Safari Salama -Trinity Band

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 9 หลายเดือนก่อน +3

    Naikumbuka hii nyimbo miaka ya 2009 mpaka leo hii bado naipenda

  • @sweetcandy9313
    @sweetcandy9313 3 ปีที่แล้ว +4

    M 19 yrs,this song forever in my heart..Safari salamaa

  • @Manasehphilip404Alfa
    @Manasehphilip404Alfa 3 ปีที่แล้ว +4

    2021 stil listening to this song..brings back old memories!

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o หลายเดือนก่อน

    Nausikiza leo 2-11-2024 aijawai nichosha Yesu yu karibu kuja

  • @jaggaludegula6826
    @jaggaludegula6826 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu huwa unanikumbusha mbali sana nikiwa nafanya kazi somewhere 2010. Daaah❤❤❤❤❤. Mungu awabariki popote mlipo

  • @edsonjonas229
    @edsonjonas229 3 ปีที่แล้ว

    One of the greatest song in Tz. Appreciated

  • @bernardodamian7946
    @bernardodamian7946 5 ปีที่แล้ว +1

    Nipo na Yesu safari yangu ni salama nina uhakika na yesu. Bernardo Damian from Zanzibar, 19/04/019 ijumaa kuu ya pasaka.

  • @omaryjuma3714
    @omaryjuma3714 10 หลายเดือนก่อน

    Safar salama nakumbuka mbali sna nikiwa nafanya kazi ya ulinzi nyimbo nilikuwa naisikiliza kwa kiongoz wangu mwaka 2007

  • @wanderenyeura9011
    @wanderenyeura9011 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki waimbaji wote mlioimba

  • @n___athan9487
    @n___athan9487 3 ปีที่แล้ว

    Safari salama nipo na Yesu He's author and finisher of my faith

  • @jacqlinealex1540
    @jacqlinealex1540 3 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo sijawah kuuchoka jmn🥰🥰

  • @aidanndaona4738
    @aidanndaona4738 ปีที่แล้ว

    Hakika Safari salama na Yesu. Mubarikiwe sana watumishi kwa wimbo mzuri unaotia moyo. Mko wapi Trinity band?

  • @hesronguga6751
    @hesronguga6751 5 ปีที่แล้ว

    yesu ni kiongozi wangu safali nisalama naupenda sana huu wimbo nafalijika sana ni kwaka 2019

  • @logicmind3500
    @logicmind3500 3 ปีที่แล้ว +2

    2021 anyone?

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 3 ปีที่แล้ว

    Nipo na yesu safar salama🙏🙏🙏🙏

  • @piusmsabila671
    @piusmsabila671 7 ปีที่แล้ว +1

    beautfull sisters ,lovely song, good approach, conglaturation and god bless you

  • @enockniko7561
    @enockniko7561 4 ปีที่แล้ว +2

    Cjui mliombea sana wimbo huu au lah
    Lakini wimbo huu aujawai nichosha

  • @goergemtei8707
    @goergemtei8707 3 ปีที่แล้ว

    Safari salama ukiwa na yesu

  • @sebastiansimonkabelwa5801
    @sebastiansimonkabelwa5801 4 หลายเดือนก่อน

    2024

  • @levinarutashongerwa8041
    @levinarutashongerwa8041 2 ปีที่แล้ว

    Bless the Queen

  • @irakozelove
    @irakozelove 13 ปีที่แล้ว +1

    I like this songs
    good job y'all did very well!!!!

  • @RabekaBole
    @RabekaBole 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu ndio kila kitu

  • @pascaluhega3230
    @pascaluhega3230 5 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo unanibariki sana awajamaa sijui wapo wapi Siku izi wabarikiwe sana

  • @jemaalphonce2279
    @jemaalphonce2279 4 ปีที่แล้ว

    Mtuzi abarikiwe Sana na bwana naupenda Sana huu wimbo aisee

  • @rachelkatunzi5221
    @rachelkatunzi5221 4 ปีที่แล้ว

    I really like tbis song very much

  • @fadhilimakali5420
    @fadhilimakali5420 3 ปีที่แล้ว

    Ni wimbo Mzuri sana. Mungu awabariki

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 4 ปีที่แล้ว

    Mko wapi nowdays dearest Trinity

  • @wanderenyeura9011
    @wanderenyeura9011 3 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo huwa unanikumbusha mengi sana since npo O level

