Jamaa anaongea km utan utan hvi lkn anaongea vitu vya msingi sana japo watu wanona km ni mtu wa masihara masihara lkn ana vitu adim sana kwenye maneno yake, wanawake wanatia hamasa sna katika michezo hebu wajitokeze kwa wing jman
Ni bahati mbaya mimi cna chochote ila ningelikuwa na uwezo yaani madaraka huyu jamaa alipaswa kupewa uraia kabisa yaani awe tu mtz kabisa tu Orginal kiukweli...
Mr baloz meleckferdinand3 tokea Kashai Kilimanjaro nawakilisha chama langu la kamunyweiso group ishoz nyange dahh jamaa huyu anaongea mambo ya msingi sanq
Huyu jamaa ni kweli mpenzi wa Tanzania lakini naomba watanzani tuwemakini sana hakuna mzungu anayefanya kitu cha bure hawa jamaa wanambinu nyingi sana, anaongea maneno mengi mnacheka mwisho mtabweteka naye atatimiza malengo yake, jiulizeni swali dogo tu, kwanini amejifunza kiswahili mpaka level hiyo?!, ni rahisi kweli mzungu kutoka uingereza na kuja Tanzania kuangalia mpira wetu,tu?! Anavofurahisha hapo akikuchukua pembeni akasema Fanya kitu hiki kwa nchi yako naona ni ngumu kupata upinzani, Mimi naomba furahini lakini changanyeni na zenu, hakuna mzungu mjinga.
Mimi wala sio kwamba simkubali anachozungumza ila kwa sasa wazungu sio wa kuamini sana ila sisi huwa tunapenda kujifunza baada ya tukio ndio tunakumbuka kuwa kuna mtu aliwahi kusema, ila tu ni kuwa makini
Mr baloz meleckferdinand3 tokea Kashai Kilimanjaro nawakilisha chama langu la kamunyweiso group ishoz nyange dahh jamaa huyu anaongea mambo ya msingi sanq
anaependa kiswahili gonga like hapa..
Da jamaa anajua kiswahi vizuri sana, safi sana kumbe lugha yetu imefika mbali
Jamaa anaongea km utan utan hvi lkn anaongea vitu vya msingi sana japo watu wanona km ni mtu wa masihara masihara lkn ana vitu adim sana kwenye maneno yake, wanawake wanatia hamasa sna katika michezo hebu wajitokeze kwa wing jman
Sio kwa wachezaj wa bongo wakiona wanawake wanacheza kibishoo san
Ahahahahah umetisha !!,bongo matatzo sana wachezaji wetu
True
Yaan kama una akili ya ziada utamuelewa Sana , ana points tamu
Safiii mzungu wa iringaa
Kiswahili ni lugha inayopendwa sana tujfunze kupenda vyakwetu tuwewazalendo
Kama umekubali kiswahili Cha bongo zozo gonga like
umesikia watanipiga kama umesikia kama mimi like twende sawa
Namkubali Sana anavitu kuntu
Adi kiduku we nomaa
Nampenda Sana huyu jamaa
Safi sana bongo zozo
achukua nafasi ya antonio nugaz huyu bongo zozo.
Umeonae
Ni kweli mwanamke ndo kila kitu
Nimekupenda bure
Bongo zozo kiswahil chake kizuri mashallah
Huyu jama anakijuwa kiswahili
Uko vizuri
Huyu jamaa nampenda sana
Safi kweli kweli
Duh siwez amin jamaaa anaongea kiswahil kama mzawaa👍
Amaizing sense of humour
Yap
Akaniona mimi zeruzeru. Dah nimecheka sana
Huyu jamaa yuko vzur sana.
