UPENDO NKONE AWAKUTANISHA MARTHA MWAIPAJA NA BEATRICE MWAIPAJA MSAMEHANE YAISHE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @evaamos1591
    @evaamos1591 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mungu simama juu ya hii familiaa. Ondoa roho ya chukii kati Yaoo. Simama mwenyew Yesu

  • @RitaNjoga
    @RitaNjoga 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Martha Upendo Nkone ni kama mamako kwanza ni mtu mzima,nenda ukamsikilize Hela isikupe kiburi,Beatrice ni mdogo wako anaupendo na wewe na ndo maana aliona unapotea.wewe kama wewe huwezi kuona kuwa unapotea,kamsikilize Upendo Nkone acha maringo Martha tunakupenda

  • @GermanaMhaku
    @GermanaMhaku 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Daima mimi na familia na ukoo wangu wote ndo kwanza tunabarikiwa sana na nyimbo zako,so tutazidi kukupenda na kukupenda zaidi ya jana,usionyeshe unyonge matha,jione wewe ni mshindi na nyota yako ni kubwa sasa kwani mataifa na dunia nzima wanakujua sasa,anzakutembea na ushindi matha

  • @MohamedAlly-h4u
    @MohamedAlly-h4u 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Beatrice, anampenda sana dada yake. Binafsi nahisi hakupenda afanye alivyofanya Ila amechanganikiwa (stress) kutokana na mwenendo wa dada yake.....damu ni nzito kuliko maji
    .....Martha msamehe mdogo wako upate baraka kwa mungu lkn upate amani ya moyo (samehe 7×70).

  • @annekavithe
    @annekavithe 5 นาทีที่ผ่านมา

    Msimuharakishe martha tafadhalini subirini apone moyo ili afanye maamuzi cz moyo wake bado unauma💔😢

  • @GermanaMhaku
    @GermanaMhaku 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Matha, mungu akutie nguvu kwa mapito hayo

  • @eunicemunywoki2165
    @eunicemunywoki2165 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu amsaidie Martha

  • @winfredmundali5441
    @winfredmundali5441 วันที่ผ่านมา +1

    the prodigal son, was received back, we love her song s rock bottom, Anyenyekee kwa Mungu na Familia

  • @OscarFrancis-mx7iy
    @OscarFrancis-mx7iy วันที่ผ่านมา +6

    Fanyeni kazi zingine kila siku martha martha .au mnapenda anavotukanwa ndio furaha yenu ebu tuachieni martha wetu huyo bite hana tofauti na kaiini ukikaa vibaya atakuuwaaa

    • @Princess-Margie
      @Princess-Margie วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa

    • @GabrielMwambungu-uw6bk
      @GabrielMwambungu-uw6bk 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Martha anasaidiwa na sio kutukanwa

    • @NyotaBalolane.
      @NyotaBalolane. 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nikweli mwanadamu anapenda mabaya sana hakuna anaye juwa roho ya mwana damu isipokuwa ni Mungu tu

    • @edephonceramson1556
      @edephonceramson1556 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hiyo ndo kazi yao, wewe ndo umekosa kazi rafiki.

  • @LeaSelemani
    @LeaSelemani 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ule hajuwi kama Amani ya kiroho inaanzia manyumbani kwetu awe wa kwanza kusema wamuache martha but Mimi anae sema bite ni Kaini mimi kwangu uyo mtu nikama johani kwa iyi familia na kwa awa watumishi wa Mungu wawili sio ushabiki apa ila nikupatanisha ili kazi ya Mungu iendeleee mbele zaidi na zaidi….

  • @joshuaomari3556
    @joshuaomari3556 วันที่ผ่านมา +3

    😢😢😢😢martha nlkupenda sana sasa unaaza kunitoka

    • @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
      @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE  วันที่ผ่านมา

      Duh

    • @OscarFrancis-mx7iy
      @OscarFrancis-mx7iy วันที่ผ่านมา +1

      Ayo ni maneno ya unafki na kukoleza moto ili martha aonekane mbaya.Ww umeona upendo nkone akiongea hapo au ni udaku tuuuu

  • @graccechirindo7891
    @graccechirindo7891 วันที่ผ่านมา +4

    Martha ni kiburi ndio kinamsumbua atolewe kwa gospel hadi ile siku ataenda kukaa na familiar na aombe msamaha kwa mama awache kutuaibisha wa kristo Martha anaaibisha gospel sasa

