PROFESA J AELEZA SABABU YA LISSU KUPATA MAPOKEZI MAKUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • Aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Chadema , Joseph Haule maarufu Profesa Jay, leo Julai 27,2020 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere amelezea sababu za mapokezi makubwa ya ujio wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho.

ความคิดเห็น • 63

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 ปีที่แล้ว +7

    Mungu anafanya maaajabu sana. Hakuna aliyeamini Tundu Lisu atapona.

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 4 ปีที่แล้ว +2

    Pro.J tunakupenda sana, Mikumi ni wewe Daima na Mikumi ni Chadema Milele

  • @nenolako8522
    @nenolako8522 4 ปีที่แล้ว +3

    Kweli we ni Prof.
    Umeongea vizuri kuliko Musiba.

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ni pendo,ila shetani ni mnyongaji,atukuzwe muumba mbingu na Nchi

  • @deogratiasmassawe4543
    @deogratiasmassawe4543 4 ปีที่แล้ว +1

    Akili kubwa2 ndomaana naipenda chadema iawa2 waelewa sana nawapenda amn wot tuseme peoples

  • @dorismgeni6146
    @dorismgeni6146 4 ปีที่แล้ว +2

    Et Karibu rais so kweli watanzania so vipofu kihivyo wawape walevi nchi Magufuli ndo mteuliwa wa Mungu mtu wa Imani mwenye hofu ya Mungu mstarabu hapendi makuu Hana majivuno mchapakazi Mwenye akili za kimbingu Nakuombea baba Uwe na maisha marefu fanya kazi uloitiwa hapa dunia ukimaliza Mwishowe twende MBINGUNI Aminaa

    • @polebugalama9179
      @polebugalama9179 4 ปีที่แล้ว

      Pumbavu kwani magufur ulijua kabla hajawa Rais kuwa anaweza? Hats tundu lisu ni jembe acheni ujinga nyie

    • @yohanamaingu575
      @yohanamaingu575 4 ปีที่แล้ว

      Lisu my president

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 4 ปีที่แล้ว +8

    Prof Jay anaakili sana

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbunge wetu Mikumi ni People's Power Daima

  • @robertfrank1207
    @robertfrank1207 4 ปีที่แล้ว +1

    Askali wakitulia hivyo hivyo ata kwenye mambo yatakuwa safiiii kabisa ila inaonyesha kuwa kwenye uchaguzi huw wanatumwa ndomana mavulugu huwa yatokea.

  • @stevenkomba5692
    @stevenkomba5692 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka p j kula yangu unayo apa mikumi.

  • @antonymayanga1534
    @antonymayanga1534 4 ปีที่แล้ว +3

    Tunampeenda tunamshuru mungu

  • @mohamedkaraturamohamedkara1085
    @mohamedkaraturamohamedkara1085 4 ปีที่แล้ว +1

    Tumefulah sanaaaaaa jembe letu kujaaaaa

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 4 ปีที่แล้ว +1

    Profesa uko vzr big up sana

  • @milhajiabdallah1681
    @milhajiabdallah1681 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe pr J nawewe

  • @rastaashiraph745
    @rastaashiraph745 4 ปีที่แล้ว

    Respect mbunge wangu

  • @masrergaudens3967
    @masrergaudens3967 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawaonea huruma kwani waliohusika na jaribia LA lisu ndani ya miezi miwili hamtawasikia tena habari yao itasahaulika

  • @hassanmirambo564
    @hassanmirambo564 4 ปีที่แล้ว

    Dudu Baya aliwahi kusema kuwa hata wasanii wa muziki mashoga wamo sasa kwa maneno ya huyu pro j kumsemea huyo aliyedhaminiwa safari zake za ulaya na mwenyekiti wa mashoga duniani inanipa mashaka nilikuwa namkubali sana huyu jamaa kumbe nae ni mshenzi tu

  • @rashidally1149
    @rashidally1149 4 ปีที่แล้ว +3

    Professor toa nyimbo na ww maana wasanii wote wako chama tawala

  • @ahmedtajdin9521
    @ahmedtajdin9521 4 ปีที่แล้ว +1

    Apo nime mkumbuka makonda, ingekua virungu leo

  • @eliyatango3624
    @eliyatango3624 4 ปีที่แล้ว +1

    Kamanda

  • @henryndosi1114
    @henryndosi1114 4 ปีที่แล้ว +3

    Dereva wa lissu yuko wapi

    • @machaggechacha3422
      @machaggechacha3422 4 ปีที่แล้ว

      Chadema keteni dereva wa lisu. Mnamfichia nini? Wengi tunajua mlitaka nyie chadema kumuondoa lisu maana alikuwa tishio la Mbowe. Msitufanye vilaza! Tunajua aliyemfiatua shaba lisu.

