@@swalehemrombo9301 "Punguzeni masharubu na fugeni ndevu" pia "Wahalifuni Mayahudi na Majusi wao hunyoa ndevu na kufuga masharubu". Ndio kaka katika kufuga ndevu ni katika Dini ,maneno ya Mtume swala na amani za ALLAH zimfikie. Wala usighurike Kwa maneno "Ah ni Sunnah tu" maneno mapotofu sana haya
Allah amtangulie shekhe na ampe Kila lililo la kheri atujaalie tukutane peponi aamin
Amiin amiin yaa rabi kwa sote
Allah atujaalie mwisho mwema na atuweke miongoni mwa waja wake Wema Amiin yaa Rabbal Ng'aalamiin 🤲
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Baaraka Allahu Fiik
Huyu sheikh yuko vizuri mashallah hata hii khutba ina majazi ndani yake hadi utafakari ndio utaelewa
Mashallah he's very cool person👏💞🙏
Masha Allah taballaka Allah
Mashaallah
Achen ndevu,msichonge O.Hii suna mmeshindwa au mashekh wa bakwata
Acha bangi
Bora huyu aisee
Maana yule wa mwanzo kazi yeke ni kugombana na kina mange kimambi
Kwani umeambiwa nduvu ndio uislaam.!?
Muombee Dua