Bili mia mummy wapwani fugeni kanairo watu wa kiki kujua maisha ya watu na ndoa zao kaeni ngumu ivyo mbaba much ❤❤to mummy🎉🎉🎉
Mungu akiinua watu wanajiinua weeee macho tu
Congratulations mummie francie keep winning
In a world where society expects you to act in a certain way ..be yourself..confuse them mummie..Hadi wamind their business
Wory not wadau mammy ako tu sawa what they want n ku drow attention tuu🥰🥰🥰 Love you mammie
Congratulations mummie
BOSS MOVES CONGRATULATION MUMMIE.
Congratulations mammy😍
Mummie kindly ikitokea unahitaji house manager wakulinda nyumba wakati mko kazini naomba nipe iyo kazi.....
Nimejipata nikilia nikama mubaba ni kakangu haki imenigusa eny way Maisha bana duuuuu mungu 'niajalie mwisho mwema
Congratulations 🎉
ok huyu mrembo ndiye anaitwa Mummie? nimesikia sifa zake mtandaoni,(positively) kwa Live fulani hivi majioni
Sina maoni😅 congratulations mummie🎉
She is going far
Aki sometimes hii ulimi 😢😢😢
Congratulations mummy Francis 😊❤❤❤🎉🎉🎉
This gal is vibe,watu pitieni kwangu pia mnifikishe 500 subs
Ila kwa haraka haraka yule mbaba sio type na mummie ni bas tu mapenzi hayana mipaka..huyu dada ni mcharuko balaa jamaa ni yake ni mpole mno,hawawezani
Kuna mabo hapa
Nkts noma hiii
Kuna kitu sielewi kwani mbabaz amewachwa ama
Maskini mubaba wa mummie
Kwani mi mamake ..weuh..earth is hard
Wewe sio mamake period 😅
Mbaba itabidi ajipange mapema
Mbn unankana bwanako 🙄🙄🙄🙄🙄
So sad,,if she is jocking hapo amevupa mipaka. So sad,,i really saw their marriage to be an example to people,, i was so happy about it
I love this girls vibes am sure the husband is so proud of her. Congrats you 2.🎉🎉🎉🎉8❤❤