  • @ditomwakei2288
    @ditomwakei2288 4 ปีที่แล้ว +1

    Karib lisu

  • @jacobmgumiro156
    @jacobmgumiro156 4 ปีที่แล้ว

    Very smart profes j

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว +2

    Prof J uko vzr dogo

  • @loylekamoy3748
    @loylekamoy3748 4 ปีที่แล้ว +1

    Lisuuuuu

  • @lusekeloadam5755
    @lusekeloadam5755 4 ปีที่แล้ว

    Jay🔥

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 4 ปีที่แล้ว +1

    viva Tundu

  • @hameesmohamed9236
    @hameesmohamed9236 4 ปีที่แล้ว

    Yule jamaa yenu angekuwa bado ni RC wa Dar bas mngechezea virungu sana jana....

    • @hassandeuj2517
      @hassandeuj2517 4 ปีที่แล้ว

      Ayo ya kupigwa ni mambo Ya kawaida sana apa tulipofika sio tena sehem yakuumizana ukishindwa hoja kaa pembeni huwezi siasa kwa sbb siasa sio uadui bali ni hoja ukimuona mmoja anampiga mwenzake basi ujue kashindwa hoja huyoooooooo cc znz tunakuunga mkono lissu rudi Nyumbani uwafundishe sheria ccm

  • @peterolonyokie6713
    @peterolonyokie6713 4 ปีที่แล้ว

    No development policies

  • @gridkibanda2582
    @gridkibanda2582 4 ปีที่แล้ว +1

    Apo vijana wamepata fursa ya kuona uwanja wa air port nashukuru saana police mmewapa vijana cha kusimulia

    • @wahidkombokhamis4330
      @wahidkombokhamis4330 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa maana kuna wengine huo uwanja wa ndege hawajawahi kuingia hata ndani

    • @wahidkombokhamis4330
      @wahidkombokhamis4330 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa maana kuna wengine huo uwanja wa ndege hawajawahi kuingia hata ndani

    • @gridkibanda2582
      @gridkibanda2582 4 ปีที่แล้ว

      Wahidkombo Khamis uko sahihi kabisa apo vijana wengi wanasikiaga tu uwanja wa ndege sasa iyo fursa ilipopatikana wakaenda kuona lakini chadema wasitambe kwamba watu wengine walienda kwa ajili ya Lissu apo watu wanatafuta picha za kupost

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 4 ปีที่แล้ว +1

    Unajuwa jei huwanamkubalisana ilakwakumsifi huyokibalaka msaliti w taifalatz nimemuondolea maksi zotealizonazo maanahuwezikuwabola kama unamuungamkono mbomowataifa

  • @allygambo1618
    @allygambo1618 4 ปีที่แล้ว

    Raisi karibu

  • @willsonjoshua2220
    @willsonjoshua2220 4 ปีที่แล้ว

    Person of people's

  • @mtaninjegere6060
    @mtaninjegere6060 4 ปีที่แล้ว

    Una busara sana unavyoongea

  • @aliabeid6226
    @aliabeid6226 4 ปีที่แล้ว +1

    Dereva wake mbona hakupata hata risasi moja inakuaje hali ya kua alikua unavuni kwake

    • @mshindimshindi9120
      @mshindimshindi9120 4 ปีที่แล้ว

      Ondoa ujinga ulitsaka na dereva apigwe risasi ili unufaikaje? Point yako haihusiani na kinachozungumziwa hapa ndg .isitoshe ni point nyepesi kama supu ya kivuli cha kuku aliyekufa kwa kideri. Mungu ana kusudi na Lisu. Ataifanyia Nchi hii mambo makubwa Sana .

