Terry wa dandora: Nina Wanaume wawili, ninayempenda zaidi, hanipendi | Hali Ilivyo

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 118

  • @doreennasike6298
    @doreennasike6298 4 ปีที่แล้ว +9

    Chukua huyu anayekupenda na anampenda mwanao Terry...sababu baba mtoto yeye huja tu kusoma katiba lakini kwa akili yake au maisha ya badaye haupo kwchwani mwake kabisaa👌👌👌👌

  • @monicamichael8119
    @monicamichael8119 4 ปีที่แล้ว +8

    Naipenda milele ifm japo nimtanzania 😘😘

  • @virginiawanjiru7253
    @virginiawanjiru7253 4 ปีที่แล้ว +21

    Don't allow anyone to treat u like an option
    Baba mtoto my foot
    Abaki na huyu anayempenda...

  • @Girl_Maasai
    @Girl_Maasai 4 ปีที่แล้ว +2

    I will always be with a man that loves me not vice versa

  • @linetmokogoti7377
    @linetmokogoti7377 4 ปีที่แล้ว +8

    I was in the same situation....to hell with the Babydaddy...he was my first love but I don’t care anymore....terry go to the person who loves you not the one you love

  • @zainablizi5816
    @zainablizi5816 4 ปีที่แล้ว +8

    Kaa na mwenye anakupenda,mm nko n watoto wawili naata awajawahi ita mtu baba

    • @purityokiru7444
      @purityokiru7444 4 ปีที่แล้ว

      Zainab Lizi Zainab Lizi 😂😂

  • @dengkusarah
    @dengkusarah 2 ปีที่แล้ว

    Achana na huyo mpuuzi dada yangu ona maisha yako

  • @salomenyamache7437
    @salomenyamache7437 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpende akupendae, sana sana huyo anapenda mtoto wako.dada kuwa na msimamo moja.

  • @aggycherry9400
    @aggycherry9400 4 ปีที่แล้ว +10

    Ba mtoto ni mjanjes and he's taking advantage of being loved unconditionally.Terry go to someone who loves you and your baby.....

  • @lilililian575
    @lilililian575 4 ปีที่แล้ว +2

    Unaona unauliza hio swali tena😂😂 Alex waona jalas sana

  • @linetmudengan4988
    @linetmudengan4988 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu baba mtoto ni kitombi mkubwa kuna vile anagawa huko inje mrembo kanyanga kubwa kubwa 🏃 🙌

  • @Kobita001
    @Kobita001 4 ปีที่แล้ว +6

    A man who dosent appreciate you 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ chukuwa aliye kupenda

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 4 ปีที่แล้ว +18

    wah wanaume wengine wakijua wanapendwa huwa na kiburi sana huyo dem h aende na huyo anaye mpenda

    • @alexisonde
      @alexisonde 4 ปีที่แล้ว +1

      Venye mm nakupenda

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 4 ปีที่แล้ว

      @@alexisonde 😂😂asante

    • @henrydsouza
      @henrydsouza 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 4 ปีที่แล้ว

      @@henrydsouza 😂

    • @ngiradevies1172
      @ngiradevies1172 4 ปีที่แล้ว +1

      I don't have ex galfrds..I only have retirees anytime incase of emergency we meet. Why should lie

  • @brendablessed1223
    @brendablessed1223 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwanza imagine mwenye anadate uyo baby daddy gai, mimi naogopa wanaume wako too close na their baby mamas

  • @paulasianway213
    @paulasianway213 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyo mwanamke anawazimu.hajielewi , Haelewi chenye anataka

  • @ritanofear4634
    @ritanofear4634 4 ปีที่แล้ว +1

    I wud rather go for a man who loves me than a man I love, most men take advantage the moment anajua u love him so much. Bby daddy is just toying around with u, dont waste ur time on someone who does not love u the way u do. We can only advice u but the decision is in ur hands Terry ,

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 4 ปีที่แล้ว +2

    Terry huyo baba mtoto ata ku cost na aki waste mwisho uta regret stick na ule anakupenda for man to love you na akufanyie all those things ukiwa na mtoto sio rahisi wanasema if you get one stick with Him hii generation its really not easy

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣🤣🤣yani mtu amekuzalisha akakutupa then unamrudia jesoooo kupende zaidi kuna madhara yake kumbuka huyo baba mtoto atakutia mimba ya pili uwachwe tena .....ni mwanamke ndio fake

  • @kaosaomari5888
    @kaosaomari5888 4 ปีที่แล้ว +1

    Terry follow your heart....

