Mbosso - Huyu Hapa (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 2K

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 2 ปีที่แล้ว +107

    Ahsante Kwa wimbo wetu Pendwa Hakika hakuna wa kuupinga, Wangapi tumeirudia hii Nyimbo zaidi ya mara tatu, gonga likes zakutosha tumpe nguvu huyu mwamba Mbosso Khan ❣️❤️👉💪⭐⭐💫💫💥💥📸📸📸📸📸 Video Kaliiiii

    • @Jesus_Saves_Believers
      @Jesus_Saves_Believers 6 หลายเดือนก่อน +4

      Je, unajua kwamba Mungu anakupenda? Yesu Kristo ni Mungu na ni Mwana wa Mungu. Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu na kufufuka tena. Kila amwaminiye Bwana Yesu Kristo atapata uzima wa milele. Mwamini Yesu Kristo kwa uzima wa milele Mbinguni! Yohana 14:6

    • @فوزيةالسكيبي
      @فوزيةالسكيبي 4 หลายเดือนก่อน

      Tunayipenda sana Inatuma tunaanza.mapenzi mapya

    • @WilliamSalumu-d1z
      @WilliamSalumu-d1z 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Jesus_Saves_BelieversHjGhg

  • @mwalimurobsontarimo7491
    @mwalimurobsontarimo7491 2 ปีที่แล้ว +537

    Huyu ndio msanii Bora Africa mashariki ,kama unakubali gonga like hapa

  • @jamesjefwa7233
    @jamesjefwa7233 2 ปีที่แล้ว +22

    Mtu wa kwanza kabisa kutazama chupa ya Mbosso gonga like twende sawa from Kenya namkubali sna Mbosso na wcb wote

  • @carolynewanjiru4662
    @carolynewanjiru4662 2 ปีที่แล้ว +10

    Ii ni ya wakenya nani mwingine amenotice mbosso anafanana na mp salasya wa kakamega😂,makofi Kwa mbosso jamani🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jaredowuor3886
    @jaredowuor3886 ปีที่แล้ว +8

    Lkn ikifika kwa nyimbo za mapenzi mbosso ndo bingwa hapa East Africa💥

  • @dandyafricana
    @dandyafricana 2 ปีที่แล้ว +53

    Wanaomkubali Mbosso kinyama tujuane kwa likes hapa✌️🔥🔥

  • @odontathestingingnettle6337
    @odontathestingingnettle6337 2 ปีที่แล้ว +426

    Lots of love from we Kenyan supporters... Kama mnapenda waKenya tunavyowapenda mnipe likes zangu 500 ishara ya kukubali kazi safi ya mbosso 🇰🇪

  • @kibetyegon6281
    @kibetyegon6281 2 ปีที่แล้ว +22

    Wapi likes za Mbosso kipaja ako nayo mola ashinde awe naye angalau aendelee kutufurahisha na sanaa 🌺🌺🌺🌺

  • @maryammwinyi932
    @maryammwinyi932 2 ปีที่แล้ว +5

    Sisem nae huy dung embe mkurubia zinaaaaaa......uti mwan kaswend🙌🙌

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 2 ปีที่แล้ว +10

    Fire 🔥🔥🔥🔥🔥 much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gonga like tukisonga 🙏

    • @Jesus_Saves_Believers
      @Jesus_Saves_Believers 6 หลายเดือนก่อน

      Je, unajua kwamba Mungu anakupenda? Yesu Kristo ni Mungu na ni Mwana wa Mungu. Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu na kufufuka tena. Kila amwaminiye Bwana Yesu Kristo atapata uzima wa milele. Mwamini Yesu Kristo kwa uzima wa milele Mbinguni! Yohana 3:15

  • @Flesh_moto_band01
    @Flesh_moto_band01 2 ปีที่แล้ว +8

    Umu himu wamboso kwenye wasafi ni mzito sana

  • @brendamusyoka8160
    @brendamusyoka8160 ปีที่แล้ว +5

    My favourite artist..enzi zile za 'Majaabu' .Mbosso you one talented bongo musician. NAKUPENDA BURE...

  • @masterbosco8781
    @masterbosco8781 2 ปีที่แล้ว +8

    Mboso khan mtu mbadi umeua san.... Wanaotaka 1M ndani ya masaa 12 like hapa please.

