Ingekuwa mishahara ya hivi watu wengi wangekuwa wanamilki club, kocha mgen hawezi kulipwa pesa ya chai kama hii, ukimtoa Ayoub hakna anayemzid shabalala mshahara
hata kwa makadilio ni ndogo.....kwa mfano unaweza kuamn Kocha Fadru alipwe million 15 kweli? yan apo kuna kod ya nch kuna kodi yakwao kuna watu aliowaajili wote aje alipwe 15
Jamaaa unazingua sana
Ingekuwa mishahara ya hivi watu wengi wangekuwa wanamilki club, kocha mgen hawezi kulipwa pesa ya chai kama hii, ukimtoa Ayoub hakna anayemzid shabalala mshahara
Hajatoka kwa p huyu
Umekosa kazi ya kufanya jamaaa yetu
Na kweli huna cha kutangaza. Tafuta habari yenye maana
Huyu Hana akili kabisa kama una unsubscribe fanya mapema hii sio channel kabisa
Umekosa kazi 😅😅
Nisubscribe kwa kipi unatupa porojo tu
Umekosa kz yakufany
Ovyooooooooo
Wewe ni chizi
Kaka hawajakuelewa wewe umesema makidilio sio uhalisia sema watu wanakulupuka
Umetisha sana mwanangu
hata kwa makadilio ni ndogo.....kwa mfano unaweza kuamn Kocha Fadru alipwe million 15 kweli? yan apo kuna kod ya nch kuna kodi yakwao kuna watu aliowaajili wote aje alipwe 15
Ndio shida ya kukurupuka 😂😂
Unazingua wewe