  • @maurinekhasila3326
    @maurinekhasila3326 4 ปีที่แล้ว +2

    kuna upusi nawanawake wangine hii kenya yetu

  • @andrewjuma2485
    @andrewjuma2485 4 ปีที่แล้ว +2

    Kupachika mimba. Siyo kudunga

  • @sheilanatwati4098
    @sheilanatwati4098 4 ปีที่แล้ว +4

    Msichana mwenyewe Amejichanganya itamponza. Sai anajifanya anampenda babake mtoto juu anaprovidiwa kwingine. Make decision girl mtaka yote......

  • @raybrankxbalozi3684
    @raybrankxbalozi3684 4 ปีที่แล้ว

    Balozi enjoying your channel all the way 974💪

  • @martinmuthoka7930
    @martinmuthoka7930 4 ปีที่แล้ว +2

    Mnashtukia hamjaongelelea ndoa
    ]

  • @daveyblaze435
    @daveyblaze435 4 ปีที่แล้ว +1

    Singles mothers achana nao... Unless baba mtoto ni marehemu

  • @adhiambofm4475
    @adhiambofm4475 4 ปีที่แล้ว +7

    Never allow baby daddy who to come and see your kid in your house never never never This is cheap business

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 4 ปีที่แล้ว

      Eeeeh mwingine alikuja ati babamtoto nakuvua shati ati joto laniuliza chakunywa nikampa soda Moto akaenda kapsa mmmmmmcccchhhhwwweeeeee shenzi Type😎😎🏃🏃🏃🏃🏃

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 4 ปีที่แล้ว

      See how much of an idiot you are. That is his kid too. Her house is nothing special for the man, were it not for the logistics of moving around with such a little kid.

  • @puritykarimi6113
    @puritykarimi6113 4 ปีที่แล้ว +30

    Marry a man who loves you not the man you love.

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 4 ปีที่แล้ว

      @purity karimi, on this you have your ogic upside down...

    • @KefaTraveller
      @KefaTraveller 4 ปีที่แล้ว

      @@mystyjakanyango4079 no Purity is right, huyo baba mtoto hayuko serious

    • @mseeokuta6612
      @mseeokuta6612 4 ปีที่แล้ว

      Purity Karimi and verse versa to men

    • @ritanofear4634
      @ritanofear4634 4 ปีที่แล้ว

      U can say that again🙏

  • @tobiasmumbo4588
    @tobiasmumbo4588 4 ปีที่แล้ว +1

    Team youtube tuko rada every episode check

  • @graceblessings2113
    @graceblessings2113 4 ปีที่แล้ว +1

    Mary please baki na mwenye anakupenda don't love wait to be loved

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 4 ปีที่แล้ว +2

    Bfore aendelee na mapenzi terry a make sure asi waste time ya huyu boy a stick place moja bure akifanya ile kitu haifai huyu boy mwenye sio buda mtoi ataeza fanya kitu mbaya sanaa

  • @valentineasiko5228
    @valentineasiko5228 3 ปีที่แล้ว +1

    Terry na mimi no different aki sijui mbona

  • @bekatv1009
    @bekatv1009 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapa kuna noma

  • @esthernzisa6284
    @esthernzisa6284 4 ปีที่แล้ว

    Confused generation. GOD of the youth help them.

  • @andrewwafula5775
    @andrewwafula5775 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndo shida ya kupenda dem mwenye mtoto apo ziii

  • @wanjoki1
    @wanjoki1 4 ปีที่แล้ว

    Mwakideu una maswali waaaa😃😃😃

  • @martinmuthoka7930
    @martinmuthoka7930 4 ปีที่แล้ว +1

    Baridi ndio inachangia sana

  • @annemuoria0893
    @annemuoria0893 4 ปีที่แล้ว +2

    It's a bit tricky 👌

  • @winnieodhiambo3511
    @winnieodhiambo3511 4 ปีที่แล้ว +4

    Baba mtoto makachietha...!!

