RAFIKI MSALITI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hayo ndio maigizo ninayoyapenda pamoja na aina ya uchekeshaji , sio kama wale wanaobinuabinua midomo

  • @YoungFordy360
    @YoungFordy360 13 วันที่ผ่านมา

    Wakusmarta snichiiii sio mwanaaaa😁😁😁

  • @meddy92
    @meddy92 7 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli Nanga aliposema Wakusmarta ukiamua kuact watu watajitafuta akukosea.

  • @johnwillingstone3121
    @johnwillingstone3121 7 หลายเดือนก่อน +4

    Big UP saanaaa wazeee, nakubali!!

  • @geofreyukason
    @geofreyukason 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ila kuna muda jay Anaonekana mnafiki kweli huyu!! 😂

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mumfumue kizazi kama vipi😂😂😂

  • @barnabasmarsel3876
    @barnabasmarsel3876 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂cha kuokota cyo chakuiba mwenye mali kazembea😂😂😂😂😂

  • @johnwillingstone3121
    @johnwillingstone3121 7 หลายเดือนก่อน +3

    🤣🤣🤣 hakika nimemfananisha huyu dada na mtu flani, yaani vilevile kila ki2 😂😂

  • @abelmwakipesile9868
    @abelmwakipesile9868 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mnajua wakubwa,oya J nomaa

  • @ba-abada.1586
    @ba-abada.1586 หลายเดือนก่อน

    Musa kama Musa, kuna mazito kwenye kifua, Hahhaha wakusmarta.

  • @KhalfanRashid-y5e
    @KhalfanRashid-y5e 7 หลายเดือนก่อน +1

    K voo wew mchawi 😂😂😂 nakukubali san

  • @IluMshana-ni8xf
    @IluMshana-ni8xf 27 วันที่ผ่านมา

    Kuna mazito kwenye kifua😂

  • @JumaMichael-cq3vt
    @JumaMichael-cq3vt 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂nanga mnajua ayse kinomanoma.

  • @eliaspius4949
    @eliaspius4949 7 หลายเดือนก่อน +7

    Likes 5 kwa Keivooo

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 หลายเดือนก่อน

    NANGA NAOMBA NAMBA ZA HUYO DADA, ALAF TUTAONGEA VIZUR

  • @abdulmanafi548
    @abdulmanafi548 หลายเดือนก่อน

    Watu wapooo😂

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 3 หลายเดือนก่อน

    Saf sana mzee nanga,muko vizuri from nbi Kenya 🎉

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa mandevu anafanana Sana na mfaume mfaume

  • @IluMshana-ni8xf
    @IluMshana-ni8xf 27 วันที่ผ่านมา

    Waliambiana wote wave vipensi au ni coincidence 😂

  • @chichasam9032
    @chichasam9032 7 หลายเดือนก่อน +4

    J banaa😂😂😂😂😂

  • @braytonjonas7069
    @braytonjonas7069 6 หลายเดือนก่อน

    Nakuwasha kofi😂😂😂😂

  • @byabatotv3283
    @byabatotv3283 7 หลายเดือนก่อน +2

    Fumua kizazi😂😂😂

  • @saddiqmageta7904
    @saddiqmageta7904 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huo ndo uhalisia

  • @RehemaSaid-ww1mm
    @RehemaSaid-ww1mm 17 วันที่ผ่านมา

    J anakuja Kasi jmn

  • @michaelmatemu3490
    @michaelmatemu3490 2 หลายเดือนก่อน

    Et nanga anasema huyu m ntampigaa Ila syo mda huuu
    Nanga amesmama Kama Kaka mkubwa Ila kevoo ndo mchambaji wa kundi 😅😅😅 wakusmata ni motooo wa kuotea parefu

  • @MNOMA255
    @MNOMA255 7 หลายเดือนก่อน +4

    😅😅😅😅😅😅

  • @AsiaShabani-k3b
    @AsiaShabani-k3b 3 หลายเดือนก่อน

    Mh unalako mwamba

  • @mudyngunga7085
    @mudyngunga7085 6 หลายเดือนก่อน

    Iyo nita kuwasha kofii kama una piga kwel ilo kofi

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 5 หลายเดือนก่อน

    Type yake ni WENGINE😂😂😂

  • @mdathiruadinani4161
    @mdathiruadinani4161 7 หลายเดือนก่อน +13

    Tengenezeni jambo peleka Azam pale mtaua..... Kuna watu wamepeleka story za kijinga kijinga Nazi bubu sjui wakati nyie mpo

  • @saidomari001
    @saidomari001 6 หลายเดือนก่อน +1

    Loo