LISSU AKIWASHA ISSUNA SINGIDA, ATUPA JIWE GIZANI WIZI WA FEDHA ZA UMMA KUNUNULIA PIKIPIKI ZA SSH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • #TANZANIA: Tundu Lissu akiwasha Kata ya Issuna Singida Mashariki, atupa jiwe gizani, wizi wa fedha za Umma kununulia pikipiki za kampeni za Rais Samia.
    Zaidi: • LISSU AKIWASHA ISSUNA ...
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 16

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 3 หลายเดือนก่อน +4

    Piga Spana Mheshimiwa Tundu Lissu Mungu Yuko Pamoja Na Wewe Japo Wachumia Tumbo CCM Wameziba Masikio ila Huko Mbele Tuendako Wataelewa Tu "

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makamanda peopleees ✌️✌️✌🏼✌️✌️✊✊✊✊✊✊✊

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani wanyaturu tufafanulieni kwenye ushauri

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน +2

    SPANAAA

  • @cloudjulius-sf6nw
    @cloudjulius-sf6nw 3 หลายเดือนก่อน

    Kamanda lisu mm nakukubali sana pia nasisi tushilikiane kwa pamoja

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ushauri huu wa Tundu Lissu si wa kupuuzia,ni kuutekeleza kwa vitendo

  • @leodgardotmar7198
    @leodgardotmar7198 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbowe is a traitor we are behind you Lisu! Serve this country

  • @josephkmarwa7425
    @josephkmarwa7425 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mali. Tunayo..akili..hatuna..hivyo.basi..laana..ya..jembe..na.nyundi..itaendelea..kutuZika..nyundo..kutengeneza..jeneza..najembe..kutuchimbia..kaburi. ,😭😭😭😭😭🙏

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 หลายเดือนก่อน +1

    Anaempinga lissu akapimwe akili

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 3 หลายเดือนก่อน

      Yapo ma fisiemu yananuna yakisikia ukweli huu 😮😮😮

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 3 หลายเดือนก่อน

    👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 3 หลายเดือนก่อน

    Mh. Lissu upo vizuri sana na unatufumbua macho sisi Watanzania na Watanzania wengi hata wa vyama vingine wanakuelewa sana.
    Ushauri wangu wa bure kwako ni kwamba, acha kabisa kabisa kumzungumzia JPM. Yule mtu alikuwa ni mtu wa namna yake, maana mpaka leo hii asilimia kubwa sana ya Watanzania wanamkumbuka na wanamkubali sana.

    • @corporatethugsent7380
      @corporatethugsent7380 3 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga wewe hata angekua kama dhahabu hakuwa na ruhusa chin ya mbingu kuondoa uhai wa wengine.wakwap watoto wa wanawake wengine kama wewe ulivo kwa mamako.wako wap kina beni saa nane wakwap kina mawazo???nyoko nini!asimseme kwa lipi?hayo majeraha na vyuma kwenye mwili wake lissu na marisasi kwenye hilo gar saa nane mchana kotaz za bunge vilitokea wapi?acha umatako mjinga wewe mi huniambii kitu kuhusu magufuli nampenda mpaka kupita maelezo kwa ka yake but akifufuka leo namuuwa mimi yan kwanza wakahamishe mlima waupandikize juu ya kabur lak asifufuke tena shetani yule ibilisi kichaa mwenda wazimu kuna maana gani kufanya yote mazuri afu ukawa unawauwa watoto wa watu.Kenge wewe et asisemwe.mavi yake yan ata mbinguni tuombe asifike aende moja kwa moja kuzimu.ushenz huu wa kufuta mawazo tofauti kuuwa upinzan kuharibu maisha ya watu kwa kuafua uchaguz akajaza mabubge yote na madiwan yote bungeni umeona kafa afu katuachia balaa huku afu unataka asifiwe kwa Mavi na uharo alouacha huku nyuma.Akafie mbali ata peponi asifike Shetan yule

    • @LuganoPondo-km8ub
      @LuganoPondo-km8ub 3 หลายเดือนก่อน

      Maghufuri alikuwa ni mtu mbaya sana

    • @MmbagaMmbaga
      @MmbagaMmbaga 3 หลายเดือนก่อน

      Mwenye sikuom na asikie mwenye kuelewa ataelewa

  • @frankpeter-of8xp
    @frankpeter-of8xp 3 หลายเดือนก่อน

    mikoani watu wanajitokeza sana tofauti na dar