Mwanaume mashine ndendeeeee mwanaume so sura ndendeee ooh mashineee mwanaume asifiwi kula ndeee ndeee haaaaaaaa vione ivo ivo vijitu vya ivo oooh kama hufi chango lita kuhusu . Jot good job hhhmmwaaa. Agiza supu yapweza mihogo yanazi na maziwa nakuja kulipa .
JOTI.... mimi niko ulaya lakini sikomi kukufatilia. hata bibiangu huanga ananiuliza hua nacheka nini kwasababu haelewi kabisaaaa lakini uko sawasana. Joti minakukubali sana. Hahahahah. Yuahitaji hata mfanyi kazi hahahahaha doooooo noma sana
Hata mm ni ndg yenu msininyime hizo like jamani
Ernes
Kwaheli hiyo ni pacng
Ingekua ni pesa mnapataga mngetajirika hhhh
Nakubar mwanangu you edge much more the people....by culture boy
Wakenya 🇰🇪 woote Africa mashariki yote 👊🏿 gonga like Kma tupo pamoja
..
From kenya mombasa nice xna
Aaah aaah aaah joti bana et dada wa kaz
Who’s laughing before watched this😂😂😂good job
👋😁😁🙌
🙋
Hehe from Mombasa naja dar kuku ona bro
Nipo marekani sielewi kiswahili...ila joti ni nomaaa
Hahaha wale wa kusoma comments tujuane nmekuwa wa pili kukoment
Tupo hapa😅😅😅
Tupo
tupo
Joti kiboko
Joti wew kiboko knoma mungu akuzidixhie maujuzi knoma
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂jaman nimecheka balaa 😂😂😂 eti siwez pata dada wa kazi
Sikudhan Haule just
Dah hahahahaaaa kweli jot nimekubal kaz yko.upo.on fire umekunyw yale mambo yetu yakikongo.molinge.munene.lazima atoroke.
EPUKA MATAPELI | SHARE NA WENGINE WAJUE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
👉FUNGUA LINK KUSIKILIZA👉th-cam.com/video/L85ElhS2mtk/w-d-xo.html
😁😁😁😁😁
I can't see this before.
It's the best Comedy but also provide message for the society.
Joti sanaa itakuacha.....angalia kina Eric omondi....badilika na wasiwasi na ubunifu wako.
Jot we nomaaaaa Sana mzee baba
First part cracked me up 😂😂😂😂 Joti is the most talented comedian 🤩🤩
Gud
Aiseeeeee!!!!! 🔥🔥🔥🔥
We joti ni nouma
Sio kwa kutuvunja mbavu huko
official talent TV ns
,,,Daaadekii #Jojooo 😂😂😂😂 Umeshindikana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mwanaume mashine ndendeeeee mwanaume so sura ndendeee ooh mashineee mwanaume asifiwi kula ndeee ndeee haaaaaaaa vione ivo ivo vijitu vya ivo oooh kama hufi chango lita kuhusu . Jot good job hhhmmwaaa. Agiza supu yapweza mihogo yanazi na maziwa nakuja kulipa .
Hahahahahah eti INA sofa achen like apa jamani kama mmependa hii?
duuuuuh joty umenixhnda tabia mzee baba. daaaaaah...!!
Hatar fire kam umeipenda hii ebu like zenu jmn hapa kwang
Kudanga sio poa..😁😁😁...safi sana joti
Amani ndoroma
Shida yangu like zenu ndugu zangu kama umecheka😂😂😂
hz,like mnatumwa,na,waganga?
Twende kazi weekend yetu imeanza fresh kwa kuvunjwa mbavu na jotI hy tu likes kwa wingi km unasapoti joti ana mpinzani
Sante joti kwa kazi Nzuri.....i like it👍👍👍
Naomba kuuliza swali izi like ambazo watu wanataka uwa zina nini??
Wapenda like mtakoma vyuma vimekaza,,hatulike,, waomba like
Mishati ya jot
Mi hoi😂😂😂😂
Haaaaaaa na suruali jeeeeeee????? Me mpk nimehisi hata ktk hali ya kawaida atakuwa anajisahau.
Daaah, Joti ni balaa ndugu yangu....."si unajua nimekunywa vile vitu vyetu", hehehe
Tujuane kabisa Wasoma Comment kama mm
Moto
#2020 January tujuane hapa tunaoitazama hii leo! 😂😂😂
Kaka umetisha Sana
Haina mabega hahahahahaha
Hahahahaha hakiamungu jotii shkamooo!!!
