ความคิดเห็น •

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 7 หลายเดือนก่อน +2

    Safi! Hata nami nawapa wanawake mkono wa tahania kwamba wao ndio nguzo na msingi wa jamii.

  • @revocatusikalaveri7041
    @revocatusikalaveri7041 4 ปีที่แล้ว +2

    Wa Lubanda Busanda-Geita Asante Sana DW kiswahili

  • @ahmadsuvi3584
    @ahmadsuvi3584 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni Kenya kuwakata hao mnaowaita magaidi,,,sasa waseme ninani alowatorosha?

  • @johndaniel5986
    @johndaniel5986 4 ปีที่แล้ว

    Naipenda saana

  • @BandaFabian-pw7wj
    @BandaFabian-pw7wj 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu arwe nawe Lila siku

  • @langatemmanuel7359
    @langatemmanuel7359 5 ปีที่แล้ว

    Nampenda sauti yake umulkheir.. Sauti nzuri kabisa...short wave mlifanyia nn jamani?

  • @wallpapertanzania9574
    @wallpapertanzania9574 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mama yangu humillherry wa DW bon

    • @mohamedpesambili9460
      @mohamedpesambili9460 4 ปีที่แล้ว

      anaitwa oumilheir.xio iyo lugha yako uliyoiandika Apo

    • @mohamedpesambili9460
      @mohamedpesambili9460 4 ปีที่แล้ว +1

      anaitwa oumilkheir

    • @R.Dickon
      @R.Dickon 4 ปีที่แล้ว

      @@mohamedpesambili9460 unaona hata wewe ulishakosea!? Kabla ya kukosoa jitathmini kwanza je, nimechapa kisanifu? Alafu ndio uje kumnyoosha mwingine...sio kama mwenzako kachapia nawe umkumbushe kwakuchapia ule msemo "Mfupa hauna ulimi"!

    • @mohamedpesambili9460
      @mohamedpesambili9460 4 ปีที่แล้ว

      @@R.Dickon tafta ukwel af uone Kama nmekoxea.google

    • @R.Dickon
      @R.Dickon 4 ปีที่แล้ว

      @@mohamedpesambili9460 duh! Sasa ukweli upi tena hapo juu uliandika comments ngapi kuthibitisha usahihi wa jn lake?

  • @ahmadsuvi3584
    @ahmadsuvi3584 2 ปีที่แล้ว

    Haha,,dada Silvia,,,mazoezi yanakuhusu,maana si kwaubonge huo

  • @halfanrangadim8764
    @halfanrangadim8764 4 ปีที่แล้ว

    Zainab Bint Aziz ❤❤

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul6085 5 ปีที่แล้ว

    Ni dhahir kwamba mwanamke ni sehemu ya jamii yaani ana nafasi kubwa na muhim ktk maisha ya mwanadamu yyte yule,jambo linalotakiwa ni lazma mwanaume asimame nae ktk yale mambo yanayoweza kumpatia maendeleo,kwani maandiko ya dini yanathamini uwepo wake isipokua usimamizi mkuu ktk mambo yake ni lazma utoke kwa mwanaume,na ukitaka kuthibitisha hilo mtazame mwanamke anapodaiwa hela ya kikundi anavyokua kwa mwanaume

  • @mohamedpesambili9460
    @mohamedpesambili9460 4 ปีที่แล้ว

    Dah umilkheir tutakumic xan iyo xauti yako hatutaixkia teeeenaaaa.daaaah