Hongera kaka yangu Mbowe, hongera rais Samia Suluhu Hassan. Mmekuwa alama ya kulileta Taifa letu pamoja. Sasa naona mwanzo mzuri kwetu na vizazi vyetu. Naona baraka za mwenyezi Mungu, naona maendeleo. Daima kama tusimame katika haki pasipo kujali tofauti zetu. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania
Mungu akupiganie baba mm mmkenya bt nlikuankifuatilia Sana kesi zako pole kwayote baba Asante mama Samia Suluhu kwa huruma zako mungu akuzidishie umri akupiganie mama. Love u mumyy,,
Hongera Mama Samia! Kweli unajuwa kuongoza! Na una sifa zote njema za uongozi! Hongera kwa Wazanzibari kwa kutowa viongozi bora! Big up Mama!!! Unaweza!!!
Mheshimiwa Rais hana moyo wa jiwe wala chuma mimi naamini hilo sana sana tu Na kama alishiriki kwenye madhira haya basi kuna shinikizo lilikuwa nyuma.. Hongera Mh.Rais Samia Suluhu Hassan najisikia faraja na amani kusema ni moja ya Rais atakayeacha alama kubwa sana ndani ya Taifa hili... Hongera Mh.Freeman Mbowe ni moja ya viongozi wenye ngozi ngumu ya kuvumilia mengi ya kisiasa,Mungu akubariki sana na akuongezee hekima na busara. Kongole kwa viongozi wa dini,kongole kwao sana sana..... Nimejisikia Amani na Furaha Sana... Mungu Ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Afrika..🙏
Mungu mkubwa... Mh. Rais Mama Samia Mungu akubariki. This is History, umeonyesha ukonavu mkubwa wa kisiasa. Hongera pia ndugu Mbowe kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuitikia wito wa rais pia. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka na hii ni alama kubwa sana katika taifa. Mungu ibariki Tanzania.. Amen.
TV au media siyo maisha halisi. Wanasiasa ni porojo tu. Aende tanesco akawaambie wafanye kazi tupate huduma kwa wakati. Hizi maneno maneno ni porojo. Vyama vote miyayusho
Asante Mungu sana! Wewe ni mungu usio angalia cheo wala chochote,tuna kushukuru,mama Asante sana pia unahuruma sana,mama angalia na wengine anaye onewa mtoe utapata thawabu kubwa sana,
Karibu watu wote zaidi ya 300 waliotoa maoni wamempongeza sana Mh.Rais.Lakini kuna mmoja kanishangaza eti mwanae akiingia kwenye siasa atamuua mapema.Huyo mimi ninamshauri anaache kuitamka hiyo kauli kwa watoto wake.
@@bentesha6216 naomba nikuambie usilolijua.....kati ya 100% ya watu ni 1% au 2% ndio wanakua sahihi na masalia 98% ni chenga. Anza kuangalia kila kona, Magufuli, Gaddafi, Sadam, Putin na wengine utaona uhalisia wa hiki ninachokuambia. Hao watu waliozungumza ndio hao wanaosema JPM alikua poa ndio hao hao walisema JPM hafai....unawasikiliza? Hua wanajitambua baada ya kiini Macho kuisha.
Hongera sana mama samia kiukweli jambo hili la kumshikiria mbowe ulituumiza sana watz si kutuumiza cc tuuu hata wewe kama rais ulitufanya tusikuone lolote kwa hatukutegemea tena siasa za mabavu
Siku zote Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu.Binafsi napenda namshukuru Mwenyezi Mungu Mungu wa Rehema na Amani kwa kusikia kilio na maombi ya watanzania wote.Hakika Mungu ni mwema kila wakati hawahi wala achelewi anajibu kwa wakati wake.Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania wabariki watu wake amani upendo na ushirikiano uzidi kutawala miongoni mwa watanzania wote.Amina
Hongera xana Rais wetu,mama yetu umefanya jambo kubwa xana ambalo halikuwai kutokea .Sasa naamini kuwa kila kitu kitakuwa sawa na aman itaendelea kuwa bora zaidi.
