These are kind of people president Ruto is keeping as friends, someone who can not read the environment and know when to talk and when to keep quiet, we are watching you
Stop nonsense.... hii issue ya kupereka pesa Harambees every week more than a million per week , where do you get this money from ..??. This is our public money you are siphoning..
@@anonymous43890 tenders aren't and shouldn't be awarded to people who have no experience in that field. This is the corruption that made people go to the streets.
Kwani wakale nyie biashara zenyu huunda faida 100times coz huyu ni juzi anasema alikua anauza matunda saizi ni billionaire time will come kiburi itaisha Matiangi is coming if not soon is sooner
Enda ongea hiyo kwa bunge. Mbona umeficha kwa nyumba wewe na Zakayo? Hamutembei freely in your own country.! Why? You claim to have power, toka nje kama wewe ni mwanaume uongee kama vile Khalwale anaongea akiwa na wananchi nje. Convert hiyo Timba XO ikuwe kanisa before uende kujenga kanisa Kakamega
Wacha kiburi....pesa sio shida ....utaacha hizo pesa unadhani zinakufanya kuwa mfalme na tutazila na tugawiye Hadi chokoraa na Malaya wote unaona hawana pesa
Our Tax money, Cdf, Mikopo, etc, yet no enough Teachers, Medics and Job creations, development?. Sad, Sad!. 😢Hatuamini umaskini lakini mukitupora to enrich yourselves is what we are fed up with!. Most Kenyans live by hardwork and genuine means to acquire wealth, but these Politicians, just 2years and you are so wealthy. What is that game you are playing to enrich yourselves?, you make it appear the rest of us hardworking Kenyans we don't have Financial intelligence of your capacity!. Wacheni wizi!!!.
Hizo pesa zote mnapaleka kanisa kufanya nini majority of the hustlers are languishing in poverty.. Hustlers do servive with one meal only in a day.,,their children are not going to school, watu hawana makao.. People are suffering.!!! Here you are, exposing millions. Kwanza muachane n kiburi. Fanyani fundraising, raise millions and assist those students not going to school,,, patiane the suffering citizens wenye hawana makao pahali pankuita nyumbani with those millions, nunulia wananchi chakula with those millions you are showing us... If you'll do this.. Then you are blessed, Already you'll see the kingdom of God though Am not the one to judge but all these will give you credit bro. Otherwise whatever unapaleleka kwa kanisa means nothing to us,, zaidia suffering citizens.. Unapelekeaje pastor those millions.. A pastor who's already cruising in a V8.. How shually??? Let that sink very well into your mind engineer. Zaidiene wananchi.. Infact we don't mind penye pesa zinatoka lakini Zaidieni suffering wananchi. Sorry if by any means this message imekuguza. 😂
I don't blame sudi talking this things ...this shows his level of understanding...he is royal to the president coz his hands are deep in the pot stealing Kenyan money ....yeye na matunda na mkubwa wake ni kuku
Kenya na wakenya imebaki kuuzwa na hawa MPs kila MP awake yake Kwa mfuko.nowaday the simplest way to get quick rich is to cheat Kenyans to elect then stealing.your rich overnight.
Kwani kanisa kuko na nini special kuliko childrens homes and oldage homes. Mashetani zimewajaa kwa vichwa zenyu na hao rogue pastors wenyu. Yinyi ni wakora na pesa mnaiba kwa siri kali but wacheni Mungu wetu aitwe Mungu atawaanika mshangae. Remenber there is time for everything, time to steal and time to pay back.
Mr.Sudi,I had asked you in one of your videos that kindly give me that your watch you are talking about as brother I’m waiting for your response because I like your watch. Barasa gave his 👞,his jacket 🧥 his shirt 👕 etc to those who asked him.
Sudi, it's wise to be silent at the time of grief and anger from Kenyans.How did you win 300million ksh tender with Nairobi County Council? The streets are filthy beyond comprehension. Where do you get all the money that you are taking in sacks to the corrupt churches? Stop stiring and provoking people more than they are towards you and your friends..
