NEEMA ya MUNGU itoshe sana kwako uinuliwe zaidi 🙏🙏 (2Wakorintho 12:9) [9]Naye akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu. Basi nitajisifia udhaifu wangu kwa furaha nyingi, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.
Anna Yotham hii ndio kazi ambayo Mungu amekutuma hapa Duniani ambayo utaendelea nayo mpaka Mbinguni. Asante kwa kusaidia kupaza sauti ili Kuuthibishia ulimwengu kuwa Mungu ndiye Mtuliza MAWIMBI... MUNGU Mungu akupe nguvu kuipeleka injili yake mbele kupitia uimbaji ❤❤
Baba Tuliza Mawimbi, Dhoruba , misukosuko, misiba na hatari zote kwenye maisha ya Kila atazamaye wimbo huu
Amen 🙏🏾
Hongera mtumishi ubarikiwe
NEEMA ya MUNGU itoshe sana kwako uinuliwe zaidi 🙏🙏 (2Wakorintho 12:9)
[9]Naye akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu. Basi nitajisifia udhaifu wangu kwa furaha nyingi, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.
Yesu akutunze
Hongera sana kipenzi 👏 ubarikiwe sana kutulisha kupitia wimbo
Atukuzwe Mungu atutiaye nguvu
Amen Amen Amen, Baba yatulize mawimbi yote maishani mwangu 😢😢
Mungu akukumbuke
Safi kabisa kazi nzur🎉
Barikiwa sana
❤❤ Hongera mke kijana 🎉🎉🎉🎉🎉 Nzuri sanaa ❤❤
Utukufu Kwa Mungu peke yake
Waooooo
Barikiwa 😊
Anna Yotham hii ndio kazi ambayo Mungu amekutuma hapa Duniani ambayo utaendelea nayo mpaka Mbinguni. Asante kwa kusaidia kupaza sauti ili Kuuthibishia ulimwengu kuwa Mungu ndiye Mtuliza MAWIMBI... MUNGU Mungu akupe nguvu kuipeleka injili yake mbele kupitia uimbaji ❤❤
AMINA AMINA AMINA AMINA, IMEKUWA🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🧎
Wow kazi nzuri
Umeimba vizuri sana
Utukufu umrudie Mungu
Kaz nzr
Kazi nzuri sana
Amen, barikiwa
Mungu akubaliki sana dada angu wanguvu kama wewe unamwamini mungu naomba like comment ubalikiwe
Amina
Songa mbele Mungu akuinue zaidi
Amina pastor,iwe hivyo kwangu 🙏🏽
Yesu azidi kukuinua mpenzi wangu
@@merynacemeshack2191 Amina mpendwa, Mungu akutunze sana
Amen,
Barikiwa
SAFI
Amen
Seen by nestory
Barikiwa
Amen
Barikiwa Kaka
Mungu akubariki
Amina
Kazi nzuri sana aise barikiws sana
@@MUMWAOfficial-b9v Amina
❤❤❤❤❤ Video nzuri sana
@@Freremoseskasangandjo barikiwa
Barikiwa dada
Amina
Kazi nzuri sana
@AntonyKisholo utukufu Kwa Mungu
Ubarikiwe sana Mtumishi
Amina kubwa
❤❤
@@EasterPaul-o3x 🙏🏾🙏🏾❤️
@@EasterPaul-o3x ubarikiwe
Hongera sana dada Anna, Mungu azidi kukuinua
Amina Amina , barikiwa
@@AnnaYotham. Japo nilibadiri dini lakini naamini ipo siku ntarudi kama ulivyonitamkia siku zilizopita, Mungu akubariki
@aishamsemwa-zu3eo naomba unitafute Tafadhari, 0625023051
@aishamsemwa-zu3eo Mungu ana mpango mzuri na wewe