Kama ningealikwa kupeleka lists yangu ningependekeza Tanzania One atoke tabora boys na best performer school! Iwe tabora boys! But hongera catherine ! Pia serikali ingewashika mkono watu wenye ndoto kama hawa kuwaandaa kuliko kila siku kuagiza madaktari mara kolea ya kusin mara kolea magharibi kuja wakati dhahabu kama kina catheline mkopo wenyewe wakipewa ni partial scholarship mwisho hawafikishi malengo yao
@@samsonngwembele5479 they are the only students from public schools in that top ten .. Credits; the school being number one in Advanced physics subject without a single teacher there
@@bensonbenezeth nimeshasahihisha mitihani ya kitaifa zaidi ya miaka 5 nilichogundua matokeo yanabadilishwa baada ya majumuisho kukamilika hivyo tusitarajie waislam kushika namba moja hayo ni mambo yapo nyuma ya pazia uzushi mtupo hapo hakuna lolote
@@mcback4384 wewe nikuulize umeshawahi kufanya kazi ya kusahihisha mitihani? Tuulize sisi kinachosemwa ni ukweli mtupu Tanzania imetawaliwa na udini na chuki katika elimu
@@maryamalli9090 hahaha bibi kwenye karatasi ya mtihani ya majibu haliandikwi jina la mtahiniwa bali number yake na hiyo ndio inayotambulika wakati wa usahihishaji, ninyi wakati wa Kristo wapo tuition na kwenye masomo ya jioni watoto wenu wapo busy kukaririshana Quran, sasa unafikiri kwenye mtihani wanafundishwa Quran?
I wish to be Tanzania one 2025 like my sis Catherine, congratulations 🤗🤗
🤣🤣🤣
Hongera sana Catherine, Mungu akutunze ili ndoto zako zitimie kuwa daktari wa Moyo uguse maisha ya watu❤️❤️
th-cam.com/video/Pla6c5WGotA/w-d-xo.html
Ljp😊 1:43
😊 jlm
2:25
L
Hongera sana Catherine.... Keep up the good work ethic na endelea kumuamini Mungu. Hakika utafikia ndoto zako.
Big Up Catherine Finally you Made it,,,, Congratulations
Saf san cathe na ongera san
Mwananguu wa MUHAS
Shikamoo LIDA Makundi mamake Catherine
Hongera Catherine God bless you
Hongera sana Catherine
Hongera dada Catherine
Hongera san Dada cathe
Hongera sana Binti Catherine
Kama ningealikwa kupeleka lists yangu ningependekeza Tanzania One atoke tabora boys na best performer school! Iwe tabora boys! But hongera catherine ! Pia serikali ingewashika mkono watu wenye ndoto kama hawa kuwaandaa kuliko kila siku kuagiza madaktari mara kolea ya kusin mara kolea magharibi kuja wakati dhahabu kama kina catheline mkopo wenyewe wakipewa ni partial scholarship mwisho hawafikishi malengo yao
kwa nn tabora boys
@@samsonngwembele5479 they're real aspirants !
@@samsonngwembele5479 they are the only students from public schools in that top ten .. Credits; the school being number one in Advanced physics subject without a single teacher there
Oy mwakasege Safi mwanangu
Ongera mdogoangu mwakasege👐
Mitihani isahihishwe kwa namba sio majina ni unafiki mtupu hapo hakuna lolote
Hongera cn
Congratulations Catherine..
Be blessed sana
Hongera mamy I wish I could be like you
Matokeo yatoke kwa namba ili tupunguze udini na ukabila kwenye kusahihisha mitihan
Wewe ndo unaudini umejuaje wamesahihisha kidini, Juhudi ya mtu, unaleta udini kalale acha uchulo.
We alshabab fala kweli kwani si yanasahihishwa kwa number? Kero yako ni kuona majina yote yanayoongoza ni ya kanisani lakini washika mkia wa msikitini
@@bensonbenezeth nimeshasahihisha mitihani ya kitaifa zaidi ya miaka 5 nilichogundua matokeo yanabadilishwa baada ya majumuisho kukamilika hivyo tusitarajie waislam kushika namba moja hayo ni mambo yapo nyuma ya pazia uzushi mtupo hapo hakuna lolote
@@mcback4384 wewe nikuulize umeshawahi kufanya kazi ya kusahihisha mitihani? Tuulize sisi kinachosemwa ni ukweli mtupu Tanzania imetawaliwa na udini na chuki katika elimu
@@maryamalli9090 hahaha bibi kwenye karatasi ya mtihani ya majibu haliandikwi jina la mtahiniwa bali number yake na hiyo ndio inayotambulika wakati wa usahihishaji, ninyi wakati wa Kristo wapo tuition na kwenye masomo ya jioni watoto wenu wapo busy kukaririshana Quran, sasa unafikiri kwenye mtihani wanafundishwa Quran?
.l😮o
cathe unaniambia nn mm nieliepata marks 11 form one
basic