😂😂😂😂Seali tu kwa hizi makasisi wa kanisa. Pesa ya kutoka Timba XO ya kuuza whiskey ikitolewa kwa mchango ya kanisa huwa munaosha kwanza na damu ya yesu kitambo mukule? 😅😅😅😂😂
Sudi wacha uchawi wa kichwa. Ulikuwa unafikilia mtaiba kenya mikele. Stop your noncences. Boni has right. You are the people who are bringing ruto down. Sudi hii maringo yako na kiburi sitaisha very soon. Millionens mnatowa wapi every werkend with ndindi. Umeshiba funga mdomo.
BW Oscar shida ni responding immediately... sometimes silence is very important...the more unafwatilia the more they will attack you....the mind you had ukiuza matunda the same ideology should keep existing... maintain silence it will benefit you
Stop the stealing, u're corrupt Mr sudi Wacha wizi
Stealing your mother's birth canal ?
Show us your tax returns, and we will know the kind of businesses you have
About you show us yours 1st
Mwizi amejibu Dr!. Confused Government shindwe saitani.
Which doctor of animals
@@jav856full Doctor
@@jav856 Human beings are animals read your biology
Sudi please keep quiet. You are fueling public anger.
Public anger ? Avoid your idiocy
@@bitutuatemba2164yes the dimwit is fuelling public anger
Public Gani.. kwenda kapisa 😂
Sudi endelea 😉👍👍👍👍
Why do you listen to him. Leave sudi alone. You have done your worst
I said it n I will repeat ‘ the cookie that was stolen from the Kenyan people will crumble from within’ here we go…
These are kind of people president Ruto is keeping as friends, someone who can not read the environment and know when to talk and when to keep quiet, we are watching you
Stop nonsense.... hii issue ya kupereka pesa Harambees every week more than a million per week , where do you get this money from ..??. This is our public money you are siphoning..
Hizi harambee haiwezi fanywa kwa hospitali ama kwa shule??
Mumepora Kenya imeisha
Nashukuru kama tumefunguka macho wengi
Remember: Pride comes before a fall.
Pesa huisha bwanaaa.
Judgement is real😊
Exactly nina amin hivyo hata mobuto alikufa zero na familia yake hawana kitu sasa.
Sudi,advice your UDA members to keep off camera, every time you people speak you makes us Kenyans angry
You earn 300 million for garbage collection in Nairobi county, how did you get the tender
Using his brain
@@jav856How convenient for a politician to win the tender. Thieves also use their ‘brains’ to steal. You are the problem!
Tender u apply like others were u there and denied ?? Tumia akili na uache akili za kimaskini
Acha wivu na utumie akili
@@anonymous43890 tenders aren't and shouldn't be awarded to people who have no experience in that field.
This is the corruption that made people go to the streets.
Unajua wizi sana!
This man is very corrupt....You are on borrowed time Sudi!
During general Election of 2013 I saw Sudi carry bundles of notes in paper bags then alighting in a chopper at Nandi Hills town, that guy has money
Mungu akusaidie na hio ujeuri yako
Kwani wakale nyie biashara zenyu huunda faida 100times coz huyu ni juzi anasema alikua anauza matunda saizi ni billionaire time will come kiburi itaisha Matiangi is coming if not soon is sooner
hatutaki managing broh.tutafte omtatat
You can tell alot about a person by the company he keeps, Ruto's adviser.
unaendelea kua sura mbaya sana ukiendelea kuongea matope na utajiri na pesa za shetani
Kazi ya umakanga unaweza pata hata mia bili ya kupeleka church?
Ongea kizungu. kiswahili inatuchanga!
Wewe ni mwizi ulitoa wapi pesa na hujui kusoma hata kiswahili 😢😅😅ulipitia wapi ukakua mp
Alitumia akili we juu umesoma ukona nini, acha wivu na njaa mzee
@@anonymous43890 matako wewe niko na mamako🙄🙄
@@hillarymure530 ni sawa lakini tumia akili acha wivu na utafute pesa shoga wewe
im glad they are fightine one another 😂😂😂😂God has exposed the..confused themn
Enda ongea hiyo kwa bunge. Mbona umeficha kwa nyumba wewe na Zakayo? Hamutembei freely in your own country.! Why? You claim to have power, toka nje kama wewe ni mwanaume uongee kama vile Khalwale anaongea akiwa na wananchi nje. Convert hiyo Timba XO ikuwe kanisa before uende kujenga kanisa Kakamega
This guy is pathetic. He can be a saint if he keeps his mouth shut.