  • @craraaza
    @craraaza ปีที่แล้ว +1

    Naleo nasikiliza iyingoma✌️💖👍🤸🤸

  • @jontsotsr1854
    @jontsotsr1854 2 ปีที่แล้ว +5

    tumuombee ndugu yetu mbosso kutokana na tatizo lake la moyo🤲atapata nafuu inshallah#my love from lamu kenya

  • @yobrakanye9961
    @yobrakanye9961 ปีที่แล้ว +4

    Huyu Hapa Huyu👌🥰❤️✅masterclass

  • @DogoCharlie
    @DogoCharlie 2 ปีที่แล้ว +13

    King Khan All The Way🔥🔥

  • @diveske1388
    @diveske1388 2 ปีที่แล้ว +127

    This Dude maze ❤️ let's approve this song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @DieuvilesDELIUS
    @DieuvilesDELIUS 2 ปีที่แล้ว +7

    Citadelle Laferriere of HAÏTI 🇭🇹🇭🇹🇹🇿🇹🇿 Thanks you MBOSSO

  • @touristmorgan4090
    @touristmorgan4090 2 ปีที่แล้ว +2

    Sijawahi comment kwa mbosso kabsa this my first time,,,kwa hili goma nimeshamkubali ni one of the best artist ever nipeni likes sasa

  • @laoiyadi1176
    @laoiyadi1176 2 ปีที่แล้ว +113

    Mbosso is reward to African music 🎶🎶 let's go 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️

  • @Makavelithedon2086
    @Makavelithedon2086 2 ปีที่แล้ว +812

    *Wanaomkubali Mbosso tujuane gonga like*

  • @Itslovedropmedia
    @Itslovedropmedia 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu hapa nampenda mbosso
    Mnifikisheni 2k
    Watu wa Khan😊😊

  • @twosugars966
    @twosugars966 2 ปีที่แล้ว +5

    Wa TZ nipeeni uyu kijana nijilele aki😊😂😂😂😂🇰🇪🇨🇦Mbosso

  • @frankcosmas153
    @frankcosmas153 2 ปีที่แล้ว +2

    Dunia na hasa Tanzania kuna uhaba wa ubunifu katika videos..Mambo yanajirudiarudia sana..Ongezeni ubunifu mtengeneze video tofauti..Wimbo mzuri video zilezile.

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว +119

    Tanzanians let's be proud of this huge talent.. KINGKHAN ❤️😉😉

  • @fei_faith9738
    @fei_faith9738 2 ปีที่แล้ว +18

    KING khan much love from Kenya 🔥🔥🔥🔥🚀🚀🚀🚀👑👑👑👑❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AllanObare
    @AllanObare 2 ปีที่แล้ว +44

    Kama unamkubali Mbosso, gonga like tukisonga. 💪

  • @fatmaiddy7229
    @fatmaiddy7229 ปีที่แล้ว +2

    Mbosso yupo pambe sana namkubali sana

  • @tilassimukanzye5404
    @tilassimukanzye5404 ปีที่แล้ว +19

    Tanzania you don't know how much we love you from Zambia

  • @thebinai
    @thebinai 2 ปีที่แล้ว +13

    All the way from Kenya wapi like zetu funs wake Mbosso kutoka Kenya

  • @emmanuelnicholaus508
    @emmanuelnicholaus508 2 ปีที่แล้ว +7

    wa kwanza leo naombeni like za kutosha huyu jamaa yuko moto hatari🔥🔥🔥

  • @adypraizemusic661
    @adypraizemusic661 2 ปีที่แล้ว +22

    Hii song hua moto fire 🔥🔥🔥.. I have to play it daily... From Kenya we respect Mbosso sana... Keep it up and real Broo.. you got our support.