    • @aliabeid6226
      @aliabeid6226 4 ปีที่แล้ว

      @@mshindimshindi9120 hebu sema lissu kafanya nini kubwa mpaka sasa akili yako shelisheli unachelewa akili kila siku na wasnasiasa wanakupa ahadi za uongo unashangilia kuona labda watafanya kuna mtu tayari anafanya mambo yanayotatakiwa unampinga kwasababu kakufungia mifereji yako hupati tena pesa za kuiba au kuuza unga au mzee wako hapati tena kwahiyo unataka aondoke ilimuendlee maisha ya wizi

    • @mshindimshindi9120
      @mshindimshindi9120 4 ปีที่แล้ว

      @@aliabeid6226 huyo unayemshangilia ww anapora pesa za watu hata za wafiwa anachukua ......mnyanganyi anayeamuru watu kupewa kesi za wahujumu uchumi kisa tu hakuna dhamana ukikubali tu kutoa pesa unaachiliwa... Tunataka mtu atakayeheshimu sheria za Nchi.... Hatutaki waporaji na wenye kudhulumu pesa za watu na kugawa mitaani hovyo isitoshe kiuchumi twajidanganya.....

    • @aliabeid6226
      @aliabeid6226 4 ปีที่แล้ว

      @@mshindimshindi9120 asikuwa na macho haambiwi tizama hii nchi ilikua inaendeshwa kifisadi miaka yote hiyo uchimi wake ulikua unategemea hao mafisadi kubalisha huo mfumo lazima watu wakaathirika na wengi watakao athirika ni wale waliokuwa wanategemmea sana hiyo system Magu kaja kubadilihsa hii system ndio maana onaona watu wnegi wanalia lakini ukumbuke kuna watu wananuafika na watanufaika baadae na mfumo mpya na wengi ni wale waliokua na hali za chini china ilipoleta mageuzi ya kiuchumi nchini kwao waliua mafisadi wote na mali zao kuchukuliwa Ghana waliua mafisadi wote hebu tizama wako wapi sasa hivi Magu kafanya busara kawaachia masifadi wnegi mali zao walionyanganywa sasa ndio wanaopiga kelele kama unawajua hao walionyanganywa nenda kawaulize walitajirika vipi kama si kwa wizi

  • @jeremiadaudi5780
    @jeremiadaudi5780 4 ปีที่แล้ว +1

    Haya mlisema haji mbwa nyie huyo mama wenu?

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      Kunya boga

    • @mrh2812
      @mrh2812 4 ปีที่แล้ว

      ao wajumbe tu dawa yako inachemk

  • @yeremiadaninga3629
    @yeremiadaninga3629 4 ปีที่แล้ว

    Du

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 4 ปีที่แล้ว

    Wewe mjinga watukujaa nihakiyao iliwajueselayamgombea ilakwaselazenuzachadema kzmnayo

  • @simonnkane2563
    @simonnkane2563 4 ปีที่แล้ว +1

    HV nilijua unaitwa professor kwa 7bu una akili,huwez leta siasa kwa matukio makubwa ya kitaifa,MTU ambae leo hii kawafanya mjiite na kujivunia na utanzania wenu mumletee dhihaka,siogop kusema hii nchi haiwez endeshwa na mashoga kama lisu alietumwa kuteteresha aman ya taifa hili na mabwana zake,wala haiwez ongozwa na wavuta bangi wanaojiita makamanda kwa idadi ya kesi walizonazo pumbavu zao

    • @misambo7539
      @misambo7539 4 ปีที่แล้ว +1

      Kakojoe ulale wewe na unapoandika jitahidi kuunganisha akili na maoni unayotaka kutoa usitumie muhemko utaandika ujinga siku nyingine.

    • @markoyohana5900
      @markoyohana5900 4 ปีที่แล้ว +1

      Shoga babako

    • @masala8099
      @masala8099 4 ปีที่แล้ว +1

      Simon Nkane kumalamamayako

    • @mbaroukmuhamed2156
      @mbaroukmuhamed2156 4 ปีที่แล้ว +1

      Unajua watanzania walio wengi sio vilaza kama ww Sisi tunajua Kua ccm ndio mafisadi wa nchi hii maana sijaona mpinzani alie tumbuliwa na huyo muhesh Miwa kua ni fisadi sasa wewe km kilaza baki na ukilaza wako tu huko ccm ila utavuna mabua wanufaikaji wala sio ww

    • @mwanshageorge2983
      @mwanshageorge2983 4 ปีที่แล้ว

      Akili za kuambiwa changanya na zako kenge weww