Sinabudi na kumshukuru Mwenyezi Mungu(s.w.t.) Na kumshukuru Mama yetu, Mlezi wetu na Rais wetu mpenzi Rais SAMIA SULUHU HASSAN.....Kwakweli majina yake yote leo yametimia kimaana yake kwa kumwachia huru MBOWE. Mwenyezi Mungu ni kila kitu lakini hua kuna sababu kwa kuachiwa huru MBOWE ni uwezo wa Mwenyezi Mungu, sababu kupitia Mama SAMIA SULUHU HASSAN. Mama hongera sana kwa kuliona hilo na kuonesha huruma zako. Mwenyezi Mungu azidi kukupa huruma,upendo na hekima ya kutuongoza sisi wanao, na raia zako. Amiin
Mama wewe ni Mtu tofauti sana (ADIMU au TUNU) Hongera saaana sana,,,, Ukweli ni kwamba Ambae ana Akili kubwa huwa haogopi wala Hakwepi Mapambano ya Kifkra,,, kwani mwenye kujiamini,,,, Hujenga kujiamini kuwa kila mtingishiko "Suluhu" yake ni kukabiliana nayo kifikra, na sio kutiana JELA. "HONGERA MAMA"
Good start. I hope she means what she says We’re watching this space. Wishing you both Good health and Wisdom from above to lead our dear mama Tanzania where it used to be, Nyerere era. Taifa lenye upendo wa kweli, watu kuheshimiana na kutambua na kuheshimu tofauti zetu. Uchaguzi uwe wa haki na busara. Basi akishinda mpinzani basi aachiwe kuongoza Nchi. Sisi tunaona huku Kwa wenzetu, akishinda mpinzani basi huachiwa manyanga ya uongozi. Hutasikia wala kuona watu wakinyanyasika au kupigwa au kupotezwa. Yaani uchaguzi unakuwa kimya utadhani mko kanisani. Anayeshinda basi hutangazwa. Maoni ya wapinzani yanaheshiwa na kufanyiwa kazi na serikali inayoongoza. Bunge linatoa haki sawa kwa wapinzani na walioko madarakani. Wabunge wote kwa pamoja huikosoa na kuiwajibisha serikali pale inapozengua. Yaani kila mtu anamuheshimu mwenziye. Hakuna anayejiona ni bora kuliko mwenziye. Pollisi wanaheshimu raia hadi raha. Yaani police kakukamata bado mnatia story na kucheka. Magakama ndiyo usiseme. Hakuna kubambikiwa kesi. Police wanaheshimu raia. Hii ndo maana ya civilisation. Mtendee mwenzako kama unavyopenda wewe kutendewa. BINADAMU NI LAZIMA AHESHIMIWE, AWE MKUBWA AU MDOGO. MAANA SISI SOTE TUNA HAKI SAWA MBELE ZA MUNGU BABA. CCM NA SERIKALI YAKE BADILIKENI. MAMBO MNAYOFANYIA RAIA SI HAKI HATA KIDOGO. WE CANNOT BE PROUD OF OUR OWN COUNTRY, OUR OWN GOVERNMENT AND ITS LEADERS. GOD BLESS TANZANIA AND HER PEOPLE AT LARGE .❤️🙏🏾
amin kazi aliifanya nzur sana maovu aliyakataza kama Mungu anavo amrisha na haq alizitenda kwa raiya wa inchi yake Allah ampe jannah sie waislam tunamombea pia
Mm nimuungwana sana mungu akjalie mm kusikia kilio ch wengi fwata silsila y rais kikwete piga kazi watanzania tunaona hkn taabu nahao jmaa waach wapige Siasa zao hakna shda kbsa
Kwakweli siku zote mbowe amekuwa mahakamani nimeteseka sana nafsini kutoka kwake nami nimeponywa nafsi. Asante sana rais kwa kuiponya nafsi yangu. Umezidisha mahaba yangu kwako japo yalianza kufifia
Naomba ushauri mke wangu Kila nikikutananae muda wote nimakasiriko nanikimuliza Nini nilichokifanya anasema hakuna pia nikimuliza kitu uwa au kumsema kitu flani uwa anakuwa mkali hataki kumsema au kumkea jambo ambalo mimi nisilolipenda toka kwake uwa anakuwa mkali nakukasirika Mimi nilikuwa mwepesi saan kupiga mwanamke nanilikuwa Malaya Ila kwauyu nimeamua kuyacha yote nakujishusha kwakujua saizi naitaji maisha yenye amani nafraha namwenzangu ata Simu yake nikishika nikikuta meseji yababa ake mtoto anakuwa mkali nifanyeje juu yaaya ninayoyakutananae kwauyu mwanamke Mana nimependa kuishi maisha yakulia nakuyaacha yote Ila mwenzengu Yuko ivyo nifanyeje nisiriasi so utani
Tunajidanganya Kwanu kuna Awamu Ambayo Haikutafunwa na tulipo ambiwa ilitafunwa tukabaki Kumtoa SAG tukamuweka Mwingine Juzi Katoa Taarifa Tukanunu...Haaahaaa nchi inapigwa sema Kila MTU na Namna yake kun wanakula kwa Siri na wingine wazi tRNA Hero alae wazi unamjua kuliko anaedanganya sili ila anakulaaa ..Za kuambiwa chamganya Na Watu..
