Leo tarehe 20 Novemba 2024 nimesikiliza hili taarab 🔥🔥🔥 Mzee Yusuph Na Jahazi yake kabla ya kufyatua matofali alikuwa fundi sana. Humu 🎹🎹🎹🎹🎹🎹 mdundo na ujumbe vimepigwa vikaitika ipasavyo sana.
Mawaomba mrejee Tena kuisikiliza hiyo nyimbo kisha mtafakari vyema. Apo anasema mtu mbaya asiependa maisha ya mtu kisha anakumbushwa kua mungu yupo. Tusikae na kufurahia maovu kwa watu wakati kesho yake yanaturejea sisi na yule tuliemchukia anafarijika na rizk za mungu.
Black beuti wakat ule rangi yake asili saii ajipidoa kumeza vidonge na masindano makalio makubwa na maziwa makubwa mpaka khadija yusuf nae madawa akua mweupe Mariam amur wote saii wameza vidonge wakua weupe kasoro Leila Rashid pekee uweupe wake ulio zaliwa nao na fatuma hao wawili peke yao wengine wote bichi
Wewe umesikiliza marae 7 mim leo tu nimesikiliza mara 97 kila saa nasikiliza !! Yan inshot kua yaone siyo magorofa vitimbwi vya wanadamu ndo kua uvione
Allah anipe subra Amin yarab.mana haya si madogo nilio fanyiwa na family yangu kisa pesa jamani hatuogopi mungu kwa kusema maneno ya urongo ili watu wanichukie.Ahhh Muna Hilo au Muna jingine nawahurumia mwisho wenu ni mbaya sana😭🤲
Saii kelele tuu walio anzisha wengi wako mbele za haki wengine wakua wazee watu wazima tarabu zamani 1999 ,200,2001,2002,2003,2004,2005,2006,2007,2008,2009,2010,2011,2012, mwisho n 2018 bas kwengine kelele tuu
Nyimbo yng ya kwanza nayoipenda kuliko zote ❤❤❤❤
Mm mwenzako yani Acha weeee
Maneno yananayopa faraja 2024
Embu wekeni komenti kwa huyo mdada alopiga nyimbo hiyo ni kitambo sana na hii nyimbo haitovuja milele
shida dhiki mithihan humfika kila mtu ...aloumbwa duniani kukwekwapa hatothubutu .wasahaulifu musiw yote yanapangwa na Mungu .
Nimeliaaa 😭😭😭😭 Leo umeniwakia mwangaa Asante MUNGU🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole
Alhamdullilah. Kweli M/Mungu yupo jamani. Kikubwa dua na subra maana tunapitia mengi sana wanadama. 🤲
Nyimbo inamafunzo sana,asanteni Jahaz Modern Taarab❤❤❤❤
Tulokuja kuangalia 2024 tugonge like
Taarabu inakutoa machozi kwasisi wenye mitihani ya kibinaadamu
Daaah ni kwel machoz yamenitok kwa ajil ya manen mazito ya huu wimbo
Leo tarehe 20 Novemba 2024 nimesikiliza hili taarab 🔥🔥🔥 Mzee Yusuph Na Jahazi yake kabla ya kufyatua matofali alikuwa fundi sana. Humu 🎹🎹🎹🎹🎹🎹 mdundo na ujumbe vimepigwa vikaitika ipasavyo sana.
🎉🎉🎉 hii nyimbo ntaingia nayo kwa arusi yangu insha Allah ❤🎉
Mawaomba mrejee Tena kuisikiliza hiyo nyimbo kisha mtafakari vyema. Apo anasema mtu mbaya asiependa maisha ya mtu kisha anakumbushwa kua mungu yupo. Tusikae na kufurahia maovu kwa watu wakati kesho yake yanaturejea sisi na yule tuliemchukia anafarijika na rizk za mungu.
