Kelvin nmelia maskini nkuonea huruma 😢mapenzi yanauma😢make hemed kila filamu huigiza mgonjwa hivi n kweli uhalisia wake ama niugizaji jmni😢 mungu anpe umri 🤲
Huyu mama hemedy anabowa kuharibia mausiano y watu kila movie anaharibu mahusiano nimehuzunika kwa kweli alf mamma mwanaharusi hujafanya saw kabisaa kumchagulia mume mtoto wako kwan wew wakati ukiolew ulichaguliwa acheni mambo ya kizamani imeniuma utadhani n mimi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Chande uta kufa vibaya wewe na kuigiliya mapenzi ya watu kwa Melissa uka igilia kwa mwana naye una igilia wewe tuna kuurumiya sana 😂😂ila tuna kupenda ❤
Wapo sana Mama mwana harusi sawa na mama yangu au mama hemed yaan kumchagulia mtu mke au Mume ukabali ukatae Anataka uolewe au uoe huyo anae mtaka haijalishii unampenda humpendi utajua hujui uolewe au uoe alio chagua Mama yako Bado wapo sana tuu
Unakumbuka ile Ndoa ya mkataba alio yule Dada alikuwa melisa ila jina jengine akamuachisha na yule baba alikuwa alimuuza mke Wake kisha pesa ya mahar waakaja funga ndoa na chande baadae ya mkataba ila walikuja pendana Kwelii
HAYA WA KWANZA MIMI MWENYEWE LEO 😂😂😂
Usicheleweshe epsode inayofuata roho hazitulii jaman
@@classicswahiliimage7496 Asante Sana
Mjikaze kutoa jamani😢
Mauwa yako🎉🎉🎉🎉❤❤
Chande nami najua kuigiza nahitaji dira kidogo
Wa pili mimi basi
Kazi safi sana
umechelew bro
Umechelewa
Kazi mzur ❤❤❤
ILA UNACHELEW SNA KAHEMED KWNN LKN
Kelvin nmelia maskini nkuonea huruma 😢mapenzi yanauma😢make hemed kila filamu huigiza mgonjwa hivi n kweli uhalisia wake ama niugizaji jmni😢 mungu anpe umri 🤲
Kaz nzuri story nzuri wahusika wanafanya Kaz Vzur. Dakika nzuri kabisa ahsanteni ❤
Good job chande
Kazi nzuri chande❤❤❤❤
Kazi nzuri ❤❤❤ na ka wimbo kazuri
Hongereni move nzuri sana
Dakika zinakuwa kidogo na kazi iko vizuri tuongee dakika Kisha inachelewa
Safi sana kazi nzuri nawapenda nyote chukueni 🎉🎉🎉🎉
Wakwanza kuitazama from kenya
Ongeengi mi namalizia nasubiri ya 7
Jamani mimi wa kwanza leo😂😂😂😂😂😂😂😂
Kaka kupo vizuri mm nimependa madaktar kutibu kwanza mteja malipo baadae
Haya kazi nzuri sana tupe mwendlezo please ❤❤❤
Nawapenda pia 😂😂😂
Movie Nzuri nawatakia heri
Wadada wa kwenye hii movie mh!!
Mm Tu wamwesho from Kenya 🇰🇪❤❤❤❤❤
Tonny na mwenzake mwanikera mnaharibu movie
Kaka mwanarusi ulimleta uku na hisemi hya una xx nimekua wamwisho 😅😅🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mimi ha mtu wakuanza Ku toka Congo
Ivi uyu mama mwanaharusi ni mtoto ake really ukiacha kuigiza maana wanafanana sana
Ata mimi naona ivi wallah
Ndoa ya mkataba😂,haya twende nalo tujionee
Kazii nzurii Sana
Nipo oman🇴🇲🇴🇲🇴🇲 natumai c wa mwisho
Tunao ona mbali kelvin na nesi watakuj kupendan🥰🥰
Pole sana kaka kelvin 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
mileoniwa 21 nipaeniclaki zangu basi kazi nzuri kaka
Wazazi kam mamake mwanaharus hawatoion pepo😭😭😭 sio poa kabisa kuchagulian wapenz ........nimekasirika sanaaaa😢😢😢
Haunishidi mimi nimzaxi ilasiwezi mnyima mwanangu furaha yake maana mimi sikuchangiliwa mume
Me mwenyew nlichaguliwa mme
@@LoiceLoice-c1b mi hapan mambo yakua waishi n mtu kambae uko jela🤣🤣
Mm nami hpo ziii😂😂😂😂siezi acha mtu anayenipa faraj n mwenye twaheshimia wanipaaa laana mm😂😂kuwekwa roho juu juu nayatakapi mm
@MwanamisiMuna iyo laaan haiwez shika bila sababu ya maan🤣🤣
KAZI NZURI SANA SANA❤❤❤❤TUNAOMBA NYIMBO MUTUACHIE AUDIO YAKE
Yan huy mam ke hemed Chand anapenda san kuigiza sehem ya ugonjwa any way uko poa mam hongera
Tatizo afya yke inaendana na kuwa mgonjwa 😅😅😅
😂😂😂😂ila nyie watu amko serious @@HashimSoud-v2n
@@HashimSoud-v2n😂😂😂😂yan
Pole.kijana.inauma.bola.mtu.umejua.mapema.songa.mbele
Daaaaa nimeumia sana Kwa kitendo Cha mwanaharusiii 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Mama ake hemedi chande nimempenda bule ana right roho nzur sana 😢😢😢