Ndugai Hainekani Bungeni, kapotelea Wapi..!!?? Alimfuta Tundu Lissu Ubunge Na kumyima Pesa Za Matibabu..!! Na Yeye Afutwe Ubunge Anakula Mshahara Wa Bure Wakati Hainekani Bungeni. !!
Mama muelewa na ni Mzalendo na anajitahidi kutenda haki kama imaan ya dini yake inavyohimiza kutenda haki. Tatitizo kubwa Serikali haina dini japo % kubwa ya watendaji wa Serikali wanazo dini zao na madhehebu lakini mtihani upo ktk kuwa na Imaan sahihi na ya kweli na haki na zaidi miss na khofu ya Mungu Mola Muumba. Baadhi hawana ubinadamu wala key wao huwaza ya kidunia tu wakti dunia ni mapito na starehe zamuda na Cheo ni amana/dhamana. Ifike wakti waTz tujitambuwe na tubadilike tuwache mazowea ya Siasa as chumi, Udini, Ukanda, Uvyama nk. Naamini Mh. Raisi (mama) anayo dhamira ya dhati ya kutuvusha waTz na kutuondoa ktk ubaguzi na malumbano yasokuwa na msingi wake tija. Ila ndo ktk kuwaongoza watu/mtu inahitaji hekima na busara na zaidi kumtanguliza Mungu Mola Muumba. Mashaallah mama anajitahidi sana ikiwemo; kuondowa Ubaguzi wakila namna (Udini, Ukanda, Ukabila, Uvyama), tunaona jinsi kero za Muungano anavuo shulikia nk ili kuondoa tofauti zetu waTz nk japo wapo baadhi ya kuroka Chama Chake, baadhi ya wa Vyama vya Siasa/Wapinzani, baadhi ya Viongozi wa dini wenye imaan dhaifu wapenda maslahi ya kidunia wanaompiga vita kwa also na kwa dhahiri/bayana ili mama asifanikiwe ! WaTz ukumbuke kuwa mama amepokea nchi ktk kipindi kigumu mno na, nchi imekuwa ktk changamoto nyingi, kielimu, kiajira, Ubaguzi/kubaguwana, Udini na ukabila (upo na umeota mizizi japo kiaiasa inahubiriwa Tz hakuna ubaguzi wowote !) na hili la kubaguwana lipo tangia tupate Uhuru hiatoria zinatwambia mengi kuwa upo ubaguzi ila wapo wanaovumilia/wanaopotezea uwezo wa ubaguzi na tusipokuwa makini itafika wakti wanaobaguliwa wataitaka haki kwa itavyokuwa/liwalo na liwe (kama mbwai na iwe mbwai). Chondechonde waTz tusifikie huko. Mama apewe ishirikiano wa kweli na haki ya dhati bila ubaguzi wowote. Neema tuliyonayo waTz mataifa mengine hawana na wanatamani tuharibikiwe. Hivyo tuwe makini sana hawswa WanaSiasa, Viongozi wa Dini na Mazehebu, Watendaji wa Serikali, Raia tuwe Wazalendo na tupendane kwa ukweli na haki, tuwache chuki, huauda na unafiki. Tz itajengwa na Wazalendo wenye moyo wa upendo, ukweli na haki kwa khodu ya Mungu. KAZI IENDELEE3
Mwenyenzi Mungu Mtakatifu akubariki sana Mh Raisi Mama Samia na Mh Mbowe
Dada samia uko vizuri, ni rais wa mwanzo, mpenda amani katika nchi yetu. Tunakupenda. M/mungu akusaidie katika majunumu yako.
Hongera kaka yangu Mbowe, hongera rais Samia Suluhu Hassan. Mmekuwa alama ya kulileta Taifa letu pamoja. Sasa naona mwanzo mzuri kwetu na vizazi vyetu. Naona baraka za mwenyezi Mungu, naona maendeleo. Daima kama tusimame katika haki pasipo kujali tofauti zetu. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania
You are the HERO kamanda Mbowe. Mungu akulinde.
