MUDA HUU HAZIJATOA TAMKO
BASI WEWE WAZURIHUSIKA HUTUFAI
Wakija kutoa tamko bas kama wanaongea na watoto wachekechea za vijijini wasiojuwa hata kijiko kwa mimombo hili linchi ningekuwa mwakinyo ningeomba vikao nao nikifika uko ni vitasa tuu mpka walazwe wakitokauko hawataki tena kujiweka karbu na ngum 😕😕
Mapambano mengi ya Mwakinyo yanakuwaga na dharura za ajabu sana alafu anajiita professional boxer mmeniboa sana
We huna unachokijua mwakinyo anapigwa vita na mapromota wenye Hela
Kosa la Mwakinyo ni lipi hapo?
Siku zote ukijifanya mjanja kupita kiasi huwezi kusonga Kila siku mapambano yako ni utata mtupu uongo uongo mwingi mmeisha chukua viingilio vya watu sasa mnaleta maneno matapeli tuu
Eti mwakinyo Boxing Tanzania kama mmeshindwa kupigana mnawatowa mabondia kwao alafu kisingizio promotor . Brother achana na Box , jichanganye hata ufanye biashara ya DAGAA
Mwakinyo anatakiwa ahame nchi ili akamilishe malengo yake
Mimi mwakinyo nillimshauri
A huku boxing licence mombasa au Nairobi
Hasa mombasa
Pale karibu sana na Tanga
This Rabish,in this Country,, Wizara yote ifutwe tuanze upya, na hao viongozi wa Boxing, wafutwe Wote, na Hata chama cha Ngumi Duniani kiifutie Tanzania Kibali chake,, ni maujinga na maaibu tu kila kukicha
Ahame nchi kwani kwa kipi ? kaa marekan kwa mda gani mmesahau alivyokuwa akiwazarau watanzania waliomtoa