Gordian Newton na Upendo Nkone wakiimba pamoja na mwl mwakasege

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2019
  • MUNGU baba uliye mbinguni

ความคิดเห็น • 117

  • @sheckycobb5240
    @sheckycobb5240 ปีที่แล้ว +3

    Mwaka 2017 nlikua napitia magumu mno, huu wimbo nlikua nausikiliza usiku kucha Hadi nipate kulala, Mungu alinitokea hatimae

  • @smartmwakipesile3842
    @smartmwakipesile3842 4 วันที่ผ่านมา

    Naziona nguvu za Mungu maishani mwangu

  • @ceciliachacha5494
    @ceciliachacha5494 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ninakushukuru leo nimekutana na nguvu zako kupitia video hii. Mungu wabariki watumishi wako wote uwazidishie baraka amina

  • @robinahumphrey9725
    @robinahumphrey9725 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka umejaa unyenyekevu sana ...nilibalikiwa na wewe tulipoongea Dar...uwanja wa tanganyika pekas....ubalikiwe sana unaimba vizuri...umejaa hekima Bwana akutunzw

  • @thomasmwakatobe8207
    @thomasmwakatobe8207 3 ปีที่แล้ว +4

    Very powerful message... Mungu ni mwema Sana 🙏🙏🙏

  • @kimmatukkwaio6442
    @kimmatukkwaio6442 3 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana 🙏🏼🙏🏼 . Amen

  • @AnnaChacha.
    @AnnaChacha. 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante MUNGU wangu kwa WEMA WAKO ambao haukomi maishani mwetu. Ewe YESU u RAFIKI MWEMA😭😭😭🙏🙏🙏

  • @samwelmwaijumba6018
    @samwelmwaijumba6018 5 ปีที่แล้ว +4

    Glory to God..... Karbu Yesu ukae kwangu siku zote maishani mwanguu uwe wangu Yesu... Uwe wangu daima

  • @user-xk9io9kc9z
    @user-xk9io9kc9z 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiweni Sana makuhani wa Bwana ,hakika kwa Yesu ni kutamu mnooo,hata kma napitia gumu kiasi gani nikitizama hii video ninapata nguvu ya kuomba na kusonga mbele

  • @hanamogiro1001
    @hanamogiro1001 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen...nimezungwa na nguvu zako

  • @hurumajustine1802
    @hurumajustine1802 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful song barikiwa sana mtumishi

  • @rosebellasamson7231
    @rosebellasamson7231 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen, karibu Yesu, siku zote maishani mwangu

  • @micheleliakimeliakimmihale8820
    @micheleliakimeliakimmihale8820 2 ปีที่แล้ว +2

    Godian bwana Yesu akutunze Sana Kaka yetu unatubariki sana . Mwl ametoka katavi kiukwel ametubarik. By Michael nikiwa katavi

  • @namayaninanyaro4264
    @namayaninanyaro4264 ปีที่แล้ว +1

    Amen nabarikiwa mno Mungu akutunze baba

  • @nisilesimon6781
    @nisilesimon6781 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi Gordian Mungu aendelee kukupigania ktk huduma

  • @reganmboya8806
    @reganmboya8806 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu baba uliye nijalia kuwepo dinian ww ndiye nikuabudie milele na sikuzote

  • @neemanassari732
    @neemanassari732 4 ปีที่แล้ว +4

    Karibu Yesu maishani mwangu uwe wangu

  • @franklinllims9574
    @franklinllims9574 9 หลายเดือนก่อน

    Karbu kwangu yesuu, yesu ni rafiki mwema kwangu nilitabiliwa kifo lakini niko hai bado nakupenda yesu, barukiweni sana watumishi

  • @shubidaudi3568
    @shubidaudi3568 4 ปีที่แล้ว +2

    Karibu yesu maishan mwangu uwe Wang daima nabarikiwa snaaa na huduma yenu

  • @felixmwacha6216
    @felixmwacha6216 4 ปีที่แล้ว +2

    Karbu Yesu mwokoz wangu kaa kwangu daima

  • @user-Ndashuka001
    @user-Ndashuka001 10 หลายเดือนก่อน

    AMEN. Karibu YESU na UFALME wako unitawale milele yote.

