Lord Jesus loves us all he is our healer njooni kwangu nyote msumbukao na kulemewa na mizigo mizito nami nitawapumzisha jivikeni nira yangu Asante Mungu kwakuwaokoa watu wako kutokana na nira za ibilisi hakika Yesu a naishi, tusiangalie walio kinyume na kazi hii ya Mungu tuwaombee wajue na waje kwenye mwangaza ambao ni yesu kristo amen 🙏
My marriage is being restored in Jesus Name. There is nothing God cannot do or change I tap into this grace in Jesus Name and decree restoration of my marriage
Subhana llah mungu awaongoze nyote hats wakiristo hivi mwaona hya yapo kweli na jee yafaa hya Kwa ukiristo huu siniuchawi huu haysrihusiwi vitambara na maji Kwa kanisa alafu mnasema jesus mungu awaongoze Ila hakuna mtu anaitwa muislam awe na mume mchristo hakuna hapo hio sio waislam hya huyo mtoto muangalie kweli waislam hawa?
@@dedanngujo8880 sini mungu nitaomba kwnini niende Kwa binadamu tena kutumia na uganga vitambara na maji hio hata Kwa bibilia hakuna sio Mambo na wivu jameni twakosea Sisi mujue hapo hakuna Mambo na dini ama ukiristo yaruhusu kufanya uganga Sawa coz nyinyi sheria nyingi zenu zaenda na time zabadilika kmma naahio imewekwa sahii Sawa bt haifai na nimrongo tena ajab hangefunga kanisa Kwa Corona
Wakatu shida ilioshindikana itakuzidi ndio utajua Yesu ni nani. Mbona nyinyi msitangaze hata crusade za kuwaombea watu walio na magonjwa na mashida wasaidike. Hakika wivu wenu hautamsimamisha Yesu kutenda. Pst.anaisidia watu kwa jina la Yesu sio jina lingine na inafanya kazi. Yako au yenu iko wapi tuione live mchana. Kushikilia dini na haikusaidii ni ya nini.
Lord Jesus loves us all he is our healer njooni kwangu nyote msumbukao na kulemewa na mizigo mizito nami nitawapumzisha jivikeni nira yangu Asante Mungu kwakuwaokoa watu wako kutokana na nira za ibilisi hakika Yesu a naishi, tusiangalie walio kinyume na kazi hii ya Mungu tuwaombee wajue na waje kwenye mwangaza ambao ni yesu kristo amen 🙏
New life testimony sinaniguza na sinaendelea kubadilisha maisha yangu na familia yangu na ndoa yangu na Mume wangu
My marriage is being restored in Jesus Name.
There is nothing God cannot do or change
I tap into this grace in Jesus Name and decree restoration of my marriage
May God restore everything that the devil stole from me in Jesus name
Eeeh Mungu,tenda kwa ndoa yangu,talaka ipigiwe na radi ya nguvu za Yesu
Thank you Jesus for restoring this family
God is awesome. Thank you Father.
God is God
Wat God cannot do does not exist
God has visited our land, thank you Jesus! More grace mtumishi!
Pia mm niombee pastor nikona shinda yakukataliwa na kusizia kanisani
Wow l connect to this testimony the God of another chance
Restoration all round in the name of Jesus
Nataka huyu mungu wa pst Ezekiel
Eeeeeeemen Dada, Mungu ni mwaminifu
Amen i receive my marriage
Amen. yu Mwema Mungu..
Deliver my marriage today man of GOD
Ameeen! Aky God is gud glory to God
This is the Lord's revival hallelujah
Hakuna mungu kama huyu,anatenda yale mwanadam hawezi tenda
May God restore mine tooo
Subhana llah mungu awaongoze nyote hats wakiristo hivi mwaona hya yapo kweli na jee yafaa hya Kwa ukiristo huu siniuchawi huu haysrihusiwi vitambara na maji Kwa kanisa alafu mnasema jesus mungu awaongoze Ila hakuna mtu anaitwa muislam awe na mume mchristo hakuna hapo hio sio waislam hya huyo mtoto muangalie kweli waislam hawa?
Uko na wivu weye : wacha uchikwe na kifafa alafu tutakuona utaaguliwa wapi:
@@dedanngujo8880 sini mungu nitaomba kwnini niende Kwa binadamu tena kutumia na uganga vitambara na maji hio hata Kwa bibilia hakuna sio Mambo na wivu jameni twakosea Sisi mujue hapo hakuna Mambo na dini ama ukiristo yaruhusu kufanya uganga Sawa coz nyinyi sheria nyingi zenu zaenda na time zabadilika kmma naahio imewekwa sahii Sawa bt haifai na nimrongo tena ajab hangefunga kanisa Kwa Corona
Wewe ni mgonjwa wa akili mungu akusamehe
Wakatu shida ilioshindikana itakuzidi ndio utajua Yesu ni nani. Mbona nyinyi msitangaze hata crusade za kuwaombea watu walio na magonjwa na mashida wasaidike. Hakika wivu wenu hautamsimamisha Yesu kutenda. Pst.anaisidia watu kwa jina la Yesu sio jina lingine na inafanya kazi. Yako au yenu iko wapi tuione live mchana. Kushikilia dini na haikusaidii ni ya nini.
Ety unasema vtambaa na maji..... Hata yesu alikoroka matope akampaka batimayo na akaona
Amen groly to Jesus 🙏🏿
Hata mimi ndoa yangu iPone kutoka kwa mpango wa kando Alice ,mavyaa na bavyaa waachene na huyo mwk arudi kwa ndoa yake
Hata mm pastor niombeeni, nko ma shida yakukataliwa kwa kila mtu na shida ya ndoa sina bwana
Mimi niko nataka kuowa
@@generalidiamindada25 who are you 😀🙈
@@rachaelmwanje6331 mimi ni mwanamume nataka kuowa
@@generalidiamindada25 utapata in Jesus name Amen
@@rachaelmwanje6331 ww uko
God is good all the time Ameen
Amen glory to God
Ndoa yangu iko baba
Am praying for my marriage restoration
Glory to God !!!
It is only God can do this.
Thanks jesus
Amen amen
Glory be to God 🙏🏽
Glory to God
Groly to God 🙏🙏🙏
Thank u lord
God thankyu
👏👏👏👏👏
Na mimi baba
Amen
Y dont pple understand we are all of one God
Baba Utabaki kuwa ni wewe
Nataka paybill no. Ya sacrifice na tithe please mtu anaejua anisaidie
Angalia kwa description ziko hapo na bure uwe care kwa comments kuna scammers
You don't buy blessings in church,just have faith..
@@juliaschipa320 did she told you she want to buy blessings, if you don't have to comment just keep your comment in your heart
@@juliaschipa320 idiot we dont buy blessings
@@juliaschipa320 at Gideon alitoa sandaka yenye guvu yakumaliza madhabau ya minguu za baharini
Amen 🙏