SEMINA YA NENO LA MUNGU | CHAMAZI, DAR ES SALAAM | KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
- SEMINA YA NENO LA MUNGU| MIUJIZA NA MAAJABU YA MUNGU YAONEKANA HADHARANI MBELE ZA WATU WA BWANA |
MUELEKEO WA MKUTANO: UKIFIKA DAR ES SALAAM, UPANDE MAGARI YA MBAGALA NA UNAPOFIKA MBAGALA, UPANDE MAGARI YA MBANDE AU CHAMAZI, NA UKIFIKA CHAMAZI, USHUKE KITUO CHA NJIA PANDA MACHIMBO. HAPO UCHUKUE BODA BODA KUELEKEA KANISA TAKATIFU LA BWANA VESU KRISTO, LILILOPO NYUMA YA KIWANDA CHA BARAFU CHA SINGA SINGA.
mungu nikumbuke na mimi neema inionekanie unajuwa kihu ambayo ninayo kwako mungu
Amina mungu nimwema xana tunauona ukuu wamungu
I tap for this grace in Jesus mighty name, amen
Mungu tukumbuke nasi tuliokosa neema hii ya kukutana mtumishi ee Bwana Yesu unajua kiu niliyonayo kwako nikumbuke
Amen Amen
mungu ni samehe uniongonze kama utakavyo
mambo ambayo jicho halikuyaona wala masikio kusikia kabla, Mungu ni yuleyule jana,leo na hata milele Amen
Natamani niwe pamoja na wapendwa hata nami niabudu nao
Kwa kweli hii ni uamsho wa kweli,mungu adumishe hao wote wasiwai potesa hio nguvu
Bwana YESU KRISTO ni mwema
Mungu atukuzwe Haleluyaaaaa
Nimefarijika sana leo na ninamshukuru sana Yesu kushiriki ibada leo pamoja nanyi tena hakika MUNGU yupo mahali hapo
Namshukuru Sana Mungu kwa kunifungua vifungo vya Majini na ukoo.
Nasimama nikiwa nyumbani, Jina Bwana Yesu Kristo lisifiwe,
Hakika bwana yesu atukuzwe
Kristo Yesu anaweza yote
Asante mungu kuongea na watu wako
Yesu ni Bwana Karibu Arusha Mtume Mali ya Bwana by Erasto Tarimo
Mubarikiwe