Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi rajiuun...Allah amuongoze.yeye pamoja na sisi maana amesema aliemroga anaamini alirogwa kuwacha mziki sio Mungu alimpenda akataka kumuongoa Shetani kamzidi nguvu kamrudisha kule kwenye maasia.. huachii ndio kazi kuna na kufa (mzed yusuf) Itaqillah muogope Mungu
Vijana walio pevuka kimkakati na MAONO makubwa sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Kenya's youth receive love from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hawa vijana walikosa kupiga kura kwa wingi. Sasa wangoje hadi uchaguzi ujao. Na wajitolee kwa wingi. Na watumai wizi wa kura hutakuwepo. Kushindana na serikali ni kama kupiga ngumi ukuta.
Mzee Yussuf Kumbuka Dunia Hadaaaa Ulimwengu shujaaa
Subhnallah Mzee yusuf umefikia kusema daawa zimekwisha??
Maisha ya dunia tunapita tu pumzi isikuhadae
Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi
rajiuun...Allah amuongoze.yeye pamoja na sisi maana amesema
aliemroga anaamini
alirogwa kuwacha mziki
sio Mungu alimpenda
akataka kumuongoa
Shetani kamzidi nguvu
kamrudisha kule kwenye
maasia.. huachii ndio kazi
kuna na kufa (mzed yusuf)
Itaqillah muogope Mungu
Vijana walio pevuka kimkakati na MAONO makubwa sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Kenya's youth receive love from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kenya's youth receive love from Ukraine ukraine🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦
Mzee yusufu mungu akulinde❤❤🎉
Brave vijana wamezungumza pakubwa ndo kizazi kamili hongera kesho ni leo
Hawa ma-youngs wa Kenya they very smart kwa mind zao✊️👊
Pole sana chujaa , Rex na pole sana kwa familia.
Thank you
Mzee yusufu
Selikali za Africa nikatili saana hazijali kabisa watu wake 😢😢😢
Nawauunga mkono vijana wetu
Ruto mvunja sheria kama mwenda zake
Upuuzi inachunguza wakati iko wazi polisi wameuwz
Imagine, wabunge wetu ruto Ali waambia ata wapatia 200m dio wapitise mswada huu tata,,
Hawa vijana walikosa kupiga kura kwa wingi. Sasa wangoje hadi uchaguzi ujao. Na wajitolee kwa wingi. Na watumai wizi wa kura hutakuwepo. Kushindana na serikali ni kama kupiga ngumi ukuta.