JOHO YOU ARE THE FUTURE OF THIS GREAT NATION....HATERS WILL CHOKE TO DEATH! SULTAN IS THE NEXT BIG THING PENDA CHUKIA IT WILL HAPPEN BEFORE YOUR VERY EYES!
Sikuwahi mchukia UHURU lakini nilianza kumchukia wakati alipoamisha bandari niwaliongea kila siku na nitamchukia kila siku, na joho utaondoka kwenye lawama ikiwa bandari itarudi Mombasa vyenginevyo sikuelewi, nilituma mizigo inamaliza miezi mitano sasa, kweli hii ni haki jamani, mpaka imefika mahali namuomba boss wangu simu niulize mambo ya mizigo anasema niuzembe wa serikali yangu!kweli jamani mbona mnataka kutufanya tujutie kuwa wakenya!
What a speech by Hon. Joho? I'm happy if I see unity in this country among leaders. Let the others be accommodative like these men who got it a bit tough sometime back but here they r dancing o the tune of the current.
Joho ulikataa uhuru ahamishe ports mombasa to naivasha sasa mumepewa portside naivasha mikundu yenu mumeyatuliza. Sisi ndio wajinga wala WEWE WEWE WEWE tuuze tu
Kama unajua ukweli simama utetee haki ya wa pwani maitha shida ni wa pwani wengi hawajui kiongozi bora huambiwa tu mpigie kura fulani unga utashuka Makisikira vizho makubali kare na hii ndo imefanya hata elimu pwani iko chini Sisi wa pwani nikama bedera tu kufata upepo
Agenda yake ni kuboresha maisha yetu, Joho, plz. Mwizi huyu. Ameangusha KCC sasa brookeside top, anataka KQ for his family, Bank halipi kodi na sasa anataka bandari, plz. Wapi Lifestyle Audit ya Uhuru, kwendeni huko
Be like aman ma friend few months ago ua opposing about the transporting of goods through sgr and now ua the biggest supporter be wise we r on mohaa jicho pevu we support him time will come and time will tel
It's being wise that he decided to look for his interest becoz when he objected about Sgr including putting his life on the line your kinds were castigating and calling him names.....Wajinga ni nyinyi!
Jiongelee mwenyewe kaka...Joho alijaribu kupigania swala la bandari hakuna hata kingozi yeyote pwani alijitokeza kumuunga mkono...ulitaka afanye nini?! Infact kama yeye mpwani mwenzetu amepata tender kuna hasara gani?! Achana na kasumba za wabara bro!
Ni bora ungekuwa na uhakika kama kweli alikuuzia kuliko ku tafuta Kiki mitandaoni kama wewe ni jasiri na unaamini anauza na uko na uhakika milango ya DCI zipo wazi kashtaki.
The drug peddler went soft on government when he was given the shipment tender all these politicians are the same it has never been about the common mwanainchi
Haya haya haya Vijana fire Vijana fire Vijana fire Watch out Azimio la Umoja declaration animation popular version th-cam.com/video/TH9p_K7TI-o/w-d-xo.html Joho oyeee
Dont be too quick to answer. The 1st one received 1M and the 2nd received double that means a total of 3M. 3M divided by 2 is 1.5M each. Rudi shule ukadai fees 🤣🤣🤣
@@kaulimbiu181 Thanks for clarifying that bit, hata mie nilikuwa nashindwa 1.5 million inatoka wapi nikapitia comments kuona kama mtu ameaddress the issue and glad you did. Ambapo jamaa amechagua toboa jicho atatobolewa moja just for the other guy kutobolewa mbili? Enyewe uhasidi ndio huo!
@@alfanm.8221 Nawajua kelbu hawa chuki imejaa hadi mivunguni mwa vifua vyao! Watamani tufe sote warithi pwani hii! Kila jema lolote tunalopata lawakata maini yao furaha yao ni shari ikitupata! Mafanikio ya Joho hayawapi usingizi nduli hawa! Msiba mkubwa ni wengi wetu tumewafanya hawa maswahiba wetu wakubwa! Nawajua vizuri ibilisi hawa,nimeishi nao,kasoma nao,kafanya kazi nao na niko nao mpaka yaumil kiyama,chuki itokayo vinywani mwao ni chembe kuliko iliyo vifuani mwao! Yarab tuondolee msiba na adhabu hii!