Mungu akupiganie baba mm mmkenya bt nlikuankifuatilia Sana kesi zako pole kwayote baba Asante mama Samia Suluhu kwa huruma zako mungu akuzidishie umri akupiganie mama.
Love u mumyy,,
Hongeraa Sanaa Mh. Rais, uko vizuri na M/Mungu akutangulie ktk Kila lenye HERI kwa Taifa letu?!
Asante sana mbowe kwa maelezo mazuri kabisa tujenge tanzania yetu
Asante Mungu kutupa Rais anayetafuta upatanisho Mungu akulinde Rais wetuMAMA SAMIA
Mama Samia jenga haki..you are big brain. Congratulation
Mungu akubariki rais wetu hatuna chakusema zaidi tunakuombea sasa naiyona Tanzania iliyonikuza
Hongera Mama Samia! Kweli unajuwa kuongoza! Na una sifa zote njema za uongozi! Hongera kwa Wazanzibari kwa kutowa viongozi bora! Big up Mama!!! Unaweza!!!
Sana
Kwani alie mfunga mbowe ninani?
@@josephandrew3444 mahkama
Ni nyinyi kwa nyinyi Watanganyika! Ili mumuharibie mama kwa SBB alianza kwa maridhiano!
@@saidmohd7240 Peleka upumbavu wako huko!
Mheshimiwa Rais hana moyo wa jiwe wala chuma mimi naamini hilo sana sana tu
Na kama alishiriki kwenye madhira haya basi kuna shinikizo lilikuwa nyuma..
Hongera Mh.Rais Samia Suluhu Hassan najisikia faraja na amani kusema ni moja ya Rais atakayeacha alama kubwa sana ndani ya Taifa hili...
Hongera Mh.Freeman Mbowe ni moja ya viongozi wenye ngozi ngumu ya kuvumilia mengi ya kisiasa,Mungu akubariki sana na akuongezee hekima na busara.
Kongole kwa viongozi wa dini,kongole kwao sana sana.....
Nimejisikia Amani na Furaha Sana...
Mungu Ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Afrika..🙏
Mungu mkubwa... Mh. Rais Mama Samia Mungu akubariki. This is History, umeonyesha ukonavu mkubwa wa kisiasa. Hongera pia ndugu Mbowe kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuitikia wito wa rais pia. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka na hii ni alama kubwa sana katika taifa. Mungu ibariki Tanzania.. Amen.
Safi sana
TV au media siyo maisha halisi. Wanasiasa ni porojo tu. Aende tanesco akawaambie wafanye kazi tupate huduma kwa wakati. Hizi maneno maneno ni porojo. Vyama vote miyayusho
Hongera rais wetu mpendwa kw a kuoneshe upendo na haki mungu atakulipa mama Viva tanznaia amani itawale
Ubarikiwe sana Mama Rais wetu. Amani haki na upendo itawale daima Tanzania.
Very very Gentleman,, I salute Mbowe
Asante Mungu sana! Wewe ni mungu usio angalia cheo wala chochote,tuna kushukuru,mama Asante sana pia unahuruma sana,mama angalia na wengine anaye onewa mtoe utapata thawabu kubwa sana,
Mama Samiath Suluhu Hassan Safi Sana kwa Kazi nzuri Sana Asante Mhe.Freeman Mbowe Safi Sana....mmekomaa Sana Kisiasa.
Mungu ibariki Tanzania na viongozi wake
Hekima na amani itawale miungoni mwao na wawe na hekima iliyo sahihi pia wawe na hofu ya Mungu.
Ahsante Mungu
Angalieni muujiza wa Mungu hapo chini ndio muelewe Mungu yupo. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Pole Sana Mbowee kikubwa uzma mzeee Ishaaala mungu ameweza na kujibu maombi yetu karibu sana chunya
Ongera sana Rais wetu mama Samia
Binafsi yangu nimeipenda hii Mungu bariki Tanzania Mungu tubariki waafrika heshima umoja na amani amen🙏🙏
Safi sana kwa hekima na busara nchi yetu sote. Asante Rais 🙏🙏🙏
Ahsante yanini kwani alie muweka ndani ni nani!?na kwa kosa gani?;
Karibu watu wote zaidi ya 300 waliotoa maoni wamempongeza sana Mh.Rais.Lakini kuna mmoja kanishangaza eti mwanae akiingia kwenye siasa atamuua mapema.Huyo mimi ninamshauri anaache kuitamka hiyo kauli kwa watoto wake.