  • @imkarner
    @imkarner ปีที่แล้ว

    Haha haha... Mboso ni mbaya kweli kweli kwenye mambo ya mapenzi. Una deserve kuwa Shahrukh bana 😂😂😂😂. I love this song 🎵 too much ❤

  • @nommadjmusic
    @nommadjmusic 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Hapa *Mbosso* ni nommasana

  • @AishaChangoma-z3h
    @AishaChangoma-z3h ปีที่แล้ว +3

    Mungu amlaze pema palipo na wema peponi inshaallah

  • @eliasdausi2897
    @eliasdausi2897 ปีที่แล้ว +8

    Am a full African from Zambia i personally give this song 100%❤❤❤ continue with the same spirit and talent huyu hapa

  • @IExploreTanzania
    @IExploreTanzania 2 ปีที่แล้ว +4

    Director Katufelisha! Video Chenga, Quality Hovyoo! Khaaaa Katuharibia Wimbo wetu.!

    • @suleyimanmsabaha4976
      @suleyimanmsabaha4976 2 ปีที่แล้ว +1

      Mm nahic cmu yako ndugu ndo mbovu

    • @IExploreTanzania
      @IExploreTanzania 2 ปีที่แล้ว +1

      @@suleyimanmsabaha4976 hujui Kuhusu Quality Thats why huwezi Jua nnachoongelea.! Kama Unatumia Tecno na Infinix huwezi Elewa nnachoongelea

    • @suleyimanmsabaha4976
      @suleyimanmsabaha4976 2 ปีที่แล้ว +1

      @@IExploreTanzania mm natumia iPhone naona ipo clear kabisa but hiyo brownwish colour ni editing ya director mwenyewe coz kaassume ukale mwanangu

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 2 ปีที่แล้ว

      @@IExploreTanzania ipo clear, inawezekana ni setting ya simu yako

  • @jejemingasmatiaswcbsimba7552
    @jejemingasmatiaswcbsimba7552 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbosso noma wasafi

  • @ndikumanaannaa5259
    @ndikumanaannaa5259 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana mujomba wangu mbosso

  • @kralboy
    @kralboy 2 ปีที่แล้ว +17

    Tunao amini iyi nyimbo inaenda Fanya vizuri gonga like 🔥💥🐉

  • @princedishan4697
    @princedishan4697 2 ปีที่แล้ว +41

    Much love from Kenya si Leo mnifikisheni 1k subscribers 🇰🇪🇰🇪 wapi likes za mbosso ❤️❤️

    • @branismirenja5654
      @branismirenja5654 2 ปีที่แล้ว +1

      Pitia kwangu pia ❤️‍🔥❤️‍🔥

    • @princedishan4697
      @princedishan4697 2 ปีที่แล้ว

      @@branismirenja5654 tayari

    • @bethabazil
      @bethabazil ปีที่แล้ว

      YES IT'S TRUE DEAR

    • @bethabazil
      @bethabazil ปีที่แล้ว

      👍👍👍👍👍👍

  • @alvine-dav
    @alvine-dav 2 ปีที่แล้ว +12

    Je pense je suis le premier à visualiser cette vidéo, je suis Alvine depuis la République Démocratique du Congo, courage mon artiste, je suis un grand fan à toi hiyi ni kazi kubwa

  • @elvinechepkwemoi131
    @elvinechepkwemoi131 2 ปีที่แล้ว

    mbosso hongera sana unajua kuliko hata mondi .nyimbo nikiuskiza hapa 254 najipenda mwenyewe

  • @millicentbarasa6766
    @millicentbarasa6766 ปีที่แล้ว +2

    Huyu hapa anaview TH-cam🥰🥰🥰🇰🇪🇰🇪❤️💯

  • @sanchostylist...9719
    @sanchostylist...9719 2 ปีที่แล้ว +18

    ikija Kwenye Ukali na Gharama Za Video...Wasafi Shkamoo Video Haiboeshi🇰🇪🙌🌍

    • @Jesus_Saves_Believers
      @Jesus_Saves_Believers 6 หลายเดือนก่อน

      Je, unajua kwamba Mungu anakupenda? Yesu Kristo ni Mungu na ni Mwana wa Mungu. Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu na kufufuka tena. Kila amwaminiye Bwana Yesu Kristo atapata uzima wa milele. Mwamini Yesu Kristo kwa uzima wa milele Mbinguni! Yohana 1:12

  • @petermaseke9221
    @petermaseke9221 2 ปีที่แล้ว +4

    Kama na ww umekua makini kuangalia tilili kama mm gonga like WCB hatunaga mba mba mba aaaa 🔥🔥🔥🙏🙏

