FAIDA ZA MIONZI HIZI HAPA, TAEC YAWANOA WAATAMU WANAOZITUMIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Wataalam wanaotumia Mashine za mionzi kwa ajili ya matibabu ya magojwa kutoka hopitali mbalimba nchini wamepatiwa mafunzo ya Kitaifa ya Usalama wa Mionzi yanayoendeshwa mara moja kwa mwaka na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) iliyopo jijini Arusha.
Kwa mujibu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania TAEC Mafunzo hayo ni ya siku tano yakilenga kuwaongezea ujuzi na utaalamu wa namna ya kujilinda na kuwalinda wateja wao hasa wakati huu ambapo kuna mabadiliko ya kiteknolojia na vifaa mbalimbali wanavyovituia katika shughuli zao.
Baadhi ya washiriki wanasema mafunzo hayo pia yatawaongezea ujuzi wa utambuzi wa vifaa bora wanavyovitumia, kabla ya ukaguzi na oparesheni ya Tume ya nguvu za Atomiki kwenye maeneo yao ya kazi
FAIDA ZA MIONZI HIZI HAPA, TAEC YAWANOA WAATAMU WANAOZITUMIA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm