TAZAMA WAITIMU WAKITOA UJUMBE KWA WALIMU NA WAZAZI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024
- 🎓 TAZAMA WAITIMU WAKITOA UJUMBE KWA WALIMU NA WAZAZI! 🎓
Huu ni wakati maalum wa mahafali ya darasa la juu 2023! Tazama waitimu wetu wakitoa shukrani za dhati kwa walimu na wazazi kwa upendo na msaada waliowapa katika safari yao ya elimu. 🌟
#ShuleZaEkisha #MahafaliYaDarasaLaJuu #ShukraniKwaWalimuNaWazazi #ElimuIpoKwetu
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi: +255 712 188 145 / +255 657 737 281 / +255 655 612 093