MHE FREEMAN MBOWE AAHIDI KUMPA USHIRIKIANO RAIS SAMIA ENDAPO AKIENDELEA KURUDISHWA DEMOKRASIA NCHINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @williamgideme2689
    @williamgideme2689 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Mungu awatangulie watetea haki

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +4

    Safiiiiii chama cha wenye fikra endelevu na maono ya watanzania

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 2 ปีที่แล้ว

    Chadema chama makin one love

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +5

    Kweli kbs awamu ya 5 watu walichukua kadi za CCM ili kulinda biashara zao na uhai wao yaan hofu ilitanda miyoyoni mwa wananchi wengi

    • @evaemil856
      @evaemil856 2 ปีที่แล้ว +1

      Hapo umenena kweli, wengine tulichukuwa card na kusimamia uchaguzi tukijua tutapata kazi ya kuajiriwa na serikali kwani ndiyo tu tulikuwa tumegraduate tubatafuta kazi ndo pa ikatokea uchaguzi basi tukafwatwa college kwetu kumbe hamna lolote mpaka Leo watu tunapiga teke kutafuta kazi.

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +2

      @@evaemil856 Ndo ivyo awamu ya 5 ilikuwa ya hofu tupu tusidanganyane kbs unafiki hautakiwi tuwe wawazi kbs kweli miunfdo mbinu imetekelezwa lkn maisha ya watu yalikuwa ya hofu tupu usijadili kuhusu serikal utadhani mkimbizi vile

    • @lusungukitago9000
      @lusungukitago9000 2 ปีที่แล้ว +1

      Hapo umenema aiseee

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +1

      @@lusungukitago9000 Mdau mtaani kwetu waliongozana na kushauliana ili wachukue Card za CCM ili kukwepa kusumbuliwa wakijua wewe CHADEMA umeisha hata kama biashara yako ya halali umetimia kila watakutafutia visababu vya kipumbavu sana

  • @mchawaamanmchawa593
    @mchawaamanmchawa593 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mkuu

  • @yohanaphilipo4132
    @yohanaphilipo4132 2 ปีที่แล้ว +2

    Pow

  • @kikariantandi4833
    @kikariantandi4833 2 ปีที่แล้ว +1

    HUU NDIO UTANZANIA TUNAOUTAKA YAANI KATIBA MPYA NI SASA

  • @cosmaswilliam3805
    @cosmaswilliam3805 2 ปีที่แล้ว

    Chadema vemaaaaa

  • @johnsonpatrick8148
    @johnsonpatrick8148 2 ปีที่แล้ว +1

    Chadema yetu

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว +1

    chama cha ukombozi wa watanzania CHADEMA

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 2 ปีที่แล้ว +1

    Saf mwamba

  • @christophertz
    @christophertz 2 ปีที่แล้ว

    ✌🏿

  • @czmediaconsultant5640
    @czmediaconsultant5640 2 ปีที่แล้ว +1

    Chadema kwa sasa hamna mpya mwenyekiti wenu kapigwa m100 na makamu wake m100 na John Heche milioni 50,wanakazi ya kumtukana Magufuli wakati wananchi wanataabika kwa hali ngumu ya maisha,Chadema hawana sera zaidi ya Magufuli, yaani utafikiri awamu ya tano p3kee ndio watu wamewekwa ndani DkT ulimboka aliteswa Absolom Kibanda na Said Kubenea ,lakini wao wako na Magufuli tu,Utadhani Mwangosi naye alikufa wakati wa Magufuli shame on them Chadema

    • @williamgideme2689
      @williamgideme2689 2 ปีที่แล้ว

      Kwani vhadema ndi waliowaua si walilalamikia hayo wakati wote?