Uoga wako tu, Mi nimewahi kumkamata paka dukani kwangu! Alikubali show, Kwa sababu sku zote paka anaeingia kirahisi tu alipo binadamu anakuwa ni mtu, Kwa macho yakawaida unaona ni paka! Sasa huyo aliejigeuza paka ndo mtamu wakuua! Akijichanganya kwangu naua!
Story nzuri sanaaa 😊
Shukrani kwa muendelezo.
Ndioooooo mzee nyau etiii😂😂😂😂
Next pliz
Wa kwanza
Safi
Mbuzi katorik kamponza baba ronado mpaka kuhamia dar wakina Ronaldo wakacheze mpira😂😂😂😂
😂😂😂😂
Yaani nimecheeka kwa sauuuti
Subhana Allah
Hii sitoli daa naifstilia ndo kwaza nipo ya 11 hahahaha
Dahhh nime chelewa Sana leo😢
Duhhh!! Watu mpo fasta 🤣
Ngarambe boy remix🔥🔥🔥🔥
😂😂😂 dah alaf kweli mwanangu
😅 nashinda kufatilia ii story ! This swahili is too hard for me !...
hahaha
Kitungi noma
Ki2 kizito
Mimi #0
Mjomba safi sana
Dahh! mbuzi catholic?😂😂
Nafrahi sana na hilo neno walete
eti pepo inajifanya ngurue ni mbaya ? ushenzi
Nawaimo
😊😊
Unachelewesha mambo inatakiwa asubui uwe hewan
Watu wote tunaosali katika roho na kweli hatuli nguruwe!
Kwenye amri za Mungu, hakuna hyo
@@remigiusrwechungula7047kwenye amr kumi Kuna sigara au bangi??? Jiulize
Kweli kbs nguruwe, mbwa kunguru sungura nk Ni najisi
Hya bana
Na ni wakwanza kulike
😂😂😂😂😂 mbuzi Katoliki
😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅

😂😂😂