  • @veronicathomas9422
    @veronicathomas9422 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azid kukutumia mwl God maana Mungu aliniponya kptia ibada ya mbez. Kurudisha Mambo yaliyoibwa

  • @sialovelukumay6162
    @sialovelukumay6162 5 ปีที่แล้ว +3

    Godian Mtumishi wa Mungu songa mbele Hongera sana Kaka

  • @christopherchisuligwe512
    @christopherchisuligwe512 ปีที่แล้ว

    Karibu KRISTO YESU uwe kwangu daima maishani mwangu

  • @esteria6453
    @esteria6453 ปีที่แล้ว +1

    Uwe WANGU uwe WANGU uweeeeeeeeeeeee wanguuuu wanguuuu wanguuuu 😭😭😭😭😭🙏

  • @celinaphysoo4919
    @celinaphysoo4919 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu we ni rafiki yangu na ni rafiki wa kweli niongoze Bwana

  • @nectarnyagawa6987
    @nectarnyagawa6987 ปีที่แล้ว +1

    3yrs ago but nguvu nazopata n kama hii ni ya leo God is real🙏🙏

  • @sara-os9dn
    @sara-os9dn 2 ปีที่แล้ว +1

    Kakangu Godian Mungu akutunze

  • @christinamwambola9329
    @christinamwambola9329 4 ปีที่แล้ว +2

    Uwe wangu Daima, katika shida zangu wewe uwe wangu daima.

  • @barakaLwinga-k6j
    @barakaLwinga-k6j 15 วันที่ผ่านมา

    It's good.

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 2 ปีที่แล้ว

    Wema wa mungu nimeuona hakika. Kupitia moyo wangu nilipoufungua. Afya yangu inashuhudia wema wa mungu hakika. Najisikia kumwelezea nimemwona kupitia Afya yangu. Amenifanya nimekuwa mpya ndani na nje. Asante yesu. Haleluya.

  • @hanamogiro1001
    @hanamogiro1001 3 ปีที่แล้ว +1

    Nmebarikiwa sana

  • @emmanuelnollo5022
    @emmanuelnollo5022 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilitarajia Mwenye wimbo angeongoza kuimba.

  • @furahayabwana6127
    @furahayabwana6127 4 ปีที่แล้ว +5

    Hallelujah hallelujah hallelujah 👏👏👏

  • @user-ve6yo6lb2u
    @user-ve6yo6lb2u ปีที่แล้ว +1

    Hakika wema wako umenizunguka haleluya

  • @theopistamwayeya1764
    @theopistamwayeya1764 4 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo huu unagusa sana!

  • @AshekironikamanyongaKama-yi3hg
    @AshekironikamanyongaKama-yi3hg ปีที่แล้ว

    Hatari tupu aisee hiiiiiii mhhh hiiiiiiiiii>iiiiiii

  • @stellamrema5303
    @stellamrema5303 7 หลายเดือนก่อน

    Karibu Yesu Maishani mwangu uwe wangu daimaaa

  • @godsonandrewtz1076
    @godsonandrewtz1076 4 ปีที่แล้ว +2

    God is good all the time tutamtumaini yeye daima milele

  • @allymwilamba1180
    @allymwilamba1180 3 ปีที่แล้ว +2

    Wema wa,Mungu jaman,asante yesu

  • @ndenitoriakimaro9631
    @ndenitoriakimaro9631 4 ปีที่แล้ว +1

    Karibu YESU siku zote uwe wangu daima

  • @tabiaabel8835
    @tabiaabel8835 4 ปีที่แล้ว +5

    haleluya ubarikiwe sana BABA YANGU YESU WANGU NAKUPENDA ASANTE KWA WATUMISHI WAKO

  • @anthonyibrahimu8389
    @anthonyibrahimu8389 3 ปีที่แล้ว +1

    Haleluy ubarikiw sana mwl wangu

  • @reganmboya8806
    @reganmboya8806 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana jaman

  • @ritanjoki7461
    @ritanjoki7461 2 ปีที่แล้ว +1

    Oh haleluya karibu yesu uwe wangu siku zote za maisha yangu

  • @FanuelKakulu-lx3fb
    @FanuelKakulu-lx3fb ปีที่แล้ว

    Unanibariki sana Mtumishi wa Mungu kwa uimbaji wako! endelea kunyenyekea miguuni pa Mungu Godian

  • @mohamedmpume9726
    @mohamedmpume9726 4 ปีที่แล้ว +2

    Ee Yesu wangu niokoe,

  • @happinessmillanga982
    @happinessmillanga982 2 ปีที่แล้ว

    Kila cku Mungu unabaki kuwa Mungu tu karibu Yesu ukae nami

  • @entujaelmsangi4328
    @entujaelmsangi4328 3 ปีที่แล้ว +1

    nimebarikiwa sana

  • @noelswai2660
    @noelswai2660 ปีที่แล้ว +1

    Glory! Glory 🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @angelmkini1508
    @angelmkini1508 3 ปีที่แล้ว +1

    Karibu Yesu ukae kwangu

  • @fridafrancismalisa934
    @fridafrancismalisa934 3 ปีที่แล้ว +1

    Nilalapo na niamkapo wema wako bado upo namiiii

  • @paschalpaul5022
    @paschalpaul5022 4 ปีที่แล้ว +3

    nawapenda sana hawa watu kwa JINA LA YESU

  • @innocentsangha2625
    @innocentsangha2625 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki na awapake mafuta by innocent in Tanzania at makambako

  • @solomonmwamelo660
    @solomonmwamelo660 3 ปีที่แล้ว +2

    🙏🙏🙏Ameeen

  • @ndenitoriakimaro6090
    @ndenitoriakimaro6090 3 ปีที่แล้ว +1

    Karibu YESU siku zote maishani mwangu

    • @joshuakone2282
      @joshuakone2282 2 ปีที่แล้ว

      Karibu Yesu Kristo siku sote maisha

  • @yohanabulabo3515
    @yohanabulabo3515 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema kweli

  • @upendoaizaki8936
    @upendoaizaki8936 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu npe hekima

  • @daynessissaya6884
    @daynessissaya6884 3 ปีที่แล้ว +3

    Haleluya🙏

  • @beatricengadala8500
    @beatricengadala8500 5 ปีที่แล้ว +2

    wooow hongera ticha god

  • @bensonsamweli5689
    @bensonsamweli5689 5 ปีที่แล้ว +3

    Goodluck Mungu yu pamoja nawe

    • @gordiannewton9080
      @gordiannewton9080  5 ปีที่แล้ว

      Amen...ila Naitwa Gordian Goodluck ni mwingine

    • @bensonsamweli5689
      @bensonsamweli5689 5 ปีที่แล้ว +1

      Oh sawa ,huwa nachanganya Mungu amefariki sana sina namna naweza kueleza pale ninapokusikiliza ukiimba ila ninalo neno la shukrani mbele za Mungu kwaajili yako

    • @gordiannewton9080
      @gordiannewton9080  5 ปีที่แล้ว

      @@bensonsamweli5689 amen utukufu kwa Bwana...

    • @kesiaoness3724
      @kesiaoness3724 4 ปีที่แล้ว

      Mungu azidi kuwatunza

  • @sabasmorice112
    @sabasmorice112 2 ปีที่แล้ว +1

    Haleluya,

  • @boyleelton
    @boyleelton ปีที่แล้ว

    Amen Amen watumishi

  • @jacobmwaijande6747
    @jacobmwaijande6747 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wetu ashukuriwe

  • @liliansukhe3386
    @liliansukhe3386 5 ปีที่แล้ว +3

    Mtumishi Gordian, hapa ni mkoa gani na lini

    • @lovenessmichael9593
      @lovenessmichael9593 5 ปีที่แล้ว +2

      Semina ya wanawake Dar es Salaam Mwezi huu wa 6/2019

    • @liliansukhe3386
      @liliansukhe3386 5 ปีที่แล้ว +2

      @@lovenessmichael9593 asante

    • @gordiannewton9080
      @gordiannewton9080  5 ปีที่แล้ว +3

      Asante naona ushapata jibu Dada @Lilian Sukhe

    • @liliansukhe3386
      @liliansukhe3386 5 ปีที่แล้ว +2

      @@gordiannewton9080 karibu dodoma kkkt cathedral mtumishi wa Mungu, Ukipata kibali

    • @samwelmwaijumba6018
      @samwelmwaijumba6018 5 ปีที่แล้ว

      Jesus Jesus Jesus

  • @cliffodhiambo2805
    @cliffodhiambo2805 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwl,karibu sana kenya,hakika umekuwa baraka kwangu,karibu na uwalishe na wakenya,nakupenda na upendo wa agape

  • @nectarnyagawa6987
    @nectarnyagawa6987 ปีที่แล้ว

    Kuna nguvu katika damu ya Yesu

  • @jovinathajason8147
    @jovinathajason8147 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebaki na wewe yesu

  • @matildasulle7631
    @matildasulle7631 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awalinde mwanangu

  • @pap2nicole348
    @pap2nicole348 4 ปีที่แล้ว +1

    asantee mungu wema wako bado Upo kwangu wwe yesu utabaki milele hakuna alie kama wwe

  • @josephinemtei186
    @josephinemtei186 5 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭Amen

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 28 วันที่ผ่านมา

    😭😭🙏

  • @maryammbalai4483
    @maryammbalai4483 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @felistergeorge9533
    @felistergeorge9533 ปีที่แล้ว

    Oooh Hallelujah 😭😭

  • @kevliston9763
    @kevliston9763 4 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa kila nikiusikiliza huu wimbo...🙏🙏

  • @barakachalres9316
    @barakachalres9316 28 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @grancebeuty2443
    @grancebeuty2443 3 ปีที่แล้ว

    Nisaidie Yesu

  • @esthersima1322
    @esthersima1322 4 ปีที่แล้ว +3

    AMEEN AMEEN BARIKIWE SANA WALAWI......

  • @nectarnyagawa6987
    @nectarnyagawa6987 ปีที่แล้ว

    God🙌🙌

  • @livingmombo9695
    @livingmombo9695 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeni

  • @ashantimoleta7798
    @ashantimoleta7798 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen?

  • @stellamrema5303
    @stellamrema5303 3 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @soberkaleya5148
    @soberkaleya5148 2 ปีที่แล้ว +4

    Mwanzo 1:
    2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
    3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
    4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
    *MUNGU AONDOE GIZA, UKIWA NA UTUPU KWENYE MAISHA YETU! IWE NURU!! ULIMWENGU WETU UWE MWEMA, KAMILI, WENYE UWEPO WA MUNGU, MAMLAKA, UPONYAJI, UZIMA, USHINDI, TUMAINI JIPYA, ISHARA, MIUJIZA NA MAAJABU!!!*

  • @salamanhonya9677
    @salamanhonya9677 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @neemamoshi6356
    @neemamoshi6356 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen Mungu ni mwema

  • @magepolini3194
    @magepolini3194 4 ปีที่แล้ว +1

    JOSEPHINE MBESERE

  • @christinamwakibolwa3000
    @christinamwakibolwa3000 4 ปีที่แล้ว +3

    Wema wako Bwana bado upo nami rafiki Mwema, Asante Mungu napokea mahali hapa

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 4 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @ibrahimsokoine
      @ibrahimsokoine ปีที่แล้ว

      Neema ya Mungu itimize mapenzi yake kwa maisha yetu bila Yesu hatuwezi nipo nabubujika kwa somo hili

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 ปีที่แล้ว

    Baba

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 4 ปีที่แล้ว

      Be blessed Christine

  • @sayunimhungulu6918
    @sayunimhungulu6918 4 ปีที่แล้ว +2

    Oooh asante yesu kwa watumishi wako unaowatumia kusema nasi

  • @magepolini3194
    @magepolini3194 4 ปีที่แล้ว +1

    mungu mwema

  • @felixmwacha6216
    @felixmwacha6216 4 ปีที่แล้ว +1

    Karbu Yesu mwokoz wangu kaa kwangu daima