Duuuuh!!! Noma sanaa Nyani katema BUNGO joti noma sanaa ww
kazi kazi had umerudisha moto kweli
Mzee Baba unajua,huo kweli MOTO na umemuwakia kwelkwel,mana sio kwa kujipanga huko
Salute kwako
Nyie mnao omba like zina wasaidia nn acheni ushamba bhana
hahahahaaaaaa kaondoka na shuka la guest
😃😃😃😃leo umetisha siyo mambo ya kidemu demu
JOTI.... mimi niko ulaya lakini sikomi kukufatilia. hata bibiangu huanga ananiuliza hua nacheka nini kwasababu haelewi kabisaaaa lakini uko sawasana. Joti minakukubali sana. Hahahahah. Yuahitaji hata mfanyi kazi hahahahaha doooooo noma sana
😂😂😂😂😂
Hahahhaaaaaa,,,,,, duh we joti noma sana
Dishi limeyumba Joti 😂😂😂😂😂khaaaa sitaman kufa mapema coz nitakosa hizi mambo 😂😂 congratulations mov on
Love you Dada kiboga
Joti weee mnyamaaaaaaa....Mungu akujalie
duuuu jot ww n nomaa
daaah mbavu zangu...joti we noma
moto San brooo
Kaka joti unanipaga Raha wewe god bless you 😍😍😍🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝
Jamani kama mumeona uboo na mikende ya joti, njoo gonga like hspa
Eti🎧🎧🎧🎧 Ina sofa???
Hahahaaa hakiamungu huyu msenge hamna anaemueza duuh
Nyie waomba like vh mnazipelekaga wap😁😁😁
kasongo sio poa hahahaha😂😂😂😂
hahahaaaa eti cwez pata dada wa kazi looh! huyo mzoefu tu kanyajua mikono juu c wataka kumvunja tu huyo dada wa kazi jotiiiiiii duh ww noma
Akuna kazi isokua na mitihani😂😂😂
Kaka kiukweli wewe ni hatari nakubali kaz zako sana uko poa kaka na inaonesha ulianza mbali joti ww shida kaka
Waoo joti sna mguu watatu
joti unaweza sana kaka...daaaah
Laki ina sofa jamanii
Joti
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hahaha
Hahahahaha.....mko vzr
Mimi napenda huyu dada sana nipo kenya
Hahahaha
Baabaeeee ela mbeleeeeeee
siwezi kupata hata dada wa kaz 😂😂😂 pesa ya mwanaume hailiwi buree
hhaaaa duh Jot noma
kazi kazi hela ya mwanaume hailiw bureee
Hahahahahahah,,,ulikua unakimbia na hela yangu eeeh???😂😂😁😁😁
.
Jot tengeneza kilpu kama magufuli avo watumbua wakandalas wasiyo soma good aediya ....story mzee wa pwani
Jamaa senge sana
Hahahahahahha vumbi la kongoooooooo🤣🤣🤣🤣
"JIPANGEE.. 😂😂" JOTI BHANAAAAAAA
hahasha joti bhana hela ya mwanaume hailiwi dah nimeipenda hahahashsha
Joti moto sana
Uko vizuri
kwani inasofa??
pamoja tusapoti kipajii...cha watanzania.
like na comment
Kwani mtu akiku like comment yako unapata Mb au?
Noma xn
Mwana kulitafta mwana kulipata jipange unatoa hela unafanya kazi
Umeuwa mzee dah
Noma
Kama umemuelewa joti weka like yako.
Nice
😂😂😂😂😂 Alhabiby Joti utauaaaaaaa
😀😀😀😀😀😀 kazi sio ndogo
Hahahaaaa kwamba game ya 10000
Nobody has a perfect life. Everybody has their own problems. Some people just know how to deal with them without revealing it.
#nyooooo mamamaeeeeeeee ndo dawa zao hzo unasugua mpka bhax ,,,, #cha mvuv hakilal pwani
nimecheka mpk machozi jmn
joti kiboko yao kweli unaweza
Joti mzee baba umetisha😁
Kwan ina mabegaa mambo ni moto
Hizo suruhali unazitowaga wapo?
Huyu jamaa unae-act nae anacheka kama Kanumba, aanze kuigiza kama Kanumba tu...He will be great
Kbx unaweza
Africa is the only place to live
hahaha joti jamn eti ina sofa😅😅😅
Hata parking yenyewe inataka Garii Hahaha
prince online tv .5cheka kiakili. k
😂 😂 😂 😂 😂 we jamaaaa bana
Naombeni msaada sijala tangu jana
23 year's like hapa bado mda wa kuoa na kuolewa