    • @samwa9496
      @samwa9496 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ameahajiondoa aendelee mdogo wake imekuwa mipasho Bora akaacha

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo วันที่ผ่านมา +12

    Martha sio kwamba hapendi ila atakuwa kakosea masharti

    • @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
      @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE  วันที่ผ่านมา +1

      Duh

    • @Neema-qm9kk
      @Neema-qm9kk 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mimi mwenyewe ninahisi hivyo

    • @MtambalaTv
      @MtambalaTv 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mh

    • @SophiaPatson
      @SophiaPatson 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtu ambaye ajakutana na ya matha ktk Familia hawezi elewa ata mimi ningekuwa Matha nisingekubali,huyo Bite akakae na hao walio mshauli ili amhalibie Dadayake

    • @preccypressy2226
      @preccypressy2226 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@SophiaPatsonukweli kabisa, mimi nashangaa sana na watu, kwani Martha ndio wa kwanza kukosa kuelewana na mzazi? Mbona tuko wengi, huku firimbi ikipigwa tuingie uwanjani mbona utamuona Martha sio wa kwanza
      Ulimwengu wa sasa kila kitu imekuwa tu illuminati, usagaji, free mason
      Mimi kama mimi huyo Beatrice angekuwa dadangu hata na siku moja hangenisongea
      Watuwachie Martha,kama ni hukumu ni yeye atahukumiwa na kila mmoja atahukumiwa kwa dhambi zake

  • @LightnessSomi-g8z
    @LightnessSomi-g8z วันที่ผ่านมา +3

    Angemtafta upendo nkone mapema, yani kamdharirisha mwenzake kwa mitandao na bado anataka wapatane ebu amuache na maisha yake, kama anamaisha mabaya asingefanikiwa, tatizo ukifanikiwa lazima upigwe mawe kibongobongo

    • @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
      @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE  วันที่ผ่านมา

      Kweli kabsa

    • @NKULIKANDUSI
      @NKULIKANDUSI 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Waimbaji wa Nyimbo wanasisitiza Msamaha wenyewe hawasameheani aroooi

    • @FarajaLusuka-e1v
      @FarajaLusuka-e1v 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtu Mmoja alisema shida ikiwa Kwa mwenzio usiombe uipite wewe akipitia mwenzio ni nyepesi pitishwa wewe uone nsimulaumu bite anamsadie damu yake.watu wengine tutaokolewa Kwa moto

  • @DEBORAHMASANJA-yz3go
    @DEBORAHMASANJA-yz3go วันที่ผ่านมา +5

    Martha mdogo wangu hivi Bwana Yesu kristo akirudi leo utakwenda mbinguni? Una mkanaYesu kristo kwa matendo yako

    • @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
      @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE  วันที่ผ่านมา

      Mungu amsimamie

    • @MtambalaTv
      @MtambalaTv 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duh kwakweli tukeshe tukiomba wandugu changamoto hizi sio za kawaida

  • @josephkajinga6967
    @josephkajinga6967 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Upendo Nkone ni mwamuzi na Beatrice ni mkweli na anapenda kushauriwa lakini Martha bado roho ya kuzimu inamtafina.

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 วันที่ผ่านมา +3

    Issue si kukutana aache mambo ya aibu....shindwa

  • @JeanBaraka-pu5xo
    @JeanBaraka-pu5xo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ulifanya kazi kubwa huo ndiyo utumishi matha atubu shoehorn anasapoti ubaya

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 วันที่ผ่านมา +3

    Mathar ni kiburi Hans mungu ona mavazi yake anachokitafuta atakipata mwacheni kwàn yy nani mathar tumwache na joani yake

  • @kayitesbonito4879
    @kayitesbonito4879 วันที่ผ่านมา +2

    Matha ni kibuli sana

  • @wuodkokelobingo4855
    @wuodkokelobingo4855 วันที่ผ่านมา +5

    Martha basi si mkristo ni muimbaji tu

    • @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
      @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE  วันที่ผ่านมา

      Kw nn unasema sio mkristo

    • @neemamdami7466
      @neemamdami7466 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@D_CLEFF_GOLDEN_VOICEkwasababu hawezi kusamehe