Hizi ndio nyimbo za kumbukumbu namuona aisha mashauzi kipindi hicho
nzr sana
Black beuti wakat ule rangi yake asili saii ajipidoa kumeza vidonge na masindano makalio makubwa na maziwa makubwa mpaka khadija yusuf nae madawa akua mweupe Mariam amur wote saii wameza vidonge wakua weupe kasoro Leila Rashid pekee uweupe wake ulio zaliwa nao na fatuma hao wawili peke yao wengine wote bichi
2023❤🎉🎉🎉Mpaka leo inanibambaaa🥀
Yani mm kila cku❤
Hasa huyu hadija yusuph sauti sijawahi kuisikia tofauti na kwake
Hz ndo taarabu za kuskilza kitu kimetulia sio sasa kelele tu
Sana zatoa stress 😢😢❤❤ yanikumbusha mbali sana walai miaka yaenda mbio sana walai 2007 ndio ilio achiwa hii song mpaka saii 2024/3/6
Malipo ni duniani akhera kuhesabiwa .....ogopa mwanadamu na uzuri wa mtenda mabaya mwepesi kusahau
Leo nimekusikiliza mara 7 nimejifunza kwamba watu wa namna hii wanapaswa kuwa wanapewa PhD pale UDSM kitivo cha Sanaa ndaki ya Miziki
❤❤❤❤
Wewe umesikiliza marae 7 mim leo tu nimesikiliza mara 97 kila saa nasikiliza !! Yan inshot kua yaone siyo magorofa vitimbwi vya wanadamu ndo kua uvione
Nikimis nyumban huwa inanifariji 🎉🎉🇹🇿🇴🇲
Allah anipe subra Amin yarab.mana haya si madogo nilio fanyiwa na family yangu kisa pesa jamani hatuogopi mungu kwa kusema maneno ya urongo ili watu wanichukie.Ahhh Muna Hilo au Muna jingine nawahurumia mwisho wenu ni mbaya sana😭🤲
Amiiiin inshaallah
Pole mpenz mm mume mpk Leo sisau😭
😭😭😭😭😭😭
Siyapekeako ndugu yangu😢😢😢😢
Awesome 2007 adi leo 2022 duh kama ime toka leo 👌🏽😋😋😋🌶️
Wallah sijawah kuuchoka hu wimbo. 🌹🤸🤸🤸
Wimbo bomba kweli
❤❤ hii nyimbo aichuji
Hahaha poleni poleni, poleni sanaaa poleni poleni
Yaliponifika mlifurahi sana, yaliponifika
Wimbo wangu Pendwa wa Khadija Yusuph
Nimekumbuka nyumbani Leo ugaibuni vitu kama hivi hakuna
Saudi Arabia Riyadh au Jeddah
Nampenda sana hadija yusuph sauti ya kasuku hakuna miaka mia
Greetings from Germany 🇩🇪 I’m feeling the vibes of this song
Alopewa mitihan Mungu hajamuonea
2007 this 2023❤ fire fire
Wimbo wangu pendwa mda wote😍😍😍
Nyimbo yangu inayonigusa moyoni nakupenda Sana❤️❤️
Baada ya miaka zaid ya 10 ndio nikagundua taarab ni mzik mzur kuliko mzik wowote ule. Na kwa bahat mbaya sasa hiv hakuna tenz nzur kama zamani
Saii kelele tuu walio anzisha wengi wako mbele za haki wengine wakua wazee watu wazima tarabu zamani 1999 ,200,2001,2002,2003,2004,2005,2006,2007,2008,2009,2010,2011,2012, mwisho n 2018 bas kwengine kelele tuu
1997 ........2023 bonge moja la ujumbe
Mungu mwema jamani
Wallah uyu dada anaimba sana hana nyimbo mbaya na isiyo kuwa na maana ata moja❤❤nyimbe zake zote ni🔥🔥🔥🔥🔥
Waaaaaa jamani raha old is gold....thank you Mzee njooni Mombasa
Masha allah hadija maneno hayo ni ya kudumu
Iike this.. mwenzio akinyolewa tia maji nywele zako...
hili goma huwa naweka kila wakati nikiwa safari
Nakupenda Sana khadija yusuph nyimbo zako nzur sana
💃💃💃💃💕💕💕🥰🥰🥰 yaaani siwezi hata kuwekeza ninavyojisia!!!
❤❤❤❤masha Allah
Naipenda sana hii nyimbo
Nimelia saaan
Mwerevu huwashida mhinga akitanbua ndio naelewa sasaaaaaaaa
❤hongela saana shangazi khadja yusuf
Bi Khadija kwenye ubora wake,sauti isiyohitaji chawa kuisemea😂
Hakika hii nyimbo iko poa
Kali ni kali tuu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 from 254 comment
Anajuwa.kuimba.sana.nampenda.sana.
My favourite song hapa ulimba yaliopo ila nashukuru tu
Mm inanitiag moyo sana hii nyimbo na inanifundisha sana kuwajua watu tofauti
Mkuki kwa guruwe!
Munqu mkubwa .Aramdullah,❤❤❤❤
Enzi zangu izooo❤❤
Natafakari n'a sema honorera kwa mtunzi n'a waimbaji
Best taarabu song
Mkuki huoo wee huogopiii 😂😂👌👌👌👌
kweli kabisa malipo duniani akhera kuhesabiwa
Nmelia leo mm na hii nyimbo
Kweli unaliza wimbo huu
Yaani
Hii nyimbo inaniriwazaga siku zote ❤
Nyimbo tam sana
❤❤❤❤❤❤tamu sana penda mm
My love for taaraabu 🙌🏽❤️😍🥳
Taarabu za zamani ni nzuri sana
Nice song ❤
Nice song🥰🥰🥰
2023 tupo hapa maisha yanaendelea 🎉
Yn huu wimbo wew acha2 akil sin nikiusikiliz❤ 12:57
Hamisa amenileta huku
Mi pia 😂
Mi pia😂
Kasuku ..... Khadija Yusuphu
Woyoooooooooo nakula madikodiko
2024 bado tupo😂😂
Mashallah maneno kuntu
Saut ya chiriku ebu nipe like zenu apa tafadhal
Aaah jamani maneno mazuri
Nyimbo nzuri sana.
Kali sana tena
Naomba lyrics❤
Naupenda sana wimbo
2024 tupo
Taarabu hoyeeee
Abernathy Island
Fantastic ya zamaan sana dah kma imetoka leo vile
Mziki bomba
Juma jux kiss
Can anyone translate briefly the meaning of this song i like it so much. I only understand the meaning of poleni sana.
The song translates to pig spear
Hongera
Wyman Falls
Ujumbe mzurii
Love this song
May 21 2023 old is gold
Nice song
2023 we love
❤
Nice
2023❤
😌😌😌😌 so sweet
Iko vizuli
Weuweeeeee❤❤
Nice piece