  • @musakuyateh46
    @musakuyateh46 2 ปีที่แล้ว +13

    My best star🌟 in Tanzania I love you from the Gambia 🇬🇲🇬🇲🇬🇲🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @judithologi4392
    @judithologi4392 ปีที่แล้ว +1

    Baaas, kwa wale wanafiki walionichukia nawaambia bado napendwa...❤

  • @cathrinemuuo6207
    @cathrinemuuo6207 ปีที่แล้ว +1

    Mbosso napenda kuimba kwako Sana endelea hivyo from Kenya

  • @mrssalim5769
    @mrssalim5769 2 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah MashaAllah congratulations Mbosso. More blessings more money. Global way

  • @mayalalupimo5709
    @mayalalupimo5709 2 ปีที่แล้ว +28

    Mbosso Khan for life🔥🔥🔥🔥naomba likes zangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🙌🙌🙌

  • @DONSILYO2GA
    @DONSILYO2GA 2 ปีที่แล้ว +33

    Love from Haiti 🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹 viva Africa viva Haiti

    • @iddykisome3126
      @iddykisome3126 2 ปีที่แล้ว +1

      We love you too from Tanzania

  • @hawahawa8166
    @hawahawa8166 2 ปีที่แล้ว

    weeeeee mboso nyimbo Kali mpaka Kali tena.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @diakissd8353
    @diakissd8353 2 ปีที่แล้ว

    Kakangu Mboso nakupenda Sana nimimi Musanihi toka DRCongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @jacklineamisi763
    @jacklineamisi763 2 ปีที่แล้ว +33

    This guy is so romantic...He never disappoint ..He is on a higher level...Go on .

    • @dorenkinzi1730
      @dorenkinzi1730 ปีที่แล้ว +2

      I wish he was more romantic in real life🤔. Ama ni madem wanamfanyia Ile kitu🤦

    • @jacklineamisi763
      @jacklineamisi763 ปีที่แล้ว +1

      @@dorenkinzi1730 Kitu gani dear 😁😁👍❤️

    • @dorenkinzi1730
      @dorenkinzi1730 ปีที่แล้ว +2

      @@jacklineamisi763 Character development😅😅

    • @jacklineamisi763
      @jacklineamisi763 ปีที่แล้ว +2

      @@dorenkinzi1730 You are so funny kaschana😁😁❤️

  • @mayalalupimo5709
    @mayalalupimo5709 2 ปีที่แล้ว +4

    Mbosso 4 life#2022 to infinity....mbosso nijibu nivimbe

  • @DeAmoricOnlineMedia
    @DeAmoricOnlineMedia 2 ปีที่แล้ว +563

    The way we 🇰🇪 +254 consume Tanzanian songs is on another level. We give credit where it's due
    Like tukisonga 🔥🔥🎤💯

    • @mirriamkiama6036
      @mirriamkiama6036 2 ปีที่แล้ว +12

      Kabisa 🇰🇪

    • @khamisndembo4336
      @khamisndembo4336 2 ปีที่แล้ว +3

      video Kali

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 2 ปีที่แล้ว +2

      We relate, that makes everything likeable both ways🇹🇿

    • @nianimaarifa
      @nianimaarifa 2 ปีที่แล้ว +2

      Much respect! We appreciate!

    • @munene1982
      @munene1982 2 ปีที่แล้ว +2

      Umeskiza speech ya master J anaambia watz waimbe ngoma zao pekee si za countrt zingine. 😂si poa

  • @CherissaIGIRANEZA
    @CherissaIGIRANEZA 6 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda saaana Mbosso wangu! Nataka nikukuone

  • @RehemaSaid-r4h
    @RehemaSaid-r4h หลายเดือนก่อน

    Wanao angalia wimbo huu mwaka wa 2024 tujuane apa❤❤❤❤❤❤❤

  • @alphonceamon5419
    @alphonceamon5419 2 ปีที่แล้ว +3

    Wanao mkubali kyline mbape wanyoshe mkono juu🙋

  • @vanessa-vavandikumwenayo2757
    @vanessa-vavandikumwenayo2757 2 ปีที่แล้ว +5

    Another hit🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kama unamkubali Mbosso gonga like hapo tujuane

  • @bongiweshabalala3905
    @bongiweshabalala3905 ปีที่แล้ว +13

    I don't understand the language,i'm zulu from South africa but i love this song 🇿🇦.