@@reubenmaina1127 whether poor or rich we're still Kenyans ..the problem with your community is your always tribalistic when facts hits you hard and have nothing to argue.
@@mzungu1405 unilipe nini fukara! It's a shame for the Odhiambos of this world to utter a word against Joho who has championed their course since time immemorial
JOHO YOU ARE THE FUTURE OF THIS GREAT NATION....HATERS WILL CHOKE TO DEATH! SULTAN IS THE NEXT BIG THING PENDA CHUKIA IT WILL HAPPEN BEFORE YOUR VERY EYES!
Driving in mombasa is dangerous no lights on many streets and always the lights off.
001 you are so mature. Little words more sense. No room for noise making.
This is the Kenya we want. May God Bless all our Leaderships; political, Economic, Administrative and Religious. God Bless Kenya. Shalom.
long live our president uhuru..
only God can help the poor kenyans not these leaders who cares only for their interests
True 001, only God who is perfect
Matiangi-joho.. itasumbua 2022
Sikuwahi mchukia UHURU lakini nilianza kumchukia wakati alipoamisha bandari niwaliongea kila siku na nitamchukia kila siku, na joho utaondoka kwenye lawama ikiwa bandari itarudi Mombasa vyenginevyo sikuelewi, nilituma mizigo inamaliza miezi mitano sasa, kweli hii ni haki jamani, mpaka imefika mahali namuomba boss wangu simu niulize mambo ya mizigo anasema niuzembe wa serikali yangu!kweli jamani mbona mnataka kutufanya tujutie kuwa wakenya!
Tumieni bandari ya Tanga au Zanzibar.
@@kiswahilikitukuzwe2547,alafu tukitumia bandari ya tanga hiyo mizigo itakuja yenyewe Kenya
@@fatumamwalimu5765 pole ila itafika tu kuwa na subira
@@nelsonkibet8387 ,subira ya miezi mitano!!kweli!
That's it sultan 👊👊
Inky pinky ponky. Father had a donkey, Donkey died, father cried, Inky pinky ponky...
Joho is talking about Muhammed Ali {Hasidi)
Uko sawa...
@@rashidkalimbo2451 qqasw
AQAASSS IS
@@collinsmines Collins Odhiambo your typing is so brief...I don't know what you mean.
Thumbs up for our governor Joho
Jicho pevu ashatobolewa jicho moja..anataka muwe Jicho povu
AGIRIAMA NIKUAMBA UTSUNGU UNZARYA RYAKA
APWANI FUDZA TSOKA KUNYANYASWA!!
Very true ..001
Hiyo story ya zamaaaani tushatolewa na mababu, wajomba, baba zetu mtu ndio sasa yuwaisema ame copy! 😂
entertaining the President is not news!! Port Ops and Cargo Logistics is News!!
What a speech by Hon. Joho? I'm happy if I see unity in this country among leaders. Let the others be accommodative like these men who got it a bit tough sometime back but here they r dancing o the tune of the current.
MY GVN 001 YOU HAVE MADE MY DAY!!!!
Nice words
Joho ulikataa uhuru ahamishe ports mombasa to naivasha sasa mumepewa portside naivasha mikundu yenu mumeyatuliza. Sisi ndio wajinga wala WEWE WEWE WEWE tuuze tu
Kama unajua ukweli simama utetee haki ya wa pwani maitha shida ni wa pwani wengi hawajui kiongozi bora huambiwa tu mpigie kura fulani unga utashuka
Makisikira vizho makubali kare na hii ndo imefanya hata elimu pwani iko chini
Sisi wa pwani nikama bedera tu kufata upepo
Umegonga ndipo wababa
true kabsaa majmaa nkweli wivu hawataki kujua our president ana kibarua kigumu .