  • @DEBORAHMASANJA-yz3go
    @DEBORAHMASANJA-yz3go วันที่ผ่านมา +3

    Nina kupenda mdogo wangu geuka urudi kwa Bwana Yesu kristo

  • @RitaNjoga
    @RitaNjoga 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Martha kumbuka ulikotoka na Mamako hata kama ni mamako mzazi au wa kambo, kumbuka ulikotoka na Mamako na unakoelekea,pesa isikupe kiburi,watu wameongea lao una masikio umesikia.wengine wamekushauri,wengine wamekutukana Kila aliyena kinywa cha kunena amenena.kamwombe mamako msamaha na pia kaa karibu na ndugu yako Beatrice hajakudhalilisha amekufungua macho ulikuwa uoni

  • @GermanaMhaku
    @GermanaMhaku 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Beatrice angempenda dadaake asingemuanika dada matha mtandaoni

  • @hegikibaby1120
    @hegikibaby1120 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    upendo nkone anabusara sana sio kama shusho anaekoleza chuki

  • @Matilda-q4k
    @Matilda-q4k 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu mama kweli ni mtu wa Mungu,wapatanishe sio Christina Shusho anavyoyabananga kwenye madhabahu

  • @GabrielMwambungu-uw6bk
    @GabrielMwambungu-uw6bk 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kama Martha hataki hata suluhu basi atakuwa na shida kubwa, anaitaji msaada wa kiroho haraka sana

  • @GermanaMhaku
    @GermanaMhaku 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwa nini kama alijua kuna faragha kwa nini kamuanika dadaake mitandaoni??

  • @RoseRobert-hf1lv
    @RoseRobert-hf1lv 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hivi Martha nae akiamua kuobgea ya kwake nafikiri mnaweza kukosa.cha kusema. Martha amekataa kuongea kuepusha mambo yasiwe mengi. Huyo aliyeamua kumdhalilisha dada yake mtandaoni kwa kukosa hekima yeye ndio atafute namna ya kumuomba dada yake radhi kwa sababu amekosa hekima akidhani kumleta dada yake ahukumiwe kwny mitandao ndio suluhisho hapo alifeli sana

  • @Madina-uw6ce
    @Madina-uw6ce 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Please live Martha alone kila siku ni Martha Martha weeh nafuteni new zingine

  • @evancemsosa4379
    @evancemsosa4379 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Martha kachoka kuimba na ataendelea kuporomoka tu, tunakumbatia ndugu ili likikupata wakubebe, huo ni uzima tu likimpata jambo hao hao anaowaona wa maana wataanza kutafuta ndugu zake.

  • @MtambalaTv
    @MtambalaTv 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Siku za mwisho watu watakuwa wapenda pesa , wasiowapenda wakwao, wasiotaka suluhu, kwahyo tumuombee Martha asilitimize andiko hili la 2Timothew 3;1-3

  • @RosaliaMutua-g2s
    @RosaliaMutua-g2s 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pia mimi siwezi kutana na huyo Dada give Martha time hilo sio jambo rahisi

  • @geraldSiame
    @geraldSiame 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yaani amdhalilshe hadharani alafu aombe msamaha kimyakimya hata kama ni mimi siwezi kukubari ,kama msamaha akaombe kanisani hadharani alikouwashia moto

  • @IbuGang
    @IbuGang วันที่ผ่านมา +3

    Ogopa watu wa pole au wakimya ni hatari sana mioyo yao haigunguki sasa anamkataa kukutana na mdogo wake maana yake nini ?neno msamaha halipo moyoni mwake,sasa hapo atasema anampenda Mungu?

    • @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
      @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE  วันที่ผ่านมา

      Kweli mtihan

    • @servantofgod4340
      @servantofgod4340 วันที่ผ่านมา +2

      kuna tofauti ya mtu mpole na mkimya. Huyo martha sio mpole ni mkimya

    • @TreasureTebuye
      @TreasureTebuye วันที่ผ่านมา

      Wewe unsdhani kusamehe ni mara hapana maumivu ya kutangazwa yakaondoka haraka inahitajika galama kubwa kiroho.

    • @LuciaNgomegwa
      @LuciaNgomegwa 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ogopa mtu aliekaa kimyaa🙌hapo bite akae Kwa tahadhari kubwa sn.......maana mpk kukataa kupatanishwaa means Kuna kitu kinavujaa moyoni mwakee

  • @IsayaShokaulaya
    @IsayaShokaulaya 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hako ka bite kanaomba.huluma ya.mathar tu kafanye kazi

  • @issayachilugu1855
    @issayachilugu1855 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi namuombe Martha endelea kunyamaza kimya na asimpe ibiris nafasi.kila jambo linawakati wake.

  • @AmidaNiselo
    @AmidaNiselo 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😢 3:38 MO

  • @HalimaSingano-m4r
    @HalimaSingano-m4r ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa alivyo mzalilisha dada yake hakujua kuwa kuna kumfata

  • @sylvesterhamaro9926
    @sylvesterhamaro9926 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dada Martha, usiogope Mungu anakupenda, Beatrice hajui analolifanya msamehe tu, songa mbele...

  • @TatuShabani-z4s
    @TatuShabani-z4s 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hata akatae kukutanishwa maana nyie mnaweka kila kitu hadharani

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyo Martha wenu anakiburi anamuogopa huyo Joan ndo anamuendesha kiakili

  • @einstainjk5893
    @einstainjk5893 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nampenda sana Martha pia lkn vaaji yake piya kwa akili ndogo tu visiket fulani hivi, kwa eneo hili nawapongeza mdogo wake, nkone akina shusho na wengine wanavyovaa gauni kitenge safi ukisimama madhabahuni my friend siyo kumbi ya starehe nk
    vitu vingine kama vidogo hivi lkn vinasema sana..kama vile hutambui huduma unayoifanya takes a lot you must have to be official maana kama hiyo huduma ni Kanisan kweli vaa hivyo in your private rooms so Kanisani

  • @FranceLiseki
    @FranceLiseki วันที่ผ่านมา +2

    Bite nae amekosea kwa nn asinge enda kumwambi kwake usinge mtangaza mtandaon umemdhalilisha dd yako so vizuli matha ongeeni muyamalize

    • @femidayahaya9293
      @femidayahaya9293 วันที่ผ่านมา

      kwake wap sasa anapopajua huckii kwamba ndg zake wakishajua tu mahal anapokaa joahn anasema tuhame ilimlad tu mama wa martha na ndg wengine wacwatembelee sasa angeenda kwake kwake wap mana mpak dk hii hawajui martha anakaa wapi😢😢😢

  • @ImaculathaMasuka
    @ImaculathaMasuka วันที่ผ่านมา +1

    Kama vikao vilishashindikana Wazazi wote.Kwaiyo Beatrice angesemea wapi???. Wazaz wake ni Wazee ameachiwa mzigo wa kuwalea peke yake.. Yeye afanyeje

  • @Faraja-j2z
    @Faraja-j2z วันที่ผ่านมา +1

    Martha siyo kwamba ni kiburi ila tu ile gharama ambayo wqnakutana nayo wanadamu wote ya kusamehe hii ni garama kubwa ingawa inawezekana tu. Na hiyo nilizima aiingie kwa ajili yakulinda hatima yake kwa sababu Bwana wetu anasema usipo samehe nawe huta samehewa hapo nikutoka mwilini na kuingia rohoni mambo yote simple

  • @AmidaNiselo
    @AmidaNiselo 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ayo.mambo.mpaka.lini.yata hisha.ya Mart.mmetuchosha.

  • @AnnbrendaShikuku-h7z
    @AnnbrendaShikuku-h7z วันที่ผ่านมา +1

    Neno la mungu lina sema WAGALATIA 5-15 lakini ikiwa mtaumana na kutafunana kama wanyama jihadharini msije mkaangamizana wenyewe kwa wenyewe

  • @AksaRaphael
    @AksaRaphael 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mhuuu hawatakiwi wapatane itakuwa kuna miiko

  • @Baraka-l8v
    @Baraka-l8v วันที่ผ่านมา +1

    sasa apo shida iko kwa nani si uyo anaefuraisha watu lakin c utumishi laiti angekuwa mtumishi angeenda kwa mama yake wamalizane lkn kbr

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo วันที่ผ่านมา +1

    Waimbaji kama humwezi kulipatia majibu hili ukweri ni kwamba mmefedheheshwa wote,,,fikili j.pili alicho ongea shusho afu mjitahimini martha ana siri kubwa isio ya kimungu ndani yake kuna siri kubwa na kajoani

  • @Madina-uw6ce
    @Madina-uw6ce 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bite ni kaili

  • @TheonesterWilson
    @TheonesterWilson วันที่ผ่านมา +2

    Martha kakatazwa na mke wake joan

  • @HalimaSingano-m4r
    @HalimaSingano-m4r ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Matha tulia wa malize mazabau zote

  • @ALICIAEMILLY-b8j
    @ALICIAEMILLY-b8j วันที่ผ่านมา +1

    Mhhh

  • @GermanaMhaku
    @GermanaMhaku 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hata ingekuwa mimi nisingekubali kukutanishwa na huyo Beatrice