    • @magrethpeter6049
      @magrethpeter6049 ปีที่แล้ว

      Thank u ❤❤Swahili language

    • @Debolsh
      @Debolsh 9 หลายเดือนก่อน

      Even me

    • @LesediAngelMhlongo
      @LesediAngelMhlongo 8 หลายเดือนก่อน

      I'm a South African, I even know how to sing it even though I don't understand. I only understand "nakupenda"

  • @paulyneMercyPaula
    @paulyneMercyPaula 2 ปีที่แล้ว

    Nakuombea Maulana akupe afya teletele. Mangonjwa sio sehemu yako kakangu🙏🙏🙏

  • @joshuanjoroge9924
    @joshuanjoroge9924 ปีที่แล้ว

    Sina la kusema. Naipenda bado. Moto sana kutoka Kwa mbosso 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @achraaf-diinadam1369
    @achraaf-diinadam1369 2 ปีที่แล้ว +22

    Respect Mbosso. Love u depuis le TOGO 🇹🇬

  • @jirani
    @jirani 2 ปีที่แล้ว +4

    Team KENYA Oyeeeeeeeeeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Uyu hapa babangu ki mzikiiiiiiii💖 Khan to the world 🌍

  • @huzeinmohaa1304
    @huzeinmohaa1304 2 ปีที่แล้ว +13

    Mbossoo khan love
    From Kenya 🇰🇪 if you love this man hit the like manze

  • @CeleKazadi-c3h
    @CeleKazadi-c3h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wa Congo tujuane

  • @MoreChilekwa
    @MoreChilekwa 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbosso my favorite artist ❤❤❤ well done 👍✅🇿🇲🇿🇲

  • @shedrackmulu3829
    @shedrackmulu3829 2 ปีที่แล้ว +11

    Love for mbosso from Kenya😍 #Huyu hapa 🔥

  • @akbarrich257
    @akbarrich257 2 ปีที่แล้ว +28

    Wakwaanzaaa kutoka Burundiii
    Gonga likee apaa🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿

  • @Djibril_Rwa
    @Djibril_Rwa 2 ปีที่แล้ว +43

    Tanzania 🇹🇿 songs to another level 😍😍😍😍😍😍love 🇦🇪🇦🇪🇷🇼🇷🇼

  • @mukubamulengu756
    @mukubamulengu756 9 หลายเดือนก่อน +1

    This guy is a 🎉🎉🎉❤ to a lot of people a blessing to Africa.
    From Zambia 🇿🇲 Zambia 🇿🇲

  • @lindahmallya8093
    @lindahmallya8093 ปีที่แล้ว +2

    Wa mwez wa 2 tujuane mwez huu wa makopa

  • @dekabwoy
    @dekabwoy 2 ปีที่แล้ว +10

    Khan never disappoint,much love from 254🙏🎻

  • @josephmulwa.9249
    @josephmulwa.9249 ปีที่แล้ว +7

    Mbosso's lyrical prowess is absolutely unmatched ❤❤. +254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 we're one👌👏👏

  • @THEVILLAGEYOUTUBER001
    @THEVILLAGEYOUTUBER001 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ mboso ii wimbo ,inawauwa wakenya ulifikiria na akili yote , follow golden heart mkenya ,in tittok

  • @jameskarisa343
    @jameskarisa343 ปีที่แล้ว

    Naaminia mboso we kiboko wa wasafi

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty ปีที่แล้ว +3

    WCB forever.... Mbosso for life..👐👐👐👐🦁🦁

  • @brunomasebo5040
    @brunomasebo5040 ปีที่แล้ว +53

    This song will song will definitely play on my traditional wedding.
    I'm very proud to be African.
    Born and raised in Zambia 🇿🇲 with a tanzanian background 🇹🇿

  • @emmanuelboursiquot5230
    @emmanuelboursiquot5230 2 ปีที่แล้ว +11

    I really love the Haitian monument "Citadelle Laferrière " in the first 2 seconds of the video. Beautiful...

