ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mbowe forever and more ..... Wanaochukia mafanikio ya Chadema ndiyo wanamtaka Mbowe apumzike .....watalala wao, Mbowe bado yupo sana
Nonsense
Jabari la siasa Mzee wa 4R nchi nzima sasa tunahubiri hizo 4R bila wewe tusingezijua ww ni mwenyekiti Bora sanaaa wa upinzani nchini
Hana hoja tena huyu kijana
Lissu hawezi lala, lala wewe Mzee siumesha ridhika.
Mwamba Kama ameaga ila bila D2 huwezi elewa
Kama ningekuwa ni mwanachama kwangu ni mtu sahihi sio kiroporopo anazo sifa za uongzi ,hekima, busara na weledi wa hali ya juu.
Ujitambui
@SulePonda Natamani kuwa kama wwe unayejitambua lakini hatufanani
Pumzika waachie
Hakuna kuokota embe kwenye mnazi kura zita amua nani awe mwenyekiti wa chadema
@@simonsadala2386 naona meneja campaign upo vizuri😅
Watu kila wakimuona huyu mwamba wanatamani aachie ngazi kugombea uenyekiti lakini waaapi!!! Mwamba kakaza na ndio kiongozi ajae timu lissu wajiandae kisaikolojia
@mwajey nakuona