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 4 ปีที่แล้ว

      @winnie, are you a single mother? If you have a son, you will soon wish you had shown a little sympathy to the man you are referring to as '...chietha'. May be you won't.

    • @akinyiokeyo4618
      @akinyiokeyo4618 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mystyjakanyango4079 in what way?

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 4 ปีที่แล้ว +1

      @@akinyiokeyo4618 I see you have little experience and thus unable to see the stupidity frothing from Winnie's mind. We see all the time, how frustrated such carelessly talking women are all over the globe. Most of their sons wallow in the same harrowing disappointment which this caretaker guy is soon finding himself in. Where are the wise women these days!

  • @princessshamim6539
    @princessshamim6539 4 ปีที่แล้ว +4

    Baba mtoto is just wasting ur time,using you.coz anakukol akikutaka,hana tyme yko,lakn ww unamuonyesha unampenda na amekusoma ujinga amejua uezi muacha.kwanza anaona mtoto kama nani wangapi wanalea bila baba songa mbele kama injili.usije ukajitia kitanzi

  • @salomegoogle7207
    @salomegoogle7207 4 ปีที่แล้ว +2

    abaki na huyele asiye baba mtoto

  • @ochiengkenrazy9998
    @ochiengkenrazy9998 4 ปีที่แล้ว

    Iyo ndo ubaya wa kupenda mke mwenye ana mtoi,

  • @ellyemily4234
    @ellyemily4234 4 ปีที่แล้ว +1

    Jalas bana Kuna tofauti Kati ya wagonjwa na wajinga, huyo Ni mjinga hata picha hapo aonii.. kuwa huyo jamaa wa mtoto Ni mkoraa... Aiii mtanzania jeuri hapa

  • @DanMlayah
    @DanMlayah 4 ปีที่แล้ว +4

    We are all sympathizing with that lady,which is justifiable. But what about that man mwenye anapenda huyo dem ilhali ako na mtoto na si wake,huyo jamaa akijua the lady is not into her,atafeel aje pia yeye ? Akijua katiba wanasoma wakiwa wawili ? Somethings though.

    • @ndondiafrika249
      @ndondiafrika249 4 ปีที่แล้ว +3

      true.... Society often sympathizes with the woman. It's unfortunate that the man who loves a single mother often loses

    • @DanMlayah
      @DanMlayah 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ndondiafrika249 Exactly Sir,my sentiments too. We should all explore the three sides of a coin.

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 4 ปีที่แล้ว +1

      @@DanMlayah The second man is already loosing big. Investing in the woman, yet sharing katiba with the baby's dad. Wait until it comes to disciplining the kid! The woman will spew hell on him. Sad. I wish he wakes up from his slumber and run for his dear life.

  • @mystyjakanyango4079
    @mystyjakanyango4079 4 ปีที่แล้ว +2

    Young woman, go with the baby's dad, or remain single. You know why you parted ways with baby daddy. I sympathize with this other guy, because you are transferring all the baggage to him. He is like your emotional tampon, yet he won't even be able to discipline the kid without you nastily reminding him he isn't the daddy. The woman is playing the victim yet it is this dude who really is. Marrying single mothers is a disaster in this age. Man, I hope you open your eyes and run with your life intact.

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 ปีที่แล้ว +2

    Mapenzi basi mnakwama wapi madem

  • @mvranger
    @mvranger 4 ปีที่แล้ว

    1.Usiwai date mwanamke ambaye ana uhusiano wa karibu na baba mtoto.
    2.Usiwai kubali kuolewa na mwanamme hukuzaa naye kama kweli unampenda mtoto wako.. Atampenda mwanzo mwanzo lakini mwishowe utalia chooni.. Kama ni msichana hata huenda akaolewa na huyo mumeo ulimkimbilia ati ananipenda na mtoto wangu.. Chietha..

  • @knamics
    @knamics 4 ปีที่แล้ว +3

    Go for the one you love Terry

    • @mursilmursal
      @mursilmursal 4 ปีที่แล้ว

      Don't cheat this girl that man will waste her atakua anamtumia tu upande ya sex

  • @asnathtv8485
    @asnathtv8485 4 ปีที่แล้ว

    hyo ndio iko sasa hvi mtu kaa hana time na ww huyo ako na wanawake wengi anamcheza Terry oleka kwa huyo jamaa anakupenda

  • @shakejudy2744
    @shakejudy2744 4 ปีที่แล้ว

    This is what we called Hera remoooo

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 4 ปีที่แล้ว +2

    Penda anaye kupenda huyu baba mzazi is taking advantage of you just achana na yeye

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 4 ปีที่แล้ว +1

      @john mwangi, you mean you haven't matured yet as a man after the many years on TH-cam!