  • @dewaldhuman8398
    @dewaldhuman8398 ปีที่แล้ว +2

    Mbosso ni stima
    apo mambo imechamka

  • @catherinenyamae3898
    @catherinenyamae3898 2 ปีที่แล้ว +2

    Hatariiii

  • @gabigielmedia
    @gabigielmedia 2 ปีที่แล้ว +6

    Very composed artist, Good song #mbosso.much love from Kenya

  • @edwardkhisa6017
    @edwardkhisa6017 ปีที่แล้ว +9

    Even if you don't like this man, this song will force you to love him,I salute you mbosso.

    • @shifahhabiibk5529
      @shifahhabiibk5529 ปีที่แล้ว

      And what reason not to like him ❤😊!!!

  • @dinamitecyber6018
    @dinamitecyber6018 2 ปีที่แล้ว +5

    king of love Mbosso Khan 🥰🥵

  • @Jesus_Saves_Believers
    @Jesus_Saves_Believers 6 หลายเดือนก่อน

    Je, unajua kwamba Mungu anakupenda? Yesu Kristo ni Mungu na ni Mwana wa Mungu. Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu na kufufuka tena. Kila amwaminiye Bwana Yesu Kristo atapata uzima wa milele. Mwamini Yesu Kristo kwa uzima wa milele Mbinguni! Yohana 5:24

  • @BrianMayunga-u7l
    @BrianMayunga-u7l ปีที่แล้ว

    mbosso uko juu tuu sana ....#mwingi wa mbegu za kiume

  • @jayden_johnpictures.8281
    @jayden_johnpictures.8281 2 ปีที่แล้ว +69

    Tanzanians Don't know how much Kenyans love 💕 them🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @mwaminikabatooro2632
      @mwaminikabatooro2632 2 ปีที่แล้ว

      We know papa hongela bby

    • @jacktonewanzala3288
      @jacktonewanzala3288 2 ปีที่แล้ว +1

      Wambie ukweli kwa manyimbo tu,uko kwingine ni vita

    • @Blippo-s5l
      @Blippo-s5l 2 ปีที่แล้ว +1

      Do they respond the same ...master Jay alisema wako na ngoma zao and they can't play kenyan songs.lets support our artists tusikue wajinga

    • @Blippo-s5l
      @Blippo-s5l 2 ปีที่แล้ว

      @@jacktonewanzala3288 ata ngoma itabidi ikue vita ...most of their views and subscriptions come from kenya na master Jay bado anabonga shit

    • @roselynenyanda1757
      @roselynenyanda1757 2 ปีที่แล้ว

      we love you back

  • @yassinsimiyu5156
    @yassinsimiyu5156 2 ปีที่แล้ว +4

    Those watching in 2050 ..this guy was once under Diamond platnumz label

  • @Officialwilis
    @Officialwilis 2 ปีที่แล้ว +24

    Much love from Kenya😍😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AdeleKombela
    @AdeleKombela 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mbosso expert

  • @roselynenyanda1757
    @roselynenyanda1757 2 ปีที่แล้ว

    "UTI mwana KASWENDE???!!" We Mbosso weweee!!

  • @Pantsir-S1M
    @Pantsir-S1M ปีที่แล้ว +2

    This is one of the best songs of this year.

  • @kingmustaofficial7309
    @kingmustaofficial7309 2 ปีที่แล้ว +6

    We Comorians love you Mbosso🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲

  • @afriquecyberguardacademy
    @afriquecyberguardacademy 7 หลายเดือนก่อน

    Mhindi wa Kusini ,bingwa wa mashairi.
    Nakukubali siku zote jembe

  • @AsbiLégal
    @AsbiLégal ปีที่แล้ว +2

    Nampenda mke wangu

  • @forchinthierry
    @forchinthierry ปีที่แล้ว +5

    Highlife in swahili.
    Where my Igbo people
    Much love from Cameroon

  • @shiladeironlady5858
    @shiladeironlady5858 2 ปีที่แล้ว +9

    Kenyans 🇰🇪 lets gather tumpige likes, one of the kings of bongo, mboooooooossssssooooooo💖💖💖