Foolish don't steal our money then you think you're smart tham others
Wacha kiburi....pesa sio shida ....utaacha hizo pesa unadhani zinakufanya kuwa mfalme na tutazila na tugawiye Hadi chokoraa na Malaya wote unaona hawana pesa
Mmetumia sana Kanisa kuosha pesa. Just you wait 2027 sio mbali we will recover all.
I understand you sir, when you are poor nobody speaks but ukipata utajiri, wanaanza matusi. People who believe so much in poverty
Sudi acha kudharao watu ukishiba funikia tumbo
Our Tax money, Cdf, Mikopo, etc, yet no enough Teachers, Medics and Job creations, development?. Sad, Sad!. 😢Hatuamini umaskini lakini mukitupora to enrich yourselves is
what we are fed up with!. Most Kenyans live by hardwork and genuine means to acquire wealth, but these Politicians, just 2years and you are so wealthy. What is that game you are playing to enrich yourselves?, you make it appear the rest of us hardworking Kenyans we don't have Financial intelligence of your capacity!. Wacheni wizi!!!.
Mwambie wao ua hawatoi ata dururu wanakuranga mudomo yao na kiberebere
Ewe Mungu nisalimie 😅
Walai watu wa Kapsaret mkirudisha huyu nitajua hamna kichwa mzuri.Naskia ata Bunge haendangi .Reject corrupt politicians .
This message is ridiculous, childish and uncalled for. Just call him and talk to him. Don't involve kenya in your issues 😠
God will deal with you
Hizo pesa zote mnapaleka kanisa kufanya nini majority of the hustlers are languishing in poverty.. Hustlers do servive with one meal only in a day.,,their children are not going to school, watu hawana makao.. People are suffering.!!!
Here you are, exposing millions.
Kwanza muachane n kiburi.
Fanyani fundraising, raise millions and assist those students not going to school,,, patiane the suffering citizens wenye hawana makao pahali pankuita nyumbani with those millions, nunulia wananchi chakula with those millions you are showing us... If you'll do this.. Then you are blessed, Already you'll see the kingdom of God though Am not the one to judge but all these will give you credit bro. Otherwise whatever unapaleleka kwa kanisa means nothing to us,, zaidia suffering citizens.. Unapelekeaje pastor those millions.. A pastor who's already cruising in a V8.. How shually???
Let that sink very well into your mind engineer. Zaidiene wananchi.. Infact we don't mind penye pesa zinatoka lakini Zaidieni suffering wananchi.
Sorry if by any means this message imekuguza. 😂
I don't blame sudi talking this things ...this shows his level of understanding...he is royal to the president coz his hands are deep in the pot stealing Kenyan money ....yeye na matunda na mkubwa wake ni kuku
With friends like sudi, ruto does not need enemies
Viongozi wetu msituone tena sisi yakuwa ni wajinga,, ile kitu nawashauri wekeni mitandao kando mfanye kazi na msipande miwa kando ya shule.
Sudi tell them the truth akili ni nywele si masomo peke yake
mbwa wewe nyamaza unajua mungu kweli warongo ni wenu na raisi wenu
Kenya. Is this an MP talking?
Eh kumbe pressure ya kizungu imefanya sai jamaa anaongea a little English 😂😂
Umbwa wewe ,sudi before Ruto akue president haukuwa na doo sema ukweli
Just talk in parliament instead of kujibu watu wako na akili kama doct K
Ozicca sudi funga iyo mudomo wako umekaa kama nyabu yapunda matako yanyani wewe kwanda uko
Kenya na wakenya imebaki kuuzwa na hawa MPs kila MP awake yake Kwa mfuko.nowaday the simplest way to get quick rich is to cheat Kenyans to elect then stealing.your rich overnight.
Hio kiburi na sura kama mkebe,muuwaji mkubwa.
Hakuna kitu unajua kulikwa wengine u could tell what you than others.
Engineer ongeako kizungu hata siku moja😂😂
😅😅😅enyewe wewe ni engineere maneno 2000 kiswahili ni 1990 but English words ni 10 pekee congrats
If you hear number 1number 2 my friend exactly hiyo ni unapangwa
We support you..nyiganet nyon
Dude you better hash it up. Liar and thief. Rudisha pesa ya wakenya
Kwani kanisa kuko na nini special kuliko childrens homes and oldage homes. Mashetani zimewajaa kwa vichwa zenyu na hao rogue pastors wenyu. Yinyi ni wakora na pesa mnaiba kwa siri kali but wacheni Mungu wetu aitwe Mungu atawaanika mshangae. Remenber there is time for everything, time to steal and time to pay back.
