MASALAFI WAKATI MNANIRADI MIMI MBONA HUTBA ZA IJUMAA MNASOMA KISWAHILI JE HILI ALILIFANYA MTUME? SAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @Abuu-lr5bz
    @Abuu-lr5bz 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa ikiwa wao maswahaba wameenda huko na hawajui lugha ya huko walipoenda unafikiri watakhutubu VP bila kutumia kiarabu acheni kujitia ujinga na nyinyi hapo mnaonekana ni wasomi lkn huyo mzee hapo kaongea porojo alafu ajiona msomi lkn hawaa nimbaya sana sasa asimame mtu saa tano aanze kuwatafsiria mmeitoa kwa wema gani waliopita mnakazi ya kutafure hoja ili muachiwe muendelee kuleta uzushi kwenye dini

  • @rushu1232
    @rushu1232 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Khutba za kiswahili zatolewa pande zote hiyo ni bidaa haikfanywa na Mtume wala maswahaba ndio mukaambiwa kuna bidaa mzuri na mbaya sasa wale wanakubali aksamul bidaa wakosawa lakini wale walinada hakuna aksamul bidaa ndio waokosea khutba ya kiswahili.

  • @saidimatezo6273
    @saidimatezo6273 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii ni aibu kubwa....yaani mtu anasimama....na hali dalili ya anacho kisimamia...ili....ama kweli bi'daa ni mbaya na hutia upofu wa ajabu....shida yote haya ni Maulidi...na kwa haki kabisa yatabaki ni uzushi...hakuna siku yatakubalika ki dalili....kila dalili wanayoitegemea ikitengu ikitenguliwa huleta porojo zengine.....

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Halafu usikute huyo alouliza swali hata kuomba maji kiarabu hajui halafu khutba ataka kiarabu tupu😁😁😁

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi kweli kabisa sheikh Asimama aongea pointless kama hii!! Mbona Abuu Hasim alishajibu vihoja vyako vya kitoto kupitia dalili ya qur an na sunna.

    • @ZogoMtaani
      @ZogoMtaani 4 นาทีที่ผ่านมา

      Khutba ya ijumaa ni ibada na ibada haifai kuifanya ila vile alivyo fanya mtume .
      JEE MTUME ALISOMA KHUTBA YA IJUMAA NA IDI KISWAHILI.

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 15 นาทีที่ผ่านมา

    Hakuna Hadithi au aya inayosema Kuna ulazima wa mahubiri yawe kwa lugha ya kiarabu... Isipokuwa ibada ya Sala ndio Pekee lazima.kwa lugha ya kiarabu sasa Makubaliano ya maulamaa wa Saudi Arabia wao wamekubaliana kuwa hutba ni kwa lugha ya wenyeji waliokuepo Hapo na Hakuna Makubaliano mengine ya maulamaa wa baraza la kudumu waliopinga msimamo huu

    • @ZogoMtaani
      @ZogoMtaani 7 นาทีที่ผ่านมา

      Wapi mtume na maswahaba walisoma khutba ya ijumaa kiarabu ?.
      Ikiwa hakuna basi atakae fanya kinyume hilo atakua mubtadi'i.

  • @isihakamgeta5433
    @isihakamgeta5433 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    DUUUH HII NAYO NI HOJA ??