@@bentesha6216 naomba nikuambie usilolijua.....kati ya 100% ya watu ni 1% au 2% ndio wanakua sahihi na masalia 98% ni chenga. Anza kuangalia kila kona, Magufuli, Gaddafi, Sadam, Putin na wengine utaona uhalisia wa hiki ninachokuambia. Hao watu waliozungumza ndio hao wanaosema JPM alikua poa ndio hao hao walisema JPM hafai....unawasikiliza? Hua wanajitambua baada ya kiini Macho kuisha.
Na sabaya nae umtoe sio tu mbowe nae sabaya Ni mtanzania aliefanya kazi nzuri mfikilieni nae atoke awe huru
Hongera Rais wetu pia hongera Mwenyekiti Mbowe
Asante mweshimiwa Rais suluhu kuliishi jina lako
Hongera sana mama samia kiukweli jambo hili la kumshikiria mbowe ulituumiza sana watz si kutuumiza cc tuuu hata wewe kama rais ulitufanya tusikuone lolote kwa hatukutegemea tena siasa za mabavu
Hongera sana Watanzani wote, Hongera za kipee kwa Mh Rais Mama Samia. Mungu aibariki Tanzania na watu wake.
Hongera Rais wetu kwa ujasiri uliouonesha. Mungu azidi kukuongoza.
Hii inapendeza tunaipenda nchi yetu.Mungu awatunze
Siku zote Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu.Binafsi napenda namshukuru Mwenyezi Mungu Mungu wa Rehema na Amani kwa kusikia kilio na maombi ya watanzania wote.Hakika Mungu ni mwema kila wakati hawahi wala achelewi anajibu kwa wakati wake.Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania wabariki watu wake amani upendo na ushirikiano uzidi kutawala miongoni mwa watanzania wote.Amina
Mama samia ni Rais wa kipekee sana hongera
Vizuri Sana Mungu wetu awatangulie ktk mwanzo mwema...🙏🙏🙏🙏🙏
Hongera xana Rais wetu,mama yetu umefanya jambo kubwa xana ambalo halikuwai kutokea .Sasa naamini kuwa kila kitu kitakuwa sawa na aman itaendelea kuwa bora zaidi.
Mama kaupiga mwingi . Mbowe pole Sana na hongera Sana kamanda la makamanda
MASHAA ALLAH
Huyu Mwamba ni mnafiki sanaaaa . Inshu zake na Jakaya tunazijua
Tufahamishe na sisi
Woow!Mama samia u are a wonderful president,i really admire ur wisdom and governance!may the almight God increase and protect u day and night
Mpumbavu wewe huna akili ! Bora unyamaze….😠😡
Kichwa ni kichwa tuu mungu akubaliki Mbowe
Dah nimekubali Mama Samia ni Rais sahihi katika inchi hii.
Sinabudi na kumshukuru Mwenyezi Mungu(s.w.t.)
Na kumshukuru Mama yetu, Mlezi wetu na Rais wetu mpenzi Rais SAMIA SULUHU HASSAN.....Kwakweli majina yake yote leo yametimia kimaana yake kwa kumwachia huru MBOWE.
Mwenyezi Mungu ni kila kitu lakini hua kuna sababu kwa kuachiwa huru MBOWE ni uwezo wa Mwenyezi Mungu, sababu kupitia Mama SAMIA SULUHU HASSAN.
Mama hongera sana kwa kuliona hilo na kuonesha huruma zako.
Mwenyezi Mungu azidi kukupa huruma,upendo na hekima ya kutuongoza sisi wanao, na raia zako.
Amiin
Safi sana mwenyekiti wetu 💪💪💪🙏🙏🙏 more lovely
Hapo mama umeonyesha uungwana sisi hatupendi vita mungu akubariki safi sana
Kumbe Mungu yupo Na anaona Na kujua yote..🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tunakushukuru
Mungu
Kwakusikia
Maombi
Yawa
Tanzania
Ubarikiwe
Mwenyekit
Mbowe
Huu ndo Ungwana. Asanteni
Ni muda wa Mwenyezi Mungu kushusha baraka zake Tanzania
Mama wewe ni Mtu tofauti sana (ADIMU au TUNU)
Hongera saaana sana,,,, Ukweli ni kwamba Ambae ana Akili kubwa huwa haogopi wala Hakwepi Mapambano ya Kifkra,,, kwani mwenye kujiamini,,,, Hujenga kujiamini kuwa kila mtingishiko "Suluhu" yake ni kukabiliana nayo kifikra, na sio kutiana JELA.
