Kuelekea Tanzania ya Viwanda, Kiwanda cha Mabati Bora
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Kuelekea Tanzania ya Viwanda, Kiwanda cha Mabati Bora
Kampuni ya WAJA MABATI inayoshughulika na uuzaji wa mabati yenye ubora wa hali ya juu imetoa ofa ya punguzo la bei pamoja na usafiri mpaka pale unapoyapeleka mabati yako iwe ni saiti au nyumbani.
Kampuni ipo maeneo ya Kisemvule Mkuranga lakini kwa sasa imeweka kambi katika viwanja vya Sabasaba maeneo ya Kurasini, hivyo kwa wewe ambaye upo kwenye ujenzi au unatarajia kujenga fika katika banda la kampuni hiyo uweze kufaidi ofa hiyo.
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit
globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 www.youtube.com
/c/uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
mm naomb kujua bei zake,, jamn.. m naitaj lakin sielew bati vizr
.
Naomba namba yenu plz waja
Naomba namba ya sim naitaji mabati sio ya rangi
Zanzibar vp hamna ofsn za mabatii
Mbali na kupauka langi baada ya miaka mitano je kutu vipi inafanana ubora na hilo la miaka 50 au vipi nijuze mie nahitaji
Habar naulizia mabat na garama zake
Daah kisemvule nimesoma huko
Naomba namba zenu ninashida na amabati yakiwanda chenu
Naomba namba tafadhar
Mkoa wa Tabora wap mnapatikana?
Naomba namba zenuu
Mimi Niko najenga vikindu nitawapata inshallah
Jiran yngu wavikindu
Unaongea Sana aaah
Vp nataka batiza tailiz bandit nibei gan za G30?
Tanga mim ninashida na bat vip number nitapataj