Nafikiria Joho anaongea kuhusu Mp Mohammad Ali (hasidi)....
*Hiyo story twaijua zamaaaaani wengine waijua sasa? ume copy!* 😂
Vunja county tukutane kwa debe uone kivumbi wacoast wakiongea kuhusu dhulma ulowatendea wanakua mahasidi. Wacha ushenzi
001 representing..
Agenda yake ni kuboresha maisha yetu, Joho, plz. Mwizi huyu. Ameangusha KCC sasa brookeside top, anataka KQ for his family, Bank halipi kodi na sasa anataka bandari, plz. Wapi Lifestyle Audit ya Uhuru, kwendeni huko
Nani ameskia akisema wamepawa 2million wagawanye 1.5million na wako wawili😂😀
MOHAMMED KHAMIS the first person angepewa 1 million ,then the second apewe double that's 2 million totaling to 3 million, wakigawana ni 1.5 each.....
@@kelvinmokaya1868 thanks for letting me know but hao wa magari waligawanya vipi? Ama moja lilivunjwa
The Mombasa is not clean at all everywhere it's filled with garbage
Joho 2022.
Why?
@@jumjumanderson9715 2022 is very Good year for joho to be alive.
Kenya has good people not joho. kenyans knows joho very well.
🇰🇪🤣🤣🤣💯kweli joho
That's true 001
Good speech
Simba
I quite importing because of very hungry KRA thiefs at the port .
Jitho weee
with all that talk i still cant believe you managed a D-
The guy is smart, he was just a perennial abscondee it seems!
Leaders are born......nothing to do with grades and degrees na takataka za masters na PHD
Hiyo story ya zamaaaani tushatolewa na mababu, wajomba, baba zetu mtu ndio sasa yuwaisema ame copy! 😂
Well said
Is that keter
We ongea about hizo mzigo kutoka msa nbi ambao imechukuliwa na family yako
Hamna jipya yote
Joho please uhuru knows you very well. He can read you mind ,full drugs stop talking too much.
No more odinga this odinga that , the president did reveal you want the port for your drug movement in 2017 who should we trust.
You are snatching the fllats from people's where building s are been built
Be like aman ma friend few months ago ua opposing about the transporting of goods through sgr and now ua the biggest supporter be wise we r on mohaa jicho pevu we support him time will come and time will tel
It's being wise that he decided to look for his interest becoz when he objected about Sgr including putting his life on the line your kinds were castigating and calling him names.....Wajinga ni nyinyi!
We haven't forgot 2017 when uhuru reveal he wants the port for his movement of drugs
@@lenniefei6710 This idiot thought we forgot that uhuru mention him revealing he wants the port for his movement of drugs .
@@alisaid9810 Maybe kuwakilisha wewe wataelewa....I tried my best but washenzi ni mob kwa social media!!!
Pwani hatuna viongozi
I agree, this Joho man is a murukaji kama leader wake Raila Odinga. Kwendeni huko
Yaani viongozi wa pwani wanatumiwa kama tambara bovu joho alijifanya kiherehere kumbe alikua anatafutia tumbo lake na sio wananchi bure kabisa
Jiongelee mwenyewe kaka...Joho alijaribu kupigania swala la bandari hakuna hata kingozi yeyote pwani alijitokeza kumuunga mkono...ulitaka afanye nini?! Infact kama yeye mpwani mwenzetu amepata tender kuna hasara gani?! Achana na kasumba za wabara bro!
Kweli kabisa na hii inauma sana
😂 😂 😂
These guys are just entertainers. They can’t run countries properly.
Tabia ya wivu tuache
Looted msa in 10yrs
Ili akimiss kiti next time, biashara yake ya madawa iendelee vizuri twakujua na vichekesho vyako 🤣
Ni bora ungekuwa na uhakika kama kweli alikuuzia kuliko ku tafuta Kiki mitandaoni kama wewe ni jasiri na unaamini anauza na uko na uhakika milango ya DCI zipo wazi kashtaki.
