Ubongo Kids Webisode 1 - Heka Heka za Panya
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025
- Ubongo Kids Webisode 1 - as seen on TBC1
Featuring the song "Walking and Whistling" by Tenth Virgo www.tenthvirgo.com
Press [cc] for English subtitles.
Katuni hii ya Kiswahili inafundisha kuhusu kuhesabu, kujumlisha na kutoa. Kibena anatembelea kijiji cha panya kutafuta suluhu kati yao na Mzee Kigo.
Angalia Ubongo Kids (proud partner of CRDB Bank) kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: www.ubongokids.com
Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.
ubongokids.com
/ ubongokids
/ ubongokids
/ ubongotz
Copyright Ubongo Ltd. 2014