Ee Nafsi Yangu Umsifu Bwana. Wimbo wa zaburi. Kargi Catholic Parish.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @malabstudios
    @malabstudios  2 ปีที่แล้ว +1

    Ee nafsi yangu umsifu bwana bwana x2
    Bwana ndiye ashikaye kweli milele na milele,
    Bwana huwafanyia hukumu wale walioonewa.
    Bwana huwapa wenye njaa huwapa chakula,
    Hufungua waliofungwa hufungua waliofungwa.
    Bwana huwafumbua macho waliopofuka,
    Bwana huwainua huwainua walioinama.
    Bwana huwategemeza yatima na wajane,
    Bali njia ya wasio haki bwana huipotosha.

  • @christinetina2663
    @christinetina2663 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice one, many blessings

  • @kargiyoarizona3030
    @kargiyoarizona3030 2 ปีที่แล้ว

    🙏😍😍

  • @kailkevin
    @kailkevin 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow nice hormones