@@alfanm.8221 ukweli unajulikana he and others was in the list of saitoti, and that's why he was killed 🤔
Kpa haihami tena
The drug peddler went soft on government when he was given the shipment tender all these politicians are the same it has never been about the common mwanainchi
Only a fool lean upon his own misundersting.
Bandar I ipo na shida ya madawa na unajua
Crack?
Haya haya haya Vijana fire Vijana fire Vijana fire Watch out Azimio la Umoja declaration animation popular version th-cam.com/video/TH9p_K7TI-o/w-d-xo.html
Joho oyeee
SGR contract sacrifice.....honestly.
2 million divide by 2 =1
Dont be too quick to answer. The 1st one received 1M and the 2nd received double that means a total of 3M. 3M divided by 2 is 1.5M each. Rudi shule ukadai fees 🤣🤣🤣
Kauli mbiu 😂😂😂😂umeona eeeh 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Primary Education is free, never too late to enroll
😆😆😆😆
@@kaulimbiu181 Thanks for clarifying that bit, hata mie nilikuwa nashindwa 1.5 million inatoka wapi nikapitia comments kuona kama mtu ameaddress the issue and glad you did. Ambapo jamaa amechagua toboa jicho atatobolewa moja just for the other guy kutobolewa mbili? Enyewe uhasidi ndio huo!
Governor of Mombasa but only enriched joho family ...drug mafia
Jealousy will choke u to death! Report him to DCI if you got the balls
@@lenniefei6710 drug baron of mombasa joho.
@@irenetele8150 Has he ever sold you any drugs to your grandmother ?! Mushenee itakuua
@@lenniefei6710 waambie wasikie kama wanaushahidi mbona wasikwende kuripoti na wakati milango za DCI zipo wazi kama sio Kiki.
@@alfanm.8221 Nawajua kelbu hawa chuki imejaa hadi mivunguni mwa vifua vyao! Watamani tufe sote warithi pwani hii! Kila jema lolote tunalopata lawakata maini yao furaha yao ni shari ikitupata! Mafanikio ya Joho hayawapi usingizi nduli hawa! Msiba mkubwa ni wengi wetu tumewafanya hawa maswahiba wetu wakubwa! Nawajua vizuri ibilisi hawa,nimeishi nao,kasoma nao,kafanya kazi nao na niko nao mpaka yaumil kiyama,chuki itokayo vinywani mwao ni chembe kuliko iliyo vifuani mwao! Yarab tuondolee msiba na adhabu hii!
Madawa za kulevya
Joho wacha kunyowa kama kuku asiyo na kwao. You are a national leader. Be descent and look smart.
😂😂aiii kaa na mama yako ..sisi hatujali amenyoa aje
@@dericokongo7299 arrogance will not help develop our nation. Go to school and learn manners.
@@reubenmaina1127 😂sasa nini inasema sijasoma ..kuja nikupatie kazi basi
@@dericokongo7299 The poorest are from your region. Enda uwaajiri.
@@reubenmaina1127 whether poor or rich we're still Kenyans ..the problem with your community is your always tribalistic when facts hits you hard and have nothing to argue.
Kma ni hvo hta wwe saidia William ruto ako mbele yko
you need help
Uhuru should shave his beards! They look like toothbrush 😂. I love you though your excellency.
"My friend" coping Ruto. Be original drug lord,
do you have evidence
@@saidmagramcobeen2215 Evidence for what and who are you to ask?
It's a popular Nigerian phrase. Ai ya ruto my Fren.
Hassan all 001
What is he saying empty debe shame on you joho
Shame on you and jealousy will kill u.. Sultan is of a whole different level
@@lenniefei6710
Nakuona wamtetea sana ukimaliza njoo nkulipe wafanya kazi nzuri sana
@@mzungu1405 unilipe nini fukara! It's a shame for the Odhiambos of this world to utter a word against Joho who has championed their course since time immemorial
@@lenniefei6710
Nimesikia boss ....simuingilii mume wako tena
@@mzungu1405 Trust me very soon you'll be the second wife! Thankless Luos!