TUNAHAKI YA KUWATOA MAJINI NA KUFANYA DAWA SHEIKH OTHMAN MAALIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 2

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe umri mrefu shekhe Othman maalimu uzidi kutupa elim

  • @KuruthumBachu
    @KuruthumBachu ปีที่แล้ว +1

    Assalam Alaikum Shekhe, Mimi nafuatilia Sana mawaidha yako, Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 50, ni mwislam na ninafanya ibada Alhamdullillah, lkn Nina mateso makubwa katika maisha yangu, ya jini, na nilirogwa na mume wa ndoa baada ya kuamua kuachana nae sababu ya shirki, huu ni mwaka wa 26, amenitesa Kwa nusu ya umri wangu, nimetembea Kwa watibabu zaidi ya 120, mashekhe Tanzania bara na mpaka Zanzibar nilifika kisiwani Tumbatu, lkn namshukuru Allah, ktk kuhangaika kote Huko kilichofanikiwa ni kupunguza vitimbi vyake Tu, na huyo mume aliapa mpaka kufa kwangu sitaolewa na mume mwingine na badala yake nitaishi na huyu jini dume,