"HONGERA MAMA"
Asante sana mama samia
Mama Mungu akubariki.
Pepo la kunyanyasana liishe...Tusonge mbele👏
Good start. I hope she means what she says
We’re watching this space. Wishing you both Good health and Wisdom from above to lead our dear mama Tanzania where it used to be, Nyerere era. Taifa lenye upendo wa kweli, watu kuheshimiana na kutambua na kuheshimu tofauti zetu. Uchaguzi uwe wa haki na busara. Basi akishinda mpinzani basi aachiwe kuongoza Nchi. Sisi tunaona huku Kwa wenzetu, akishinda mpinzani basi huachiwa manyanga ya uongozi. Hutasikia wala kuona watu wakinyanyasika au kupigwa au kupotezwa. Yaani uchaguzi unakuwa kimya utadhani mko kanisani. Anayeshinda basi hutangazwa. Maoni ya wapinzani yanaheshiwa na kufanyiwa kazi na serikali inayoongoza. Bunge linatoa haki sawa kwa wapinzani na walioko madarakani. Wabunge wote kwa pamoja huikosoa na kuiwajibisha serikali pale inapozengua. Yaani kila mtu anamuheshimu mwenziye. Hakuna anayejiona ni bora kuliko mwenziye. Pollisi wanaheshimu raia hadi raha. Yaani police kakukamata bado mnatia story na kucheka. Magakama ndiyo usiseme. Hakuna kubambikiwa kesi. Police wanaheshimu raia. Hii ndo maana ya civilisation. Mtendee mwenzako kama unavyopenda wewe kutendewa. BINADAMU NI LAZIMA AHESHIMIWE, AWE MKUBWA AU MDOGO. MAANA SISI SOTE TUNA HAKI SAWA MBELE ZA MUNGU BABA. CCM NA SERIKALI YAKE BADILIKENI. MAMBO MNAYOFANYIA RAIA SI HAKI HATA KIDOGO. WE CANNOT BE PROUD OF OUR OWN COUNTRY, OUR OWN GOVERNMENT AND ITS LEADERS.
GOD BLESS TANZANIA AND HER PEOPLE AT LARGE .❤️🙏🏾
Hongera mhe.Rais, nchi yetu ni ya amani, na wewe umeonyesha hali ya juu ya democratic, nchi yetu ni ya amani na mshikamano.
Hawabebeki hao kesho utasikia matusi yameanza
Hakuna amani tz sema kuna uvumilivu tuu cku wakichoka uvumilivu utajua nn maana ya Amani na Haki
Be blessed Madam President SSH
Hongera sana kutoka gerezani
Nina Amani Na furaha tonight...mwenyenzi Mungu ibariki Tanzania. Asanteni Europe!!!
Sasa Europe hapo wanahusikaje? Watz tuache kujipendekeza.
Kweli isingekua Europe haya yasingekuwepo 😎😎😎
"TUMECHOKA KUBEMBELEZANA"
Nanukuu FRM JPM..
Na haitatokea kuwa na Rais Africa nzima Kama JPM.
😔Mungu akulaze mahali pema peponi
Kabisa aiseee Mwamba kalala tunarudi kule kubembelezana
amin kazi aliifanya nzur sana maovu aliyakataza kama Mungu anavo amrisha na haq alizitenda kwa raiya wa inchi yake Allah ampe jannah sie waislam tunamombea pia
@@aishaalbalushaishabalush8291 hivi kwa akili zako unafkiri jannah ni nyumban kwenu kiasi cha kumuombea yule katili no 1 duniani 🤮🙄
@@goodteam7890 kwa maqaafir ndi unamwita karili so kwetu sie waumin tunamuita kiongoz mwema kwa africa haijawahi tokea so usinilazim nifanane naww
Pole Mbowe jmn miezi nane jmn
Haya ndio mambo tunayo hitaji naipenda tanzania
Tunakupenda MBOWE kwa kweli na asante Mungu umetoka salama
Tumuombee awe salama kiafya na akili pia
Nimependa
Mm nimuungwana sana mungu akjalie mm kusikia kilio ch wengi fwata silsila y rais kikwete piga kazi watanzania tunaona hkn taabu nahao jmaa waach wapige Siasa zao hakna shda kbsa
Mnaoandika vizungu nani watanzania halisi
Mshindwee🙄🙄🙄
Salute kwa Mbowe 🌟
😂😂😂😂😂
Kazi iendelee!!!!
