Nilijua tuuu kuwa kwenye kesi hii Siasa zilingia kumzalilisha Mh RC pole sanaaa Kiongozi kwa uzalilishaji ulio kupata Mungu pekee ndo mwamuzi wa mwenye haki jipange upyaa na Mungu atakupa hitaji jipya la moyo wako
Pamoja na ushahidi wote wa wazi mtu anaachiwa huru. Ndio mahakama ya Tz. Chombo cha haki kilichobaki Tz hakitoi haki, je mpaka hapa tulipofika tutafika???
Nayeye aliyataka mwenyewe binti mwenyewe mdogo haendani na umri wake wanaume tulieni jamani
Japo me sio ccm lakin JAmaa alionewa kwa kweli, ukimsikiliza binti mwenyewe kumbe alikua malaya ,, pole sana ndugu yangu
Nilijua tuuu kuwa kwenye kesi hii Siasa zilingia kumzalilisha Mh RC pole sanaaa Kiongozi kwa uzalilishaji ulio kupata Mungu pekee ndo mwamuzi wa mwenye haki jipange upyaa na Mungu atakupa hitaji jipya la moyo wako
Wamsafishe sasa baba wawatu amedhalilishwa sana amefedheheshwa sana
Yule bint ni mjinga bora agekubali zile rushwa akapiga hela
Nilijua coz ushahid haukutosheleza
Sarakasi. Kesi yenyewe ilisikiliziwa mafichoni
Mbwa wanasaidiana ccm oyee
Ccm wote pumbu zenu
Pamoja na ushahidi wote wa wazi mtu anaachiwa huru. Ndio mahakama ya Tz. Chombo cha haki kilichobaki Tz hakitoi haki, je mpaka hapa tulipofika tutafika???
Tz hamna mahakama Bali ni Hela Yako TU mzee
Wawaz upi madai sio uthibitisho laiti lingekufik wew ungeandik uliyoyaandik