Hawa CCM ikiwa hamjawaondoa madarakani watawatesa watu na watawanyanyasa bila ya makosa. Sasa Dr Silaha kwa nini hajafikishwa mahakamani? Yaani Mahakama haina nguvu kuliko polisi? Hii nchi hatari sana hata kuishi wallahi, Duuuu siku ya kiama (Siku ya Malipo ina kazi kubwa, siri za watu zitafichuka, watu wamefanya mambo makubwa na mabaya sana, Yaani cheo tu na matumbo ndio watu wanafanyiana unyama Duuuuuu. Hatari kubwa
Hello