JE! NISAHIHI WANANDOA WANAPOANA KUISHI NYumbani kwa WAKWE? toa maoni yako

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Wengi husema sio sahihi sababu hupunguza heahima na kuengeza mgogoro
    Pia ni sehemu ambapo mwanaume ameenda kuposa je mtazamaji wa nahodha media tv kiupande wako unaona ni sahaihi au sio sahihi? Dondosha comment yako hapo chini kwanini sahihi? kwanini sio sahihi!?

ความคิดเห็น • 4

  • @SuleimanSuleiman-q8v
    @SuleimanSuleiman-q8v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali sana kak unaupgiga mwingi

  • @suhylaallykhamis5818
    @suhylaallykhamis5818 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sio sahihi tunajikalia tu😂😂😂😂

  • @FatmaRamadhan-t7k
    @FatmaRamadhan-t7k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Raha ya ndoa mtu akae kwakee il ajiachie na ajue utam wa ndoa c kukaa ukwen kujiban na kutengnez mazoea kw wakwe na mawif zake