Huyu mama hemedy anabowa kuharibia mausiano y watu kila movie anaharibu mahusiano nimehuzunika kwa kweli alf mamma mwanaharusi hujafanya saw kabisaa kumchagulia mume mtoto wako kwan wew wakati ukiolew ulichaguliwa acheni mambo ya kizamani imeniuma utadhani n mimi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
ukiachana na @Tonny, huyu jamaa akeh Tonny anajua sana
kuna namna anapoa sana
Imekaaa njemaaaaa hii at
kazi nzuri
Mahusiano y kihuni noma sanaa 😂😂😂 hapa maokoto ila nimehuzunika sana n Kelvin kupata ajali kwa ajili ya Mwanaharusi😢 Tonny oyeeeeh🎉🎉🎉❤❤❤
Jamn napenda kuigiz ila ss wakukuz kipajichngu akuna napenda kuigiz Kam kaka hemed
kwani mko na odi ...humu pia ... anataka kupigwa busu hospitalini😂
Kaz nzur 🎉
hat mm ishnitokezea
Kelvin n ww ungeenda kumuonyesha hiyo rafikio mkeo😢😢mm hpo kwa kutafutiwa jimtuu ambalo silielew mwenendo wke ziii mwanipa laana tu mm
Huyu jamaaa kanichekesha sana😅😅😅
Mapenzi Oyeeeeeeeeee Hayajawahi Achaa Mtu Salamaa 😢😢 lazima ukipenda uumie Tuu upande Mmoja, kuwe na Shida
Daaaaaa mmenitoa machoz Kwa yule mkaka😢😢😢😢😢 daa mam mwana alusi anazambi😢😢😢😢
Me wa 8 naombeni hta like 1 to🎉😊
Nes kapendana na mhuni😂😂😂😂
M wa meisho
Dah nahis hii ni nzur kuliko melisa
ah sio pwah mda mwengine wazaz tunakosea kumchagulia mtu mum
Kevin kaniliza 😭😭😭😭kev wangu mim siwez muacha mpaka kiama😢😢
Mnachekewa jamani mpaka utam unaushaa
Ila sehem hiyo kuigiza kuwa nimgonjwa panampendeza kwe na anajuwa
Watatu mm hap
Sema huyo mhuni ndio uhalisia wake kmmk😂😂😂😂😂
Penzi la fujo afu mhuni anaomba hela tena kwa lazma😂😂😂
Yani hii series inatoka ladha pale mnapo tuonesha tony na jamaa yke tuuh.!.
🔥🔥🔥
Chand we kil move unlazimishwa kuoa mapnz yankutes san
DRC is my contry
kazi nzuriii❤❤❤
hata mimi sijuwi niwangapi😔😊
Nice move bt usiwe unachelewa sana
Nawapenda nyote kwa kz yenu nzuri🫶
Chande kaka naomba like yang😊
Mbona sa mnacheleweshaga jaman,
Haha mi wa mwisho
Next plz I can’t weit to see epsd 6 ❤❤am in love with hemed chande
Episode 7 dear
Kaka hizo nyimbo zuri ila hazitowi
Mm kutok 🇧🇮 wa kwanza kucoment please 🙏 likes ata 10 t
Nipen namba kev anioe mm nipo tayal😢😢❤❤
😂😂😂😂 mwenzio nimetoka kunywa maji sitaki kwenda chooni saizi
Mamake mwanarusi pepo utaikosa
Nimewai😂😂😂 like zangu
Kazi nzur
Haya bado ya saba
Kaz zuli ila inachelewa san
motoooo
Sijachelewa san
Next plz 🎉🎉🎉😂😂😂😂
Chande uta kufa vibaya wewe na kuigiliya mapenzi ya watu kwa Melissa uka igilia kwa mwana naye una igilia wewe tuna kuurumiya sana 😂😂ila tuna kupenda ❤
Xx Kwan kosa lake nn jmn
@FaizaKabibi-tb2dj kosa lake hana lijua mwenyewe chande nawa chumba wawatu 😴
Wazazi waoo
@@jamilashabani8580 mmmmm sokweli
mke wa mtu sumu😂@@FaizaKabibi-tb2dj
Nimimi wapili jamaani kilasiku nakuwa
Wapili
Inachelewa❤
Lakini wazazi hawafai kuwachagulia wanawao wapenzi wakuolewa nao nivyema wao wachague wenyewe
mbona sijaona ya tano mimi jamani
Nani ameona km mm rafiki yake chande atakua n mahusiano na dokta😂😂😂
Upo vizuri mwaya,nmeliona hilo
Naam🎉🎉🎉
🎉🎉🎉 Nice
jaman watatu mm
Sasa jamn naomba niulize iyi mwanaharusi episode 7 ndo finally au vp
Dunia ya saivi kunawatu wapo kama mama mwanaharusi jamani acheni iyo tabia yakutuchagulia mume
Wapo sana Mama mwana harusi sawa na mama yangu au mama hemed yaan kumchagulia mtu mke au Mume ukabali ukatae Anataka uolewe au uoe huyo anae mtaka haijalishii unampenda humpendi utajua hujui uolewe au uoe alio chagua Mama yako
Bado wapo sana tuu
@@jamilashabani8580 😂😂😂nachek Kama mazur ila wana boa sana yani pela san dad
Hemed sharuki wa bonjour uyoo
Masikini kelvin😢😢
Wazaz wengin wanaboo
Unakumbuka ile Ndoa ya mkataba alio yule Dada alikuwa melisa ila jina jengine akamuachisha na yule baba alikuwa alimuuza mke Wake kisha pesa ya mahar waakaja funga ndoa na chande baadae ya mkataba ila walikuja pendana Kwelii
Pole kelvin 😢😢
Tunjifunza mengi kupitia hizi tamthilia tunpswa kujifunza kupita yte hyaa
🎉🎉
❤❤❤❤
Like kwa kev anajua 😢😢😢
😢😢😢😢acha nilie na Kevin mm Mapenzi kitu gani Jamni?