  • @lovejay1062
    @lovejay1062 12 ปีที่แล้ว +1

    I really love the song it keep me thinking bad things

  • @sarafina6656
    @sarafina6656 7 ปีที่แล้ว

    Safari salama in Jesus name.. I have nothing to fear Ameeen

  • @mttv7275
    @mttv7275 3 ปีที่แล้ว

    Mbalikiwe Sana waimbaji wetu

  • @jacksonkamese9796
    @jacksonkamese9796 6 ปีที่แล้ว +1

    Actually AM blessed pindi niusikilizapo huu wimbo

  • @thabitiabdallahkingai5308
    @thabitiabdallahkingai5308 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sanaaa

  • @francoisbaragora1
    @francoisbaragora1 14 ปีที่แล้ว +1

    nice song I love it

  • @dhssgs6360
    @dhssgs6360 5 ปีที่แล้ว

    Amina mbarikiwe sana kwa wimbo

  • @levinarutashongerwa8041
    @levinarutashongerwa8041 2 ปีที่แล้ว

    Queen

  • @njelema
    @njelema 8 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa na huu wimbo!

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 5 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo ni makali sana

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 3 ปีที่แล้ว

    2021😙

  • @naomimshanga9207
    @naomimshanga9207 7 ปีที่แล้ว +1

    wow very good

  • @elizabethtimotheo9477
    @elizabethtimotheo9477 ปีที่แล้ว

    💕💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @NakuYona-kn6us
    @NakuYona-kn6us 7 หลายเดือนก่อน

    Kabisa❤

  • @petrofrancis713
    @petrofrancis713 9 หลายเดือนก่อน

    Liko wapi hili kundi jamaniiiii?

  • @gidionloshiaa2534
    @gidionloshiaa2534 6 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu huwa unanibariki sana na kunikumbusha mengi sana

  • @MwanaOmar-gu2tk
    @MwanaOmar-gu2tk ปีที่แล้ว

    Kweli Safari na YESU ni Salama

  • @eliamsuya6727
    @eliamsuya6727 ปีที่แล้ว

    Mabarikiwe Wana ndugu

  • @peterntevi5046
    @peterntevi5046 10 ปีที่แล้ว +1

    mnajua sana....big up

  • @faidaongala8654
    @faidaongala8654 5 ปีที่แล้ว

    Naupenda huu wimbo

  • @laurensipeter8664
    @laurensipeter8664 ปีที่แล้ว

    👏👏

  • @RabekaBole
    @RabekaBole 9 หลายเดือนก่อน

  • @lovejay1062
    @lovejay1062 12 ปีที่แล้ว +1

    GOD BLESS YA ALL

  • @peterntevi5046
    @peterntevi5046 9 ปีที่แล้ว

    i try all my best to reach you so as to buy my copy but these album not available at dar es salaam cd shop

  • @mordekaiswai3044
    @mordekaiswai3044 5 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu unabariki sana

  • @obedchisokola6399
    @obedchisokola6399 6 ปีที่แล้ว

    very good

  • @geofreymatulu5977
    @geofreymatulu5977 8 ปีที่แล้ว

    kweli safari salama ni yesu

  • @dannygonzoe5669
    @dannygonzoe5669 3 ปีที่แล้ว

    😍😍😍

  • @akwilinamponzi828
    @akwilinamponzi828 2 ปีที่แล้ว

    Nitazima

  • @jacksonluka2332
    @jacksonluka2332 9 ปีที่แล้ว +1

    nice one

  • @marthamhapa8171
    @marthamhapa8171 8 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri

  • @wallesmdoe9164
    @wallesmdoe9164 2 ปีที่แล้ว

    Tutambuane wangapi wanabarikiwa
    th-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/w-d-xo.html
    th-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/w-d-xo.html
    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🪴🙏🙏🙏

  • @verickkabyemela1691
    @verickkabyemela1691 4 ปีที่แล้ว

    @2020

  • @lovejay1062
    @lovejay1062 12 ปีที่แล้ว +1

    It keep me out of think bad thing

  • @geofreymatulu5977
    @geofreymatulu5977 8 ปีที่แล้ว

    wimbo mzr

  • @wallesmdoe9164
    @wallesmdoe9164 2 ปีที่แล้ว

    Naipenda sanaa
    th-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/w-d-xo.html
    th-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/w-d-xo.html
    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mossesmaduu9123
    @mossesmaduu9123 2 ปีที่แล้ว

    Y

  • @shadyakidoti3448
    @shadyakidoti3448 5 ปีที่แล้ว

    Kweli ukiwa nayesu safari ni salama

  • @jacksonkamese9796
    @jacksonkamese9796 6 ปีที่แล้ว +1

    Actually AM blessed pindi niusikilizapo huu wimbo

  • @jacksonkamese9796
    @jacksonkamese9796 6 ปีที่แล้ว +1

    Actually AM blessed pindi niusikilizapo huu wimbo