Sawa muheshimiwa ebu sambaza kitu bwana
😂😂 eti Biashara ya matunda...😅 wooii , God have mercy over us.
Sudi hajui hata kuongea kando na usomi wake😂
Who's talking!!!! See his mouth!!!!!
Hebu mbunge ikitoka recess hebu ongea kwa floor
pride comes before a fail do you know that?
Wee ulikuwa na nini kabla ya ruto!! Umbwa sana
Sudi sudi pride comes before a fall
Hahahah corrupt man 😂😂. Hoteli ni kionjo 😂. Tumechoka na wakora..
Si ukatengeneze meno kwanza na hio pesa uko nayo ndio ukuje kwa public utuhutubie
Mr.Sudi,I had asked you in one of your videos that kindly give me that your watch you are talking about as brother I’m waiting for your response because I like your watch.
Barasa gave his 👞,his jacket 🧥 his shirt 👕 etc to those who asked him.
We ni jingazzzzz... wacha jeuri na hiyo kibiri yenu. Wajinga Waliisha Kenya. Nyote wajinga pumbavu's
Sudi, it's wise to be silent at the time of grief and anger from Kenyans.How did you win 300million ksh tender with Nairobi County Council? The streets are filthy beyond comprehension.
Where do you get all the money that you are taking in sacks to the corrupt churches?
Stop stiring and provoking people more than they are towards you and your friends..
😂😂😂😂Seali tu kwa hizi makasisi wa kanisa. Pesa ya kutoka Timba XO ya kuuza whiskey ikitolewa kwa mchango ya kanisa huwa munaosha kwanza na damu ya yesu kitambo mukule? 😅😅😅😂😂
Sudi ..go do development in your constituency..stop this!!!!!..reason why ruto go
Uko na nguvu ya kuongea tena🙄🙄nikiona tumbo inanza kuniuma mabi
Atleast he makes sense today
Which sense
Where do you get this money now
Unachagia kanisa 20million na 50million ilhali watu wa kwako vijana ni maskini na jobless bona huwezi jenga industry uko kwako surely???
Ww nenda ukaongee mambo yko kwa bunge ww kila cku nkwenye mitandaani 2
Kino kii
Jealous people never win don't talk about others look at your self😂
Huyu jamaa nipate connection
Sudi wacha uchawi wa kichwa. Ulikuwa unafikilia mtaiba kenya mikele. Stop your noncences. Boni has right. You are the people who are bringing ruto down. Sudi hii maringo yako na kiburi sitaisha very soon. Millionens mnatowa wapi every werkend with ndindi. Umeshiba funga mdomo.
Kwani ww uwezi ongea English hata siku moja
Sudi we need peace in our country ...kindly
Huyu anafaa kusalamiwa tena vizuri😂😂😂
uzuri Tuesday tunakujia mchele yetu,,pia mtuwekee mace yetu vizuri
Nyamaza mjinga wwe funga hio besheni ya mahindi na usione una akili zaidi ya wenzako kwani hao church members watachanga pesa hawana kubaff
Keep going Sir.
Mungu akusaidie.
They got dirty money and they clean it in the church 😂
BW Oscar shida ni responding immediately... sometimes silence is very important...the more unafwatilia the more they will attack you....the mind you had ukiuza matunda the same ideology should keep existing... maintain silence it will benefit you
sudi kiburi itaisha soon,time will tell acha tungoje
Usitiswe na mtu 2027 bado tuko
Enyewe haukusoma for sure,
Sudi public enemy number one,,,please keep quiet
Kutoa ni vizuri I support, ukijuatu hizo pesa ni zako toa ata 1billion and don't listen to anyone
You're in government. If you don't want your wealth questioned go private.
Ameiba wapi hashikwi ,,,, mbona hajashikwa
Hapo umesema ukweli
😂 he should make one sentence in English
Kwa bunge uwezi ongea...lkn unajua kuongea na kutusi watu
First man to end ruto regime
Ebu aongee English for only a minute 😅
There is God listening to you ..n watching you..... vengeance is from God ...we live you n those church guys to God