  • @floridaalega3844
    @floridaalega3844 4 ปีที่แล้ว +2

    Mapenzi kizungu mkuti 😂😂😂

  • @raylynewakimangoes4185
    @raylynewakimangoes4185 4 ปีที่แล้ว +4

    Baba mtoto unakutumia tu just let him go.

  • @mosestsulai6163
    @mosestsulai6163 4 ปีที่แล้ว

    It's just a love game, let the lady play her part by trying to ignore the babydady atapata anapendwa maybe kabla apewe ball alikua anasumbua uyo boy sana ndo maana na yeye anatendwa kidogo

  • @akinyiokeyo4618
    @akinyiokeyo4618 4 ปีที่แล้ว

    Terry follow your heart ,the heart is not smart...

  • @solomonmuchori5111
    @solomonmuchori5111 4 ปีที่แล้ว +3

    this must crazy you need to make the best decision of your life

  • @estheralbrechtsen8999
    @estheralbrechtsen8999 4 ปีที่แล้ว

    Baba watoto Kenya wanatakiwa wewe wanalipa ngalama ya watoto until watoto wawe 18yrs kila mtoto awa na ngalama yake.

  • @kelvin746100
    @kelvin746100 4 ปีที่แล้ว

    My advice hakuna siku mpira itaanza arsenal 1-0 man utd, always mpira huanza arsenal 0-0 man utd. Terry stick na babake mtoto wako kama kuna vile mnaweza sort issues zenyu mkue pamoja for the sake of mtoto wenyu kindly fanyeni hivo..hawa mababa wakukuja hukua unpredictable Sana..atakudanganya na ma_lovidavi mob ili uone anakupenda once atakuchukua muanza kuishi pamoja hapo ndo utaanza kuona true colours zake...better the devil you know than then angel you don't know..🙌🙌🙌

  • @carolmuthoni9951
    @carolmuthoni9951 4 ปีที่แล้ว +4

    Mapenzi🚮🚮

  • @albeyaura1641
    @albeyaura1641 4 ปีที่แล้ว

    Baki na mtu anayekupenda

  • @fredmankaingu4172
    @fredmankaingu4172 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuro huyo, alikuacha saii unasema unampenda

  • @shantellmuthoni4005
    @shantellmuthoni4005 4 ปีที่แล้ว

    stop being an option luv urself first uwache kutumiwa and go for the one who luv u gal u are blinded with ur baby daddy luv open ur eyes

  • @janegitau6857
    @janegitau6857 4 ปีที่แล้ว

    Wachana na baba mtoto haja yake ni kukutumia

  • @sylviaabuor9494
    @sylviaabuor9494 4 ปีที่แล้ว

    Msichana ni zuzu.wanadada chukueni mwenye anakupenda Sio unaompenda

  • @King-Jack-ryan
    @King-Jack-ryan 4 ปีที่แล้ว +3

    Penda anaye kupenda wachana na unae mpenda wachana na yy atahurt

  • @escapethecrowds5594
    @escapethecrowds5594 4 ปีที่แล้ว

    haha jals unatoa lock ama ni hydrating?

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 4 ปีที่แล้ว

    Baba mtoto ni kitombi, Terry acha ujinga pia wewe hakusaidii na unamgawia nunu, marry the man that loves you

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 4 ปีที่แล้ว +3

    huyo mwanaume red flag kwa mpigo

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 4 ปีที่แล้ว

      @Davinho Jeff 😂😂😂😂

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 4 ปีที่แล้ว

      @Davinho Jeff 😂😂😂

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 4 ปีที่แล้ว +2

    Babamtoto akayange kubwa kubwa 🏃🏃🏃🏃

  • @everlynemulongo7004
    @everlynemulongo7004 4 ปีที่แล้ว

    Aende kwa kijana BBY daddy ni wajinga

  • @olooetos8550
    @olooetos8550 4 ปีที่แล้ว +2

    Mapenzi kizunguzungu😂😂😂