Haaaaaaa haaaaaaaa bongo zozo nakupendaga boraaaaaaaa eweeeeeeeee
Kwa stahili hii kombe la dunia lipo jilani
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Talented boy hhhhhhh
Bongo zozo mbavu zangu nampenda suzy sana
Nime enjoy sanaa
Haaahaaa haaahaaa et naseeepa naseeepa
Bongo zozo big up
Karibu sana
Hahahaaaaaa bongo zozo
Ulikuwa hujui.manara brain iko safi
Sisi wabongo mtu akisema anapenda wanawake tunafikiria kitu kimoja tu, huyu jamaa ana akili
Hakika
Bongo zozo balaaaaaaaaaaa
Je suis francophone je Kidd rien de ce qu il dis mais j avoue juste sa tête m amuse quelqu'un pour me traduire svp
Washangiliaj wakiwa wanawake mnashinda ni kweli kabisaaaaa
Nimependa San masitol yake
Safi sana bongozozo
Safi sana bongo zozo kwa hamasa nzuri
,safi sana
Yaan huyu jamaa awe yanga alaf manara awe Simba duuuuuuuuh niaje hapo
Bongo zozo balaaaa sana
Hahaha huyu chizi
Daaahaa
Kiuni hichi.... 😀😁😁😁😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁
Jamaa ana akili mnoo
Mhh yupo vizur kama kweli kaja kimchezo na sio kutuchunguza
Mmh hazifiki hizo gawa mwenyewe
This muzungu 😂😂😂
Bongozozo noma sana
Bongo zozoooooooo daah mbv hatuna
Njaa tu bongo zozo🤣🤣🤣🤣
Bongo zozo hahahaha
Kijogooo🤣🤣🤣
Kesho tutajaa Kama upepo wa kimbunga
Manara kaogopa PUTULULU😂😂😂😂😂
Kuna uwezekano huyo bongo zozo akawa SCOUT toka chama cha mpira FA toka uwingereza
Ni bahati mbaya mimi cna chochote ila ningelikuwa na uwezo yaani madaraka huyu jamaa alipaswa kupewa uraia kabisa yaani awe tu mtz kabisa tu Orginal kiukweli...
😎
Huyo pembeni kushoto kwake ni Body Gady wake Vile....
😂😂😂😂😂😂 bondo zozo
the guy is hillalious n educative
Mzungu kaongea kiswahili wewe mswahili unaongea kizungu
Zozo ww noma sana uko vzur utanivunja mbavu
Watanipiga 😂😂😂
Jamani huyu mzungu kaipendea tanzania nini anamslahi gani mujitahadhari Sana nimjanja
Mke wake ni mtanzania
Bongo zozo ktk ubora wakoooo
Dah yan nacheka2
bongo zozo
Manara jibu mashambulizi hayo
Lakini serikali iwe makini tu maana magaidi hawajulikan kwa sura
Hahahahaha,
Sawa unaongea kuhusu wana wake lkn maneno mengine siri ww kioo cha jamii maneno yako punguza
😂😀😀😀
Mutaletwa na upepo wa......................?
Hahahaaaaaaa kisulisuliiii
Mr baloz meleckferdinand3 tokea Kashai Kilimanjaro nawakilisha chama langu la kamunyweiso group ishoz nyange dahh jamaa huyu anaongea mambo ya msingi sanq
😂😂😂😂
Huyu jamaa ni kweli mpenzi wa Tanzania lakini naomba watanzani tuwemakini sana hakuna mzungu anayefanya kitu cha bure hawa jamaa wanambinu nyingi sana, anaongea maneno mengi mnacheka mwisho mtabweteka naye atatimiza malengo yake, jiulizeni swali dogo tu, kwanini amejifunza kiswahili mpaka level hiyo?!, ni rahisi kweli mzungu kutoka uingereza na kuja Tanzania kuangalia mpira wetu,tu?! Anavofurahisha hapo akikuchukua pembeni akasema Fanya kitu hiki kwa nchi yako naona ni ngumu kupata upinzani, Mimi naomba furahini lakini changanyeni na zenu, hakuna mzungu mjinga.
Huyu bongo zozo kakaa tz kaowa tz kwnn asijue Swahili
Mabara Gwantaho Fikra hasi zinawadudumiza sana watanzania wengi kama ninyi
Kaoa tz kaishi sana tz
Mimi wala sio kwamba simkubali anachozungumza ila kwa sasa wazungu sio wa kuamini sana ila sisi huwa tunapenda kujifunza baada ya tukio ndio tunakumbuka kuwa kuna mtu aliwahi kusema, ila tu ni kuwa makini
Ni kweli IPO SKU watakumbuka
Mr baloz meleckferdinand3 tokea Kashai Kilimanjaro nawakilisha chama langu la kamunyweiso group ishoz nyange dahh jamaa huyu anaongea mambo ya msingi sanq
😂😂😂
😂😂😂😂