Whoever reading this, Bwana atatengeneza jia kwa ajili yako, God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
Ujumbe mzuri sana Mungu awabariki, lakini jitahidini kutumia mavazi ya wakristo maana mavazi hutoa tafsiri ya moyo, mapambo zaidi hufukuza uwepo wa Mungu, wahusika ndio hawakuwa na muonekano mzuri zaidi nimependa sana hao walioshirikishwa wamevaa na kucheza vizuri. Asante.
Safi sana watumishi wa Mungu
Hongera Mungu akutunze katika huduma
Wa ajabu BWANA🙌🙌🙌....watumishi wa Mungu kazi yenu ni njema,Mungu awabariki
Can't get enough of this song. Replay is my thing. Good job
Barikiweni sana wimbo mzuri sana ....upo na upako wote ameen.....❤
Kaka asherly Nakukubali sana sijui nikwambiaje ila Mungu akuinue
🔥🔥🇰🇪🇰🇪...Kenya always loves Tanzanian music 💃💃💃💃..
Please give us the secret 😭
Ukiomba Kwa bidii,Inawezekana
th-cam.com/video/TrUcZ6yR8rw/w-d-xo.html
Kaz nzuri san mamdog wangu ubarikiwe🙌
Siku nitaolewa na kufunga ndoa ndio nyimbo ya kuingia nayo ukumbini❤️
Ngoja niidownload...this song 😍i will testify🥰
Hakika nimeinjoi jamani daaa. Sweet Melody, Perfect Message
Amen mbarikiwe sana watumish kwa wimbo mzul naupenda kwer yaan mungu awainue kimataifa
Nilikua sijacomment kwa muda mlefu lolote, hakika kwa hii acha niseme hakika Bwana Ni waajabu
Hii nyimbo naipendaga hatari leo nmeamua kui~download,, MUNGU akuinue wewe kaka nyimbo zako nazipendaga
Atukuzwe Mungu wetu kazi ni nzuri san
Atengeneza njia waajabu bwana eeeh nmebarikiwa asubui u leo utukufu n sifa n zako bwana
Whoever reading this, Bwana atatengeneza jia kwa ajili yako, God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
Sure yeye Ni waajabu.anatengeneza njia.kazi mzuri saaana congratulations.
Niko Na wimbo pia msalaba by Kerry carol
Nyimbo imenibariki sana. Mbarikiwe watumishi wa Mungu wa Israel
Ujumbe mzuri sana Mungu awabariki, lakini jitahidini kutumia mavazi ya wakristo maana mavazi hutoa tafsiri ya moyo, mapambo zaidi hufukuza uwepo wa Mungu, wahusika ndio hawakuwa na muonekano mzuri zaidi nimependa sana hao walioshirikishwa wamevaa na kucheza vizuri. Asante.
Jamani mbona mavazi hayana shida
Mungu ametengeneza njia maisha mungu wa ajabu kafanya mlango pasipo mlango thank god mm cikustaili yote haya mungu mungu amefanya njia waajabu cana
Hongera kwa kazi nzuri
Nyimbo nzuri pia imenibariki hakika mungu wetu ni wa ajabu kwa maana anafanya njia pasipo na njia
Wimbo wan pendwa ❤
Waajabu Bwana amenitengezea njia pasipo na njia
Mungu awabariki Sana kwa ujumbe mzuri
Nice song whaa hii song ni tamu .sana Mngu ni wa ajabu
Dada Pauline,wimbo mzuri umenibariki sana
Powerful song be blessed sster
Uko vizuri dear
Nice song🥰🥰🥰, the dresses😍😍
Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu
Upo vizuri sanaaa
Sawaaaaa sawaaaA NIMEEELEWAAAAAAAA MMEFANYAAAAAAA VEMAAAA SANA
Nyimbo kali sanaaaaa 🔥🔥🔥🔥
Wimbo mzuri video kali hongera Paulina wangu
I came across this song 2 weeks ago and can't get enough of it. Such a great message. God bless you guys
Aisee ashley unajua sana 2 GOD bless u
Ni kweli
Leo Leo mamaaangu wewe tukutane Top FM Radio
Amina kaka ashley BWANA wetu hutengeneza njia pasipo na njia
Mbarikiwe mnooo
Mungu akubariki Sana kwa wimbo huu. Umenibariki Sana🙏
Good song mungu awabariki sana
Nimependa huduma yako nzur sana
Indeed he is an amazing God ...the song is my testimoy
Mungu azidi kuwainua jmn yan nyimbo tamu kwel
Huu wimbo niliuona upendo tv na ukanibariki sana.
Me too.. uko poa sana
Hakika ni waajabu bwana
Huyo mwimbaji Ashley nitapeli sio mwaminifu
Waajabu bwana
Mungu akutumie zaid ni fireee
Nice song 🔥🔥🔥❤
Nimeupenda sana wimbo huu MUNGU awainue sana na awapiganie kwa viwango vingine.
Mnyamaa Kaamua Mikono Salama
Nalieka Tumaini Language Katika Yesu
Soo touching song I can't get enough of it.. Mbarikiwe sana
Upo safi
Hongera Paulina
Tamu sana
Najipata nikiwatch hii song. Imenibariki sana
Hii nyimbo sijawah ichoka
Unatengeneza njia pasipo na njia waajabu Bwana Yesu❤️❤️❤️
This is a lovely gospel song. Hongera Tanzania
Congratss....kaz njemaaaaa
Touching lyrics, I like kind of songs be blessed
God bless you for your song i like it
Good song & God bless you
Nassary✔🙌
Ubarikiwe sana
Bwana tengeneza njia
Ubarikiwe mnooo
Bigger up
Amina mtoto JGG mungu akupandishe
I discovered this song jana,its on my mind
Amazing
Can't get enough of this song
Nice song
Hongera
Mbarikiwe
So nice song
Kazi nzuli
I love this song blessings
Such a blessing song....very inspirational God bless you servant
Tokoooooooooooooooos sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nace San dad yang
This song is a blessing hallelujah
hongera
Asantee
Good work
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤2024🔥
Good song..
Ubarikiwe
Aminaaaaaaaaaaa
Beauty song
Great message
#Blessings
Good
Asante
Good song
Amen nmeikubal hkk mung akuinue
amina bwn
iiih song🔥🔥🔥
Cjui ntakupataje jmn Ashely nataka collabo na wewe
eyes jessus
❤🎉