Kwakweli siku zote mbowe amekuwa mahakamani nimeteseka sana nafsini kutoka kwake nami nimeponywa nafsi. Asante sana rais kwa kuiponya nafsi yangu. Umezidisha mahaba yangu kwako japo yalianza kufifia
Mungu akutunze mama! Mungu amekupa hekima ya ajabu! Mungu uibariki Tanzania!!!
Naomba ushauri mke wangu Kila nikikutananae muda wote nimakasiriko nanikimuliza Nini nilichokifanya anasema hakuna pia nikimuliza kitu uwa au kumsema kitu flani uwa anakuwa mkali hataki kumsema au kumkea jambo ambalo mimi nisilolipenda toka kwake uwa anakuwa mkali nakukasirika Mimi nilikuwa mwepesi saan kupiga mwanamke nanilikuwa Malaya Ila kwauyu nimeamua kuyacha yote nakujishusha kwakujua saizi naitaji maisha yenye amani nafraha namwenzangu ata Simu yake nikishika nikikuta meseji yababa ake mtoto anakuwa mkali nifanyeje juu yaaya ninayoyakutananae kwauyu mwanamke Mana nimependa kuishi maisha yakulia nakuyaacha yote Ila mwenzengu Yuko ivyo nifanyeje nisiriasi so utani
Safi sana Mama tunakupenda
Hii nchi itapendeza kwa kwelii 🙏🙏🙏
Unajidanganya. Pengine waruhusiwe kuitafuna nchi kama ilivyokuwa awamu ya nne,
Yaan itapendezaje
Tunajidanganya Kwanu kuna Awamu Ambayo Haikutafunwa na tulipo ambiwa ilitafunwa tukabaki Kumtoa SAG tukamuweka Mwingine Juzi Katoa Taarifa Tukanunu...Haaahaaa nchi inapigwa sema Kila MTU na Namna yake kun wanakula kwa Siri na wingine wazi tRNA Hero alae wazi unamjua kuliko anaedanganya sili ila anakulaaa ..Za kuambiwa chamganya Na Watu..
Yaaan Mbowe anajua kuongea kulingana na Eneo aliopo with serious confidence
Mama x2 mama huyo.ndyo sifa ya mama mlez mpenda usawa ,Aman ,furaha,abagui.hongera S.S.Hassan
Yes Samia , mama umefanya jambo lamaana sana Mbowe ni baba tena mvumilivu sana jengeni inchi pamoja congratulation
Safii sanaa mh. Samiaa huo ndio uhuru wa nchii yetu
Just like Kenya of today , The ruling party and the opposition are working together and no more fighting . Congrats mhesh Samiya Suluhu .
Binadamu, mhh!! Ngoja nioite zangu tu.
"GAIDI" aalikwa Ikulu. Hivi vituko unaviona Tanzania tu! Hii nchi ni ngumu sana.
wala sio ngumu wakati maelewano yapo
Wewe nenda mbele ganga yajayo! Inaonyesha hujafurahia kutoka kwa Mbowe. Kwani we Rafikiyo akikosea, ukishamsamehe humkaribishi tena nyumbani?
Picha inatengenezwa kuchafua taswira kwa aliyepita kwamba hakujali ati lugha inayoitwa demokrasia. Hizi ni siasa za mapicha
Wakubwa wakiongea nyamaza kimya we bado mtoto kwanza kojoa ukalale
Kajambe mbele huko tunawaona mnavyoumia
Mungu anamakusudi na tanzania.
Ilituweze kupewa pesa na wazungu lazima tukubsli masharti na moja ni kumuachilia mbowe lapili ni kuwa naserikali Ya umoja tusubiri mengine
Jitu Akilimali Exactly lakini hata hivyo ilikuwa kesi ya kutungwa ukisikiliza mwanzo mwisho
Ulitaka akae jela bure watanzania tuna roho ya upendo Sana hatuna roho mbaya
Hongera sana President
Hongr viongozi wadini pia,mmetimiza wajibu wenu
Duuuuh,,,,, Big up Mr mbowe
Kuna mitihani inaleta khery na suluhu na mabadiliko kwenye tofauti...mungu awaongoze viongozi wetu na kujenga mshikamano wenye tija
Safi sana sisi amani tu
Very good madam president!
Mama mnafiki sana uyo
Asante mama
Love you sanaaaaa kaka mbowe
Chuki za kina NDUGAI na SIRRO hizo zilimuweka ndani MBOWE mungu atawalipa inshaallah
Upo sahihi kabisa. Lengo lao ni kutaka kumharibia mama kwa maslahi yao. Ila Mungu yupo na Tanzania.
@@leverimlaki5667 kabisa ndugu
Ndugai Hainekani Bungeni, kapotelea Wapi..!!?? Alimfuta Tundu Lissu Ubunge Na kumyima Pesa Za Matibabu..!! Na Yeye Afutwe Ubunge Anakula Mshahara Wa Bure Wakati Hainekani Bungeni. !!
@@geraldnashokigwa517 hahahaha
Pole na hongera kutolewa jera
Congratulations to peace keepers 🤝💪
Mbowe una lugha ya kistaarabu sana licha ya kuwa mwanasiasa wa upianzani ambaye yuko committed kwa 100%.
Tanzania yangu, nchi yangu🇹🇿
Mama muelewa na ni Mzalendo na anajitahidi kutenda haki kama imaan ya dini yake inavyohimiza kutenda haki.
Tatitizo kubwa Serikali haina dini japo % kubwa ya watendaji wa Serikali wanazo dini zao na madhehebu lakini mtihani upo ktk kuwa na Imaan sahihi na ya kweli na haki na zaidi miss na khofu ya Mungu Mola Muumba.
Baadhi hawana ubinadamu wala key wao huwaza ya kidunia tu wakti dunia ni mapito na starehe zamuda na Cheo ni amana/dhamana.
Ifike wakti waTz tujitambuwe na tubadilike tuwache mazowea ya Siasa as chumi, Udini, Ukanda, Uvyama nk.
Naamini Mh. Raisi (mama) anayo dhamira ya dhati ya kutuvusha waTz na kutuondoa ktk ubaguzi na malumbano yasokuwa na msingi wake tija.
Ila ndo ktk kuwaongoza watu/mtu inahitaji hekima na busara na zaidi kumtanguliza Mungu Mola Muumba.
Mashaallah mama anajitahidi sana ikiwemo; kuondowa Ubaguzi wakila namna (Udini, Ukanda, Ukabila, Uvyama), tunaona jinsi kero za Muungano anavuo shulikia nk ili kuondoa tofauti zetu waTz nk japo wapo baadhi ya kuroka Chama Chake, baadhi ya wa Vyama vya Siasa/Wapinzani, baadhi ya Viongozi wa dini wenye imaan dhaifu wapenda maslahi ya kidunia wanaompiga vita kwa also na kwa dhahiri/bayana ili mama asifanikiwe !
WaTz ukumbuke kuwa mama amepokea nchi ktk kipindi kigumu mno na, nchi imekuwa ktk changamoto nyingi, kielimu, kiajira, Ubaguzi/kubaguwana, Udini na ukabila (upo na umeota mizizi japo kiaiasa inahubiriwa Tz hakuna ubaguzi wowote !) na hili la kubaguwana lipo tangia tupate Uhuru hiatoria zinatwambia mengi kuwa upo ubaguzi ila wapo wanaovumilia/wanaopotezea uwezo wa ubaguzi na tusipokuwa makini itafika wakti wanaobaguliwa wataitaka haki kwa itavyokuwa/liwalo na liwe (kama mbwai na iwe mbwai).
Chondechonde waTz tusifikie huko.
Mama apewe ishirikiano wa kweli na haki ya dhati bila ubaguzi wowote.
Neema tuliyonayo waTz mataifa mengine hawana na wanatamani tuharibikiwe. Hivyo tuwe makini sana hawswa WanaSiasa, Viongozi wa Dini na Mazehebu, Watendaji wa Serikali, Raia tuwe Wazalendo na tupendane kwa ukweli na haki, tuwache chuki, huauda na unafiki.
Tz itajengwa na Wazalendo wenye moyo wa upendo, ukweli na haki kwa khodu ya Mungu.
KAZI IENDELEE3
Duniani hakuna haki kuna watu wengine wamefungwa kimakosa akawatoe basi.! O kisa sio maarufu
Haika taifa linaenda kusimama mungu ibariki tz. Ccm mjipange imekwsha kula kwenu hiyoo
Kazi iendelee
Wako wapi wanangu wa RIP magu
Rip jpm
@@aishaalbalushaishabalush8291 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Freeman is now a free man but he didn't know that before.
Ahaaaaa awee na heshimaa
Samia bado hajamjua mbowe atamtoa jasho baadae 😂😂😂😂
Big up mr president...