ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Shujaa wa msalaba by kayole altar worship

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.พ. 2022
  • Shujaa wa msalaba by kayole altar worship

ความคิดเห็น • 5

  • @jimani4529
    @jimani4529 9 หลายเดือนก่อน

    Song Lyrics:
    1.Nainua macho Yangu, Nitazame mbinguni, Moyo wangu unasema ndiwe Mungu wangu. Kilindi cha Moyo wangu kimefurika Neno Lako , Nani kama Wewe Ewe Mungu wangu. Kwenye Kiti cha Rehema, kumejaa Utukufu wako, Acha nikwabudu Ewe Mungu Wangu. Kileleni pa Msalaba, Kumeandikwa Neno Lako, Simba wa Wayahudi Ndiwe Mungu Wangu.
    Ref:
    Shujaa wa Msalaba, Umeinuliwa Juu, Acha Nikwabudu Ewe Mungu wangu *2
    2. Wingu la Uwepo wako , Limeshuka kwa watu Wako, Utukufu Una Wewe , Ewe Mungu Wangu. Ulipewa Jina Jipya, Lipitalo Majina yote, Acha Nikwabudu Ewe Mungu Wangu, Makovu na Misumari , Yatangaza Utukufu Wako Baba, Nani Kama Wewe Ewe Mungu Wangu. Ulipewa Jina Jipya , Lipitalo Majina yote , Acha Nikwabudu Ewe Mungu Wangu.
    Shujaa wa Msalaba, Umeinuliwa Juu, Acha Nikwabudu Ewe Mungu wangu *2
    3. Siku ya Msiiba wangu, Nitalitaja Jina Lako, Bwana wa Mabwana, Ndiwe Mungu Wangu. Sitanyamanza Mchana, Sitakaa Kimya Usiku, Acha Nikusifu Ewe Mungu Wangu. Kwangu Uwepo Wako , Si Mikononi Mwangu, Nani Kama Wewe Ewe Mungu Wangu. Ulipewa Jina Jipya, Lipitalo Majina yoteee, Nani Kama Wewe Ewe Mungu Wangu.
    Ewe Shujaa…
    Shujaa wa Msalaba, Umeinuliwa Juu, Acha Nikwabudu Ewe Mungu wangu *5

  • @user-qm3sd8mg2s
    @user-qm3sd8mg2s ปีที่แล้ว

    Just loving this song

  • @jameskiboko3022
    @jameskiboko3022 ปีที่แล